ANGALIA GWARIDE LA HESHIMA LA RAIS BARAK OBAMA WA MAREKANI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Anwar Sadat: Rais aliyeuawa akikagua gwaride la heshima

Miaka 34 tangu alipouawa, taifa la Misri linamkumbuka mmoja wa viongozi wake, rais wa tatu Anwar Sadat.

 

1 year ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

3 months ago

VOASwahili

Rais Barack Obama akutana na rais mteule wa Marekani Donald Trump

Rais Obama ameagiza idara za serikali kushirikiana vyema katika kipindi cha mpito wa kubadilishana madaraka rasmi kuelekea kuapishwa kwa rais mteule Januari 20 mwaka 2017.

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani, jijini Nairobi leo

unnamed (2)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski  jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi yuko...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani,jijini Nairobi leoRais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski  jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi ...

 

2 years ago

BBCSwahili

Rais Obama akerwa na mauaji Marekani

Rais Barack Obama amesema mauaji kwa misingi ya ubaguzi wa rangi ni kitisho kwa demokrasia ya Marekani

 

1 year ago

BBCSwahili

Obama: Trump hatakuwa rais Marekani

Rais Barack Obama amesema anaamini mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump hatakuwa rais wa Marekani.

 

7 months ago

Channelten

Rais Obama azungumzia mauaji Marekani

_90368541_hi034034862

Rais Barack Obama amewasihi Wamarekani kuacha kukata tamaa kutokana na wasiwasi wa kibaguzi uliojitokeza.

Akizungumza wakati wa misa ya kumbukumbu ya maafisa polisi watano wa mji wa Dallas waliouawa na mshambuliaji aliyekuwa akilipiza kisasi kufuatia mauaji ya watu weusi yanayofanywa na polisi, amesisitiza kuwa taifa halijagawanyika kama inavyotafsiriwa.

Rais Obama amekiri kuwa makundi mengi ya watu wachache yamekuwa yakiteseka kutokana na ubaguzi huo.

Lakini hata hivyo amesema Maafisa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani