Amuua mkewe kwa kumpiga na mti

TARIME KIFONa Igenga Mtatiro, UWAZI

MARA: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani hapa, linamshikilia Hamis Nyamasinda, mkazi wa Kitongoji cha Ramboni, Kijiji cha Nyangoto, Nyamongo wilayani Tarime kwa tuhuma za kumuua mkewe, Bhoke Hamis Nyamasinda kwa kumpiga na mti sehemu mbalimbali za mwili wake.

Kwa mujibu wa taarifa za jeshi la polisi, mtuhumiwa huyo alitenda unyama huo Juni 30, mwaka huu kijijini hapo, kufuatia migogoro ya mara kwa mara ya wanandoa hao, mwanaume akimtuhumu mkewe...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

MUME AMUUA MKEWE KWA KUMPIGA MISUMARI KICHWANI

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa  
MWANAMUME mmoja aitwaye Boniphace Kiwele mkazi wa Bombambili, Wilaya ya Ilala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam anadaiwa kumuua kwa kipigo na kitu kinachodhaniwa kuwa ni msumari, mkewe Happiness Geofrey (pichani) wiki iliyopita. Happiness Geofrey enzi za uhai wake. Kiwele alidaiwa kufanya ukatili huo Machi 3, mwaka huu nyumbani kwake baada ya kumtuhumu mkewe kuwa alikuwa kwa mwanaume,...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Amuua mkwewe na kumpiga mkewe mapanga kisa unyumba

Kijana Joseph Medardi (32) mkazi wa Nyakahanga Wilaya ya Ngara mkoani Kagera amemuuwa mama mkwe wake Elizabeth Simon (70) kwa kumkata kata mapanga na kumjeruhi mkewe Elice Joseph (28) kisha na yeye kujimwagia petroleum.

Kijana huyo amefanya tukio hilo kwa kile kilichoelezwa kuwa alikuwa na matatizo na mkewe kuhusu suala la unyumba jambo ambalo lilimpelekea kumrudisha mkewe huyo nyumbani kwa mama yake, ambapo amekaa huko takribani wiki tatu, siku moja kabla ya kikao cha kuwasuluhisha wanandoa...

 

1 year ago

Malunde

AMUUA MKEWE KISHA KUMZIKA KWENYE MTI WA MBUYU SINGIDA

Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina Bernard Shumba mkazi wa Singida anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kumuua mke wake miaka minane iliyopita kisha kuuficha mwili wa marehemu kwenye mbuyu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Deborah Magiligimba, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa baada ya kukamatwa alikiri kutenda kosa hilo na kwenda kuonyesha mwili wa marehemu aliokuwa ameuhifadhi ndani ya mbuyu ambapo jeshi hilo kushirikiana na wananchi limefanikiwa...

 

5 years ago

Habarileo

Amuua mwanawe kwa kumpiga nyundo kichwani

MCHINJA nguruwe katika Kitongoji cha Sokoni Mji mdogo wa Sirari, Tarime Ezekiel Magige (39) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kupigwa mawe na wananchi wenye hasira kali.

 

3 years ago

Mwananchi

Mke amuua mume kwa kumpiga nondo kichwani

Mkazi wa Kijiji cha Irogero, Kata ya Kamachumu wilayani Muleba, Archard Fredrick, anadaiwa kuuawa na mkewe kwa kupigwa na nondo kichwani akiwa amelala.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Amuua kwa kumpiga panga na kumburura kwa gari ya ng’ombe

Jeshi la polisi mkoa wa Mjini Magharibi limempandisha Mahakama ya mkoa wa Vuga kijana Ali Mtumweni Faki (21) maarufu Ali kea mkaazi wa Kinuni kwa tuhuma za kuua kwa makusudi.

Imedaiwa mahakamani hapo na muendesha mashtaka Khamis Othman mbele ya hakimu  Isaya Kayange kwamba mtuhumiwa alidaiwa kutenda kosa hilo tarehe 3/10/ 2016 saa kumi na nusu jioni huko maeneo ya Fuoni.

Mtuhumiwa alimpiga panga la kichogo, kamchoma jiti la utosi na kumfunga kamba ya shingo na kumburura kwa gari la ng’ombe...

 

2 years ago

Mwananchi

Amuua mke wake kwa kumpiga risasi, naye ajiua

Mkazi wa Mahina, jijini Mwanza, aliyefahamika kwa jina moja la Max, anadaiwa kumuua mke wake, Teddy Malulu kwa kumpiga risasi  usiku wa kuamkia leo.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka 9 amuua nduguye kwa kumpiga risasi Marekani

Mvulana wa miaka tisa nchini Marekani anadaiwa kumuua dadake wa miaka 13 kwa kumpiga risasi kichwani baada ya mzozo kuhusu kifaa cha kudhibiti mchezo wa video wa kompyuta.

 

2 years ago

Malunde

AMUUA MPENZI WAKE KWA KUMPIGA RISASI WAKITAKA UMAARUFU MTANDAONI
Mwanamke mmoja mjini Minesesotta nchini Marekani amehukumiwa kwa kumpiga risasi na kumuua mpenzi wake katika kile kinachosemekana ni mgogoro wa mtandaoni.

Monalisa Perez mwenye umri wa miaka 19 aliwekwa kizuizini baada ya kumpiga risasi Pedro Ruiz alipokuwa akishikilia kitabu katika kifua chake akidhani kitazuia risasi hiyo.
Wawili hao wana mtoto wa miaka mitatu na takriban watu 30 walikuwa wakiangalia video hiyo ya YouTube alipompiga risasi mpenziwe.
Shangazie Ruiz anasema kuwa walifanya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani