ANGALIA PICHA : MSIBA WA KINGUNGE WAKUTANISHA VIONGOZI MBALIMBALI,MAZISHI YAFANYIKA

Rais Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Marais wastaafu wa Tanzania na viongozi mbalimbali,wakiwa katika shughuli maalum ya kumpumzisha aliyekuwa Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru,makaburi ya kinondoni Dar es salaamRais Dkt.John Pombe Magufuli akiweka udongo kwenye kaburi la muasisi wa Taifa na mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru ambaye anazikwa leo katika makaburi ya KInondoni Jijini Dar es salaamMarais wastaafu,Dr.Jakaya Mrisho Kikwete,Benjamin William Mkapa na Ali...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

PICHA MBALIMBALI ZA AROBAINI YA MSIBA WA MZEE KINGUNGE NA MKEWE


 Ndugu wa Marehemu Kingunge Ngombalemwilu wakiwa katika picha ya pamoja mara bada ya kuhitimisha arobaini katika makaburi ya kinondoni Dar es Salaam. Mtoto Maraehemu Mzee Kingunge Gombalemwili , Kinjeketile Ngombale akiwa na mkewe akiweka shada la maua kwenye kaburi la babayake wakati wa kuhitimisha arobaini ya msiba wa Baba yake na Mama yake katik amakaburi ya kinondoni jijini Dar es Salaam. Ndugu wa Marehemu Mzee Kingunge  Ngombalemwilu wakiwa wamekusanyika katika kuomboleza arobaini ya...

 

2 years ago

Malunde

MABADILIKO VIONGOZI WA UHAMIAJI YAFANYIKA...ANGALIA HAPA MAJINA MAPYA YA VIONGOZI WA MIKOA


Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Nchini Dr. Anna Peter Makakala amefanya mabadiliko makubwa ya Viongozi wa Uhamiaji wa Mikoa mbalimbali hapa nchini pamoja na kuwateua Wakuu Wapya wa mikoa kushika nyadhifa hizo katika Mikoa iliyopo Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar.

Katika Mabadiliko haya Naibu Kamishna wa Uhamiaji Sixstus Faustine Nyaki aliyekuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Mwanza amehamishiwa  mkoa wa  Simiyu wakati aliyekuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Rukwa Naibu Kamishna  wa Uhamiaji Selemani ...

 

1 year ago

Michuzi

JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU

 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili nyumbani tayari kwa ibada maalum ya maombolezo, iliyofanyika jioni ya leo. Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru anatarajiwa kuzikwa kesho jioni kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es salaam. Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete akimfariji Mzee Kingunge Ngomale Mwiru kwa kufiwa na Mkewe, Mama Peras Ngombale Mwiru, alipofika Nyumbani kwale...

 

1 year ago

Malunde

KIGWANGALA AHUDHURIA MSIBA WA AKWILINA..ANGALIA PICHA

Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla jana ali tembelea nyumbani kwa familia ya Akwilina na kutoa ubani wa pole kwa msiba huo.

“Nimefika hapa kama Raia mwema tu ambaye nimeguswa na msiba huu na nimetafakari kwani na mimi kipindi fulani nilipitia chuo hasa kutoka familia zetu hizi masikini kwa hiyo inapotokea tukio kama ili unaona ni pigo kwa familia, pigo kwa jamii, pigo kwa wanafunzi wenzake na pigo kwa Taifa kwa ujumla...

 

1 year ago

Malunde

ANGALIA PICHA ZA JOHN MNYIKA KWENYE MSIBA WA AKWILINA

JANA February 19, 2018 Mbunge wa Jimbo la Kibamba na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA -Bara John Mnyika akiwa ameongozana na Afisa Habari wa CHADEMA Tumaini Makene walifika kwenye msiba wa Mwanafunzi aliyepigwa risas, Akwilina Akwilini akiwa kwenye daladala wakati Polisi wakitawanya waandamanaji wa CHADEMA.

 

1 year ago

Malunde

Picha 6 : JINSI LOWASSA ALIVYOFIKA NYUMBANI KWA KINGUNGE KUHANI MSIBA


Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema,Mheshimiwa Edward Lowassa akitia sahihi kwenye Kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mzee Kingunge alipowasili jana jioni

Mbali na Lowassa pia walikuwepo viongozi wastaafu wa serikali kama Mzee Pius Msekwa na mkewe Mama Anna Abdalah,Waziri Mkuu wa zamani Mheshimiwa Salimu Ahmed Salimu,na aliyekuwa Kamanda wa Polisi Dar es Salaam Suleiman Kova.
Kingunge alifariki alfajiri ya jana Ijumaa februari 02, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili...

 

1 year ago

Malunde

BUNGE LAFANYA MABADILIKO YA VIONGOZI KWENYE KAMATI MBALIMBALI,ANGALIA HAPA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ametoa orodha ya majina ya Wabunge mbalimbali ambao wameteuliwa katika kamati mbalimbali za kudumu za Bunge ambao wataongoza kwa kipindi cha mwaka 2018-2020.

Wabunge mbalimbali wameteuliwa kuongoza kamati hizo za kudumu kwa kipindi hiko cha mwaka ambapo baadhi ya wabunge walioteuliwa ni Mhe. Nnape Nnauye, Mhe. Andrew J. Chenge, Mhe. Emmanuel Mwakasaka na wengine.

Kufahamu wabunge hao na kamati zao angalia chati iliyopo hapa chini...

 

1 year ago

Malunde

Picha : RAIS MAGUFULI AONGOZA MAELFU YA WATU MAZISHI YA MWANASIASA MKONGWE MAREHEMU MZEE KINGUNGE DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali mara baada ya...

 

1 year ago

Malunde

VIONGOZI MBALIMBALI WAMEANZA KUWASILI MAZISHI YA AKWILINA KILIMANJARO

Viongozi mbalimbali wa Serikali wameanza kuwasili nyumbani kwa wazazi wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini kijiji cha Marangu, Kata ya Marangu Kitowo, Olele mkoani Kilimanjaro.

Mwili wa mwanafunzi huyo aliyeagwa jana katika viwanja vya NIT, Mabibo jijini Dar es Salaam umefika kijijini hapa leo Februari 23, 2018 saa 3:30 asubuhi.

Viongozi waliofika mpaka sasa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Leonard Akwilapo, Mkuu wa Chuo Cha NIT, Profesa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani