Amuua mkewe nayeye kujinyonga hadi kufa kwa kutumia waya wa umeme

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi, Ahmed Msangi ametoa taarifa za mauaji yaliyofanywa na John Ntemi (23) mkazi wa Kijiji cha Mahaha ambaye anatuhumiwa kumuua mkewe Casta Edward kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali sehemu za mwili wake kisha na yeye mwenyewe kujinyonga hadi kufa kwa kutumia waya wa umeme wilayani Magu. Kamanda Msangi amesema inadaiwa wawili hao walikuwa wanaishi peke yao na kabla ya tukio hilo kutokea wanandoa hao walikuwa wakiishi kwa amani na...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Habarileo

Adaiwa kujinyonga hadi kufa

MKAZI wa Morogoro Said Tenga (53), amekutwa amekufa kwa kujinyonga chumbani.

 

4 years ago

Habarileo

Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mwanachuo ajinyonga hadi kufa kwa kutumia tai

Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tawi la Tabora kinachojulikana kwa jina la Uhazili,  Raphael Kadesha miaka 22  amejinyonga hadi kufa kwa kutumia tai ya kuvaa shingoni.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Graifton Mushi amethibitisha tukio hilo na kusema limetokea jana saa 4 asubuhi ambapo marehemu alifunga tai juu ya kitanda chake na kujinyonga kwa sababu ambazo hadi sasa bado hazijabainika na Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi kujua nini kilimfanya mwanachuo huyo kuchukua...

 

2 years ago

Mwananchi

Aua mkewe naye ajiua kwa kujinyonga

Siamini Fulgence (34) amemuua mkewe Asunta Michael (27), mkazi wa Kijiji cha Mtenje Vichakani wilayani Nyasa kisha naye akajiua kwa kujinyonga.

 

1 year ago

Malunde

TRENI YA TANZANIA HADI RWANDA KUTUMIA UMEME


RWANDA na Tanzania zimekubaliana kujenga reli ya kisasa (SGR) ya umeme kutoka Isaka, Kahama mkoani Shinyanga hadi Kigali, Rwanda badala ya ile ya awali iliyokuwa iwe ya kisasa lakini yenye kutumia nishati ya dizeli.
Wataalamu wanasema treni ya umeme ni bora zaidi lakini pia ni rafiki wa mazingira ikilinganishwa na treni inayotumia dizeli. Wakati wa mkutano wao wa pili mjini Kigali, Mawaziri wa usafirishaji wa nchi zote mbili, waliagiza Shirika la Maendeleo ya Usafirishaji la Rwanda (RTDA) na...

 

4 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

5 years ago

GPL

AMUUA MKEWE KWA SULULU, AJINYONGA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
INAWEZA kuwa dawa?! Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Isaya M. Hangaya (30), mkazi wa Goba jijini Dar amemuua mkewe, Mery Charles Lugusha (26) kisha naye kujinyonga kisa kikisemekana ni mchepuko wa mwanamke huyo. Waombolezaji wakisali kuiombea rehema nafsi ya marehemu, Isaya M. Hangaya (30) na aliyekuwa mkewe Mery Charles Lugusha (26). Tukio hilo la kusikitisha lilitokea wiki...

 

5 years ago

Mwananchi

Amuua mkewe kwa wivu wa mapenzi

Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwamo la mwanamke mmoja kudaiwa kuuawa na mume wake kutokana na wivu wa mapenzi.

 

3 years ago

Global Publishers

Amuua mkewe kwa kumpiga na mti

TARIME KIFONa Igenga Mtatiro, UWAZI

MARA: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani hapa, linamshikilia Hamis Nyamasinda, mkazi wa Kitongoji cha Ramboni, Kijiji cha Nyangoto, Nyamongo wilayani Tarime kwa tuhuma za kumuua mkewe, Bhoke Hamis Nyamasinda kwa kumpiga na mti sehemu mbalimbali za mwili wake.

Kwa mujibu wa taarifa za jeshi la polisi, mtuhumiwa huyo alitenda unyama huo Juni 30, mwaka huu kijijini hapo, kufuatia migogoro ya mara kwa mara ya wanandoa hao, mwanaume akimtuhumu mkewe...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani