Ancelotti: Guardiola ameniachia kazi nyepesi Bayern

carlo-ancelottiMUNICH, UJERUMANI

KOCHA wa Bayern Munich, Carlo Ancelotti, amedai kuwa ameachiwa kazi nyepesi na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pep Guardiola ambaye amejiunga na klabu ya Manchester City.

Ancelotti amesema kuwa anaamini atafanikiwa katika klabu hiyo ya Bayern Munich kutokana na Guardiola kuweka njia ya mafanikio ya klabu hiyo.

Guardiola akiwa katika klabu hiyo ya Bayern, alifanikiwa kutwaa mataji saba katika misimu mitatu ambayo aliitumikia ikiwa pamoja na kutwaa taji la Bundesliga.

Ancelotti...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Rasmi: Ancelotti kuchukua nafasi ya Guardiola Bayern Munich

151220161033-guardiola-ancelotti-split-exlarge-169

Carlo Ancelotti (kulia) na Pep Guardiola (kushoto).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kwa kipindi cha miezi kadhaa iliyopita viongozi wa klabu ya Bayern Munich walikuwa wakifanya mazunguzmo na kocha wa sasa wa timu hiyo, Pep Guardiola ambaye alionekana kutohitaji kuendelea kuifundisha klabu hiyo ya Ujerumani huku tetesi zikisema kuwa anataka kwenda kufundisha timu za Wingereza hatimaye klabu ya Bayern Munich imempata mrithi wa Guardiola.

Kocha wa zamani wa Real Madrid,  Muitalia Carlo Ancelotti...

 

3 years ago

MillardAyo

Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola …

Mkongwe wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Lothar Matthaus amebidi aweke wazi anachofikiria kuhusu kocha wa sasa wa klabu hiyo Pep Guardiola. Matthaus amekiri kuwa na mashaka na upendo wa kocha huyo kwa klabu ya FC Bayern Munich. Mashaka ya staa huyo wa zamani wa FC Bayern Munich Matthaus yamekuja kutokana na Pep Guardiola kutangaza kuwa ataondoka […]

The post Mkongwe wa Bayern Munich ana mashaka na Pep Guardiola, kisa ni maamuzi haya ya Guardiola … appeared first on...

 

3 years ago

Mwanaspoti

Ancelotti amteua mwanaye ukocha Bayern

FAMILIA vipi? Carlo Ancelotti amemteua mwanaye kuwa kocha msaidizi katika kikosi cha Bayern Munich.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Lewandowski amuwashia moto kocha Ancelotti kwa kumkosesha kiatu cha dhahabu Bayern Munich

Wakala Maik Barthel anayemsimamia mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski, amesema mchezaji huyo amevunjika moyo kutokana na kukosa ushirikiano kutoka uongozi wa juu ili aweze kumaliza mfungaji bora.

 

4 years ago

Michuzi

WIZARA YA KAZI ZANZIBAR KWA KUSHIRIKIANA NA (ILO) YAZINDUA KITABU CHA SHERIA ZA KAZI KATIKA LUGHA NYEPESI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman na Mkurugenzi wa (ILO) kanda ya Afrika Aeneas C. Chuma wakizindua kitabu cha sheria za Kazi katika lugha nyepesi, katika Hoteli ya Double Tree Shangani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman akizungumza na wageni waalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa kitabu cha sheria za Kazi katika lugha nyepesi katika Hoteli ya Double Tree...

 

4 years ago

Bongo Movies

Nyepesi Nyepesi: Naota Nafanya Mapenzi Kila Siku-Madaha

Hii Sasa Kalii: Mwanamziki na mwigizaji wa filamu hapa Bongo wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku.

Awali rafiki wa Madaha aliyeomba jina lake lihifadhiwehifadhiwe alikiambia chanzo cha habari hii kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila siku anaota akifanya mapenzi hali inayomfanya asiwe na hamu ya kuwa na mpenzi.

“Mwenyewe...

 

4 years ago

Bongo Movies

Nyepesi Nyepesi: Jack Dustan Adaiwa Ana Mimba ya Mwarabu!

Mwigizaji wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye.

Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa Kiarabu.
Akizungumzia madai hayo, Jack alisema: “Mimi ni mwanamke bwana, kuzaa ni wajibu kwa hiyo sioni kama ni skendo mimi kuwa na mimba.”

Alipoulizwa kama ni...

 

3 years ago

BBCSwahili

Guardiola na Man City wachapwa na Bayern

Manchester City, wakicheza mechi yao ya kwanza ya kujiandaa kwa msimu mpya chini ya meneja mpya Pep Guardiola, wamechapwa bao moja na klabu ya zamani ya meneja huyo Bayern Munich.

 

4 years ago

Bongo Movies

Nyepesi Nyepesi: JB, Zembwela na Mzee Majuto Wapo ‘Chimbo’

Kumekuwa na tetesi kuwa waigizaji, JB, Mzee Majuto na Zembwela hivi sasa wapo kazini kutengeneza filamu lakini hadi sasa hawajaamua kuweka wazi swala hili. 

Kwamujibu wa watu wa karibu na wasanii hao, inasemekana bado hawajaanza kushuti ila wapo kwenye hatua za awali za maandalizi ya kuanza kufanya kazi , wadau wengi wameonyesha shauku kubwa na kutegemea kazi bora zaidi kutoka kwa wakali hawa kwani itakuwa ni kali ya mwaka.

Kama wewe ni mfuatiliaje wa mitandao ya kijamii utakubali kuwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani