Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi

Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwamo la mwanamke mmoja kudaiwa kuuawa na mume wake kutokana na wivu wa mapenzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

AMUUA MKE KWA WIVU WA MAPENZI

Shangwe Thani, Shinyanga
UKATILI! Mwanamke mmoja, Regina Salago (24) (pichani) ameuawa kinyama kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kuvunjwavunjwa shingo na mikono na mume wake, Kishimba Keya, kutokana na wivu wa kimapenzi. Regina Salago enzi za uhai wake. Tukio hilo la kinyama, limetokea hivi karibuni katika Kijiji cha Maganzo, Kata ya Songwa wilayani Kishapu, Shinyanga.Akizungumza na gazeti hili kuhusu tukio hilo, mama...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Amuuwa mkewe kwa wivu wa mapenzi

Mwanamke huyo Sele Shija (34) amefariki dunia baada ya kupigwa kwa  fimbo kubwa kichwani na sehemu mbalimbali za mwili na mume wake Gyuda Jackson (35) wote ni wakazi wa Kijiji cha Ntwike tarafa ya Shelui wilayani Iramba.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida,Debora Magiligimba alisema tukio hilo limetokea Agosti 14 mwaka huu saa 7.40 mchana katika Kijiji cha Ntikwe.

Alisema uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa kimapenzi baada ya Gyuda kuhisi mke wake Sele ana...

 

3 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kumuua mkewe na mtoto kwa wivu wa mapenzi

POLISI mkoani Pwani inamshikilia Frowin Mbwale (26) mkazi wa Kawe jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kuwaua kwa kuwachinja; mkewe Oliver Erasto (23) na mtoto wake, Emmanuel (3) kutokana na kilichodaiwa ni wivu wa mapenzi.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Amuua mumewe kisa wivu wa mapenzi

Mkaazi wa Mtaa wa Kamando Kata ya Igunga Mjini, Igunga mkoani Tabora, Masumbuko Stephano amefariki dunia papo hapo baada ya kuchomwa kisu na mkewe Christina  Elias (30) kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Julius Kitundu alisema Stephano (39) alifariki dunia katika tukio hilo lilitokea juzi saa 7:15 usiku.

Alisema siku ya tukio, mke wa Stephano baada ya kugundua kwamba mumewe yuko kwa mpenzi wake, Happiness Wiliam (28), aliamua kumfuata...

 

4 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

5 years ago

GPL

AMUUA MKEWE KWA SULULU, AJINYONGA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
INAWEZA kuwa dawa?! Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Isaya M. Hangaya (30), mkazi wa Goba jijini Dar amemuua mkewe, Mery Charles Lugusha (26) kisha naye kujinyonga kisa kikisemekana ni mchepuko wa mwanamke huyo. Waombolezaji wakisali kuiombea rehema nafsi ya marehemu, Isaya M. Hangaya (30) na aliyekuwa mkewe Mery Charles Lugusha (26). Tukio hilo la kusikitisha lilitokea wiki...

 

3 years ago

Global Publishers

Amuua mkewe kwa kumpiga na mti

TARIME KIFONa Igenga Mtatiro, UWAZI

MARA: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani hapa, linamshikilia Hamis Nyamasinda, mkazi wa Kitongoji cha Ramboni, Kijiji cha Nyangoto, Nyamongo wilayani Tarime kwa tuhuma za kumuua mkewe, Bhoke Hamis Nyamasinda kwa kumpiga na mti sehemu mbalimbali za mwili wake.

Kwa mujibu wa taarifa za jeshi la polisi, mtuhumiwa huyo alitenda unyama huo Juni 30, mwaka huu kijijini hapo, kufuatia migogoro ya mara kwa mara ya wanandoa hao, mwanaume akimtuhumu mkewe...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Amuua mkewe kwa kumchoma kisu

Bahati Malima afikishwa Mahakamani kwa kumuua mkewe Janet Sajilo (35) kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali sehemu ya kifuani na kufariki dunia papo hapo. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei alisema  mauaji hayo yalifanyika juzi saa sita eneo la Kijiji cha Chingholwe, Kata ya Chanjale, Tarafa ya Nongwe. Kamanda Matei alisema chanzo cha tukio hilo ilidaiwa ni wivu wa mapenzi na hata hivyo alisema chanzo halisi kilichosababisha mume huyo kuchukua uamuzi wa kumchoma mkewe na...

 

4 years ago

Habarileo

Aua mkewe mjamzito wa miezi 9 kwa wivu

Kamanda wa Polisi, mkoa wa Rukwa, Jacob MwaruandaMLINZI wa usiku katika Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Florence Kazonde (35) amejinyonga baada ya kumuua kikatili kwa kumkaba koo mkewe aliyekuwa na ujauzito wa miezi tisa, Emilia Mzui (30).

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani