ANGALIA MOJA KWA MOJA TUKIO LA MAKABIDHIANO YA RASIMU YA KATIBA HUKO MJINI DODOMA LEO

Ndugu Wadau,Mnaweza kuangalia moja kwa moja tukio la kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya inayotegemewa, tukio ambalo linaendelea hivi sasa katika uwanja wa Jamhuri pale Dodoma kupitia mtandao huu: www.ikulu.go.tz

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 months ago

Michuzi

ANGALIA HAPA MOJA KWA MOJA TUKIO LA RAIS DKT. MAGUFULI KUTUNUKU KAMISHELI KWA MAAFISA WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atawanuku Kamisheli Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, leo katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam.

Kamisheni hii inatolewa kwa mara ya kwanza ndani ya Ikulu, na pia nje ya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli Mkoani Arusha tangu kihamishwe kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha mwaka 1976.
Nyote mnakaribishwa.
BOFYA LINK HIYO HAPO CHINI KUONA TUKIO...

 

3 years ago

Michuzi

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini...

 

3 months ago

Michuzi

ANGALIA MKUTANO WA RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI MOJA KWA MOJA KUTOKEA MKOANI SIMIYU MUDA HUU

Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
BOFYA HAPA KUANGALIA MKUTANO HUO MOJA KWA MOJA

 

2 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LAIMARISHA ULINZI KATIKA TUKIO KUKABIDHI RASIMU YA KATIBA KWA MH. RAIS

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME  - SACP ameeleza kuwa kutokana na tukio la kihistoria ambalo litafanyika tarehe 08/10/2014 ambapo Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE na Mh. Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dr. ALLY MOHAMED SHEIN watakabidhiwa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ulinzi umeimarishwa katika maeneo yote ya Mkoa wa Dodoma hususani Dodoma Mjini.
Kamanda...

 

1 year ago

StarTV

Bunge la kumi na moja kuanza leo mjini Dodoma

 

Mkutano wa pili wa bunge la 11 unatarajiwa kuanza leo mjini Dodoma ambapo umepangwa kumalizika februari 5 huku shughuli hizo zikitanguliwa na kiapo kwa wabunge 11 wapya waliochaguliwa pamoja na walioteuliwa na Rais.

Aidha shughuli zingine zitakazofanyika ni pamoja na wabunge kujadili hotuba ya rais aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa bunge la 11 mwaka jana.

 Akitoa maelezo kuhusiana na mkutano huo  mkuu wa kitengo cha cha habari, elimu na mawasiliano wa bunge  Owen Mwandumbya amesema mkutano...

 

3 years ago

Vijimambo

RASIMU KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha bunge hilo leo mjini Dodoma, wakati ikiwasilishwa Rasimu ya katiba iliyopendekezwa.

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalumu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya ukumbi wa bunge hilo siku ya Jumanne 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa,...

 

2 months ago

BBCSwahili

Uganda kumenyana na Ghana leo kusikika moja kwa moja BBC swahili

Kocha wa Ghana Avram Grant amesema anataka kufika mbali zaidi katika fainali za mwaka huu tofauti na ilivyokuwa mwaka 2015 walipofungwa na Ivory Coast kwa njia ya penalti.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani