AMUUA MKEWE KWA SULULU, AJINYONGA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
INAWEZA kuwa dawa?! Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Isaya M. Hangaya (30), mkazi wa Goba jijini Dar amemuua mkewe, Mery Charles Lugusha (26) kisha naye kujinyonga kisa kikisemekana ni mchepuko wa mwanamke huyo. Waombolezaji wakisali kuiombea rehema nafsi ya marehemu, Isaya M. Hangaya (30) na aliyekuwa mkewe Mery Charles Lugusha (26). Tukio hilo la kusikitisha lilitokea wiki...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

5 years ago

Mwananchi

Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi

Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwamo la mwanamke mmoja kudaiwa kuuawa na mume wake kutokana na wivu wa mapenzi.

 

3 years ago

Global Publishers

Amuua mkewe kwa kumpiga na mti

TARIME KIFONa Igenga Mtatiro, UWAZI

MARA: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani hapa, linamshikilia Hamis Nyamasinda, mkazi wa Kitongoji cha Ramboni, Kijiji cha Nyangoto, Nyamongo wilayani Tarime kwa tuhuma za kumuua mkewe, Bhoke Hamis Nyamasinda kwa kumpiga na mti sehemu mbalimbali za mwili wake.

Kwa mujibu wa taarifa za jeshi la polisi, mtuhumiwa huyo alitenda unyama huo Juni 30, mwaka huu kijijini hapo, kufuatia migogoro ya mara kwa mara ya wanandoa hao, mwanaume akimtuhumu mkewe...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Amuua mkewe kwa kumchoma kisu

Bahati Malima afikishwa Mahakamani kwa kumuua mkewe Janet Sajilo (35) kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali sehemu ya kifuani na kufariki dunia papo hapo. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei alisema  mauaji hayo yalifanyika juzi saa sita eneo la Kijiji cha Chingholwe, Kata ya Chanjale, Tarafa ya Nongwe. Kamanda Matei alisema chanzo cha tukio hilo ilidaiwa ni wivu wa mapenzi na hata hivyo alisema chanzo halisi kilichosababisha mume huyo kuchukua uamuzi wa kumchoma mkewe na...

 

4 years ago

Habarileo

Ajinyonga kwa kukataliwa tendo la ndoa na mkewe

WATU wawili wamekufa mkoani Ruvuma katika matukio mawili tofauti, likiwemo la mkazi mmoja kujinyonga kwa kutumia kamba ya miti baada ya kukataliwa tendo la ndoa na mkewe.

 

2 years ago

Habarileo

Ajinyonga kwa kunyimwa na mkewe samaki mbichi

MKAZI mmoja wa kijiji cha Kalundi kilichopo kata ya Kipande wilayani Nkasi, Vedast Kazumba (51) amejiua kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa alighadhabika, baada ya mkewe kumnyima kitoweo cha samaki mbichi.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Ajinyonga kwa kubaniwa tendo la ndoa na mkewe

Mwanaume mmoja Nchini Uganda aliyetambulika kwa majina Joseph Ojur mwenye umri wa miaka 52 mkazi wa ukanda wa  Kabagu katika manispaa ya Njeru amejinyonga mpaka kufa baada ya kunyimwa ‘unyumba’ na mkewe.

Kamanda wa Polisi eneo la Njeru, Christopher Tuhunde amesema marehemu huyo alijinyonga ndani ya nyumba yake na jeshi linaendelea kuchunguza kwa undani juu ya tukio hilo ili kujua ripoti kamili kuhusiana tukio hilo.

Taarifa za awali zinasema kuwa mwanaume huyo alifanya vipimo vya afya yake na...

 

4 years ago

BBCSwahili

Amuua mkewe kwa gurunedi Afrika Kusini

Polisi nchini Afrika kusini wanamtafuta mwanamme mmoja ambaye analaumiwa kwa kumuua mkewe kwa akitumia gurunedi

 

5 years ago

GPL

AMFUMANIA MKEWE, AMUUA MWANAUME KWA RISASI

Stori: Francis Godwin, Iringa
KUMBE! Pia mume wa mtu ni sumu! Kikongwe wa miaka 70 aliyejitambulisha kwa jina la Gwerino Ganga amemtwanga risasi mbili mwanaume aitwaye Thadei Mbungu (40) akimtuhumu kuingilia ndoa yake kwa  kuvunja amri ya sita na mama watoto wake. Thadei Mbungu enzi wa uhai wake. Tukio hilo la ajabu lilijiri Oktoba 9, mwaka huu mkoani Iringa ambapo mashuhuda wanadai Mbugu, mbali na kukutwa na mke wa mtu siku...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani