ANGALIA HAPA MOJA KWA MOJA TUKIO LA RAIS DKT. MAGUFULI KUTUNUKU KAMISHELI KWA MAAFISA WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atawanuku Kamisheli Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, leo katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam.

Kamisheni hii inatolewa kwa mara ya kwanza ndani ya Ikulu, na pia nje ya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli Mkoani Arusha tangu kihamishwe kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha mwaka 1976.
Nyote mnakaribishwa.
BOFYA LINK HIYO HAPO CHINI KUONA TUKIO HILO MOJA KWA MOJAhttp://www.ikulu.go.tz/index.php//

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

Michuzi

ANGALIA MKUTANO WA RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI MOJA KWA MOJA KUTOKEA MKOANI SIMIYU MUDA HUU

Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
BOFYA HAPA KUANGALIA MKUTANO HUO MOJA KWA MOJA

 

2 years ago

Michuzi

ANGALIA MOJA KWA MOJA TUKIO LA MAKABIDHIANO YA RASIMU YA KATIBA HUKO MJINI DODOMA LEO

Ndugu Wadau,Mnaweza kuangalia moja kwa moja tukio la kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya inayotegemewa, tukio ambalo linaendelea hivi sasa katika uwanja wa Jamhuri pale Dodoma kupitia mtandao huu: www.ikulu.go.tz

 

6 days ago

Michuzi

FATILIA HAPA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KUTOKA IKULU KATIKA HAFLA YA KUAPISHWA VIONGOZI MBALIMBALI WALIOTEULIWA NA RAIS MAGUFULI HIVI KARIBUNI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
BOFYA HAPA KUFATILIA HAFLA YA KUAPISHWA VIONGOZI MBALIMBALI WALIOTEULIWA NA RAIS MAGUFULI HIVI KARIBUNI

 

(Today) 8 hours ago

Michuzi

JE WAJUA KWAMBA HAPA TANZANIA HAKUNA MTU ANAYEMILIKI ARDHI MOJA KWA MOJA?.


Na  Bashir  Yakub .

Ni  kweli ardhi  umenunua  kwa  hela  yako, ni kweli kiwanja  umetafuta  mwenyewe, ni kweli wewe  ni  Mtanzania  wala sio  mgeni,  lakini  pia  ni  kweli  ukubali  kuwa  ardhi  hiyo  unaimiliki  katika  kipindi  maalum  na  sio  moja  kwa  moja/milele.

 Hapo  ulipo  unapoita  nyumbani  kwako  unapamiliki  kwa  muda  maalum na  sio  moja  kwa  moja  kama  unavyodhani. Tanzania  hakuna  anayemiliki  ardhi  moja  kwa  moja  bali  wote  tunamiliki  kwa  muda  maalum.

Hati  ya ...

 

11 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA 586 KATIKA CHUO CHA MAAFISA WAPYA WA JESHI LA WANANCHI MONDULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya 586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika chuo cha kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika chuo cha Mafunzo ya kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.

 

1 year ago

BBCSwahili

Moja kwa moja: Magufuli kukabidhiwa cheti Tanzania

Mgombea urais wa chama cha CCM John Magufuli leo anakabidhiwa cheti cha ushindi na tume ya uchaguzi baada yake kutangazwa mshindi Alhamisi.

 

1 month ago

Malunde

AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA WA JWTZ IKULU DAR


Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride wakati wa sherehe za Kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Tanzania na kadhaa kutoka nchi marafiki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Jumamosi Februari 18, 2017.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Tanzania na kadhaa kutoka nchi marafiki katika viwanja vya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani