Anayeiumiza CUF ni Maalim Seif au Lipumba?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingizwa kwenye mgogoro wa uongozi. Wenye nia mbaya wanasingizia eti Maalim Seif Shariff Hamad anataka kukiuza chama kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Profesa Ibrahim Lipumba, aliyevuliwa uanachama baada ya kuwa mwenyekiti kwa miaka 16, anaeneza fitna hiyo, anaandika Juma Duni Haji. Profesa ni mtaalam wa uchumi na hesabu; na ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Hakuna CUF ya Maalim wala CUF ya Lipumba

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema chama hicho kitaendelea kufanya mambo kiungwana kwa kuwa Tanzania ni nchi ya amani na kuwa hakuna CUF ya Maalim Seif wala CUF ya Lipumba.

 

2 years ago

Michuzi

CUF ya Maalim Seif kuiburuza CUF ya Prof.Lipumba mahakamani

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.
BODI ya Wadhamini ya Chama cha Wananchi (CUF ), imefungua kesi ya madai dhidi wanachama wake nane akiwemo Naibu Katibu Mkuu, Magdalena Sakaya
Kesi hiyo imefunguliwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikitaka wanachama hao wasijihusishe na harakati  zozote za chama hicho.
Mbali ya Sakaya ambaye pia ni mbunge wa Kaliua mkoani Tabora, wadaiwa wengine ni Thomas Malima, mbunge wa Mtwara Mjini,Mafta Nachumu, Omar Mhina Masoud, Abdul Kambaya, Salama...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Anayeiuza CUF ni Maalim Seif au Lipumba?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingia kwenye mgogoro wa uongozi. Wenye nia mbaya wanasingizia eti Maalim Seif Shariff Hamad anataka kukiuza chama kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Juma Duni Haji. Profesa Ibrahim Lipumba, aliyevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuwa mwenyekiti kwa miaka 16, anaeleza fitna hiyo. Profesa ni mtaalamu wa uchumi na ...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Lipumba, Maalim Seif waongoza tena CUF

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amechaguliwa tena kuendelea na wadhifa huo. Ingawa matokeo kamili ya uchaguzi huo yanatarajiwa kutangazwa leo, lakini taarifa za awali tulizozipata wakati...

 

2 years ago

Mwananchi

CUF ya Lipumba, Maalim Seif vita mpya

Mgogoro wa uongozi unaoendelea ndani ya chama cha CUF huenda ukaathiri ushiriki wake kwenye uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Januari 27 baada ya pande zote mbili zinazosigana kujiandaa kuteua wagombea.

 

2 years ago

Global Publishers

CUF Ya Maalim Seif Yamwomba Lipumba Asiwavuruge Wanachama

 

Mwenyekiti wa Tawi la Mwinyimkuu Kigogo, Rashid Abdullah akizungumza na wanahabari.

VIONGOZI wa Matawi ya Hamasa Mkoa wa Dar es Salaam wanaomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad leo wamemwomba Prof. Ibrahim Lipumba kuacha mara moja kuwavuruga wanachama wa chama hicho kwa madai ya kuwa wajumbe wa chama hicho kupitia mkutano wake wa Agosti 8, mwaka huu waliridhia kujiuzulu kwake kwa asilimia 74 na hivyo si mwenyekiti tena.

Walisema kuwa Lipumba na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Maalim Seif: CUF haina mpango wa kufanya mazungumzo na Lipumba

Katibu mkuu wa  CUF Maalim Seif Sharif Hamad amesema Chama cha wananchi CUF hakina mpango wa kufanya  mazungumzo na Mwenyekiti anaetambuliwa na Msajili wa vyama vya siasa nchini  Professa Ibrahim lipumba  kwani yeye ndie chanzo cha kutaka kukivuruga chama hicho.

Akizungumza na Waandishi wa habari amesema migogoro yote kwenye chama hicho imesababishwa na Lipumba akiwa na lengo la kukivuruga chama kwa makusudi na kudai kuwa ametumwa na vyama vya upinzani.

Hata hivyo amesema chama cha CUF...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Maalim Seif: Lipumba, Mutungi chanzo cha mgogoro CUF

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad  amesema  mgogoro uliopo ndani ya chama chao ni figisu figisu inayotokana na Mh Lipumba pamoja na msajili wa vyama vya siasa Jaji Fransic Mutungi.

maalim Seif ameyasema hayo leo katika kipindi cha Clouds360 kinachorushwa na  Clouds TV na kuwataka wananchi kufahamu kuwa chama hicho hakitavurugika daima.

Maalim pia aliwataka wanachi kufahamu kuwa hakuna CUF ya maalim Seif wala CUF ya Lipumba bali chombo kikuu cha CUF ni mkutano mkuu ambao ndio...

 

2 years ago

Zanzibar 24

JUKECUF watahadharisha Lipumba kumvua uanachama wa CUF Maalim Seif

Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Wananchi (JUKECUF) imesema kuwa kuna mpango wa siri na Prof. Lipumba wenye lengo la kumvua uanchama, Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Shariff Hamad.

Taarifa hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti wa JUKECUF, Fatma Ferej alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo Vuga mjini Unguja.

Ferej alibainisha kuwa mkutano huo unaoratibiwa na upande wa Lipumba ni batili pamoja na maazimio ya mkutano huo ni batili kwasababu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani