Angalia Picha : WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA


Washiriki wa shindano la kutafuta mrembo wa mkoa wa Shinyanga “Miss Shinyanga 2017”,wameunga mkono kampeni ya upandaji miti iliyoanzishwa katika wilaya ya Shinyanga na Mkuu wa wilaya hiyo Josephine Matiro hivi karibuni ili kupambana na hali ya ukame/jangwa mkoani humo.

Mapema leo Ijumaa Oktoba 13,washiriki hao wa shindano hilo la mrembo wa mkoa wa Shinyanga linalotarajiwa kufanyika Oktoba 15 mwaka huu,walimwagilia maji miti mbalimbali iliyopandwa mjini Shinyanga.
Akizungumza wakati wa zoezi...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA

Mapema leo Ijumaa Oktoba 13,washiriki hao wa shindano hilo la mrembo wa mkoa wa Shinyanga linalotarajiwa kufanyika Oktoba 15 mwaka huu,walimwagilia maji miti mbalimbali iliyopandwa mjini Shinyanga.
Akizungumza wakati wa zoezi hilo,Mwandaaji wa shindano la Miss Shinyanga mwaka 2017,Grace Shija alisema pamoja na kufanya maandalizi ya shindano hilo pia wanashiriki katika shughuli za kijamii. 
“Sisi kama sehemu ya jamii tumeamua kushiriki katika kampeni ya upandaji miti kwa kumwagilia maji miti...

 

2 years ago

Malunde

Picha 20 : RC SHINYANGA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI 'SHINYANGA MPYA,MTI KWANZA'


Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Zainab Telack akizindua kampeni ya upandaji miti ya ‘Shinyanga Mpya,Mti Kwanza’ leo Septemba 23,2017-Picha na Kadama Malunde - Malunde1 blog*****
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Zainab Telack amezindua kampeni ya upandaji miti katika manispaa ya Shinyanga yenye kauli mbiu ya ‘Shinyanga Mpya,Mti Kwanza’ ili kuboresha mazingira ya mji wa Shinyanga na kupambana na mabadiliko ya tabia nchi yanayosababisha jangwa. 
Kampeni hiyo iliyoratibiwa na ofisi ya Mkuu wa wilaya ya...

 

2 years ago

Michuzi

DC SHINYANGA AANZISHA KAMPENI YA UPANDAJI MITI 'SHINYANGA MPYA,MTI KWANZA'

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Zainab Telack amezindua kampeni ya upandaji miti katika wilaya ya Shinyanga yenye kauli mbiu ya ‘Shinyanga Mpya,Mti Kwanza’ ili kuboresha mazingira Shinyanga na kupambana na mabadiliko ya tabia nchi yanayosababisha jangwa. 
Kampeni hiyo inayoratibiwa na ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, imezinduliwa leo Jumamosi Septemba 23,2017 katika manispaa ya Shinyanga ,kwa lengo la kuboresha mazingira ya mji wa Shinyanga,maeneo ya taasisi,maeneo ya wazi,maeneo...

 

1 year ago

Malunde

Picha : SHULE YA KOM SEKONDARI YAUNGA MKONO KAMPENI YA KUPANDA MITI SHINYANGA

Shule ya Sekondari KOM (Kom Sekondari) iliyopo katika eneo la Butengwa mjini Shinyanga,imeunga mkono kampeni ya upandaji miti yenye kauli mbiu ya ‘Shinyanga Mpya,Mti Kwanza’ kwa kupanda miti 482 katika barabara ya Shinyanga Mjini kuelekea Old Shinyanga.
Zoezi la upandaji miti limefanyika leo Jumamosi Oktoba 21,2017 likiongozwa na Mkuu wa shule ya Kom Sekondari Mwita Warioba,walimu na wanafunzi wanaosoma katika shule hiyo.
Akizungumza wakati wa zoezi hilo,Mkuu huyo wa shule,Mwita Warioba...

 

1 year ago

Malunde

Video & Picha : NGOMA YA BHUDAGALA YAMPAGAWISHA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA....SHUHUDIA HAPA AKICHEZA MAADHIMISHO UPANDAJI MITI KISHAPU

Maadhimisho ya wiki ya Upandaji miti kitaifa yamezinduliwa Jumanne Aprili 3,2018 katika wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga.


Pamoja na zoezi hilo kuambatana na upandaji miti wilayani humo,pia Msanii wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja alipata nafasi ya kutoa burudani akihamasisha wananchi kupanda miti kupitia wimbo maalumu alioupa jina la Tanzania na Kijani inawezekana.

Wimbo huo ulimvutia Mkuu wa mkoa wa Shinyanga ,Mheshimiwa Zainab Telack na kuamua kuingia uwanjani kucheza wimbo huo...

 

2 years ago

Malunde

Angalia Picha : DC SHINYANGA AFUNGA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA 'MGAMBO' WILAYA YA SHINYANGA


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefunga mafunzo ya Jeshi la Akiba “Mgambo” wilaya ya Shinyanga ambapo jumla ya wahitimu 238 wamefuzu mafunzo hayo yaliyodumu kwa muda wa miezi minne.

Sherehe za kufunga mafunzo hayo zimefanyika leo Jumatatu Oktoba 9,2017 katika viwanja vya Sabasaba mjini Shinyanga.
Akizungumza katika sherehe hizo,Mkuu huyo wa wilaya aliwataka wahitimu wa mafunzo hayo kutumia vyema mafunzo waliyoyapata huku akiwaasa kufanya shughuli za maendeleo ili kujiinua...

 

3 years ago

Michuzi

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU NCHINI WATOA MICHE YA MITI 600 KUUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, Luhaga Mpina akipanda mti katika Shule ya Sekondani ya Mama Salma Kikwete, Jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni kuunga mkono kampeni ya upanadaji miti Jijini Dar es Salaam iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda, Kampeni hiyo ijulikanayo kama "Mti Wangu"  itazinduliwa kesho Oktoba Mosi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania umechangia miche ya miti...

 

1 year ago

Malunde

MAADHIMISHO YA UPANDAJI MITI KITAIFA KUFANYIKA KISHAPU MKOANI SHINYANGA


Maadhimisho ya upandaji miti kitaifa yanatarajia kufanyika wilayani Kishapu mkoani Shinyanga kuanzia Aprili 3,2018 hadi Aprili 5,2018.

Akitoa taarifa ya maadhimisho hayo ya upandaji miti kwa vyombo vya habari ,leo Machi 28,2018   Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack,alisema miongoni mwa shughuli zitakazofanyika wakati wa maadhimisho hayo ni kutoa elimu ya utunzaji wa mazingira kwa wananchi na  upandaji miti ambapo jumla ya miti 232,000 itapandwa wilayani humo. 

Telack amesema shughuli...

 

2 years ago

Malunde

Angalia Picha : MAADHIMISHO SHEREHE ZA MEI MOSI 2017 UWANJA WA CCM KAMBARAGE SHINYANGA


Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack akihutubia mamia ya wafanyakazi wa mkoa wa Shinyanga katika sherehe za Mei Mosi - 2017.
SERIKALI mkoani Shinyanga imetoa siku 14 kwa waajiri wote katika sekta binafsi mkoani humo kuhakikisha wanatekeleza kikamilifu Sheria ya Ajira na mahusiano kazini namba sita ya mwaka 2004 sambamba na kuwaruhusu wafanyakazi wao kujiunga na vyama huru vya wafanyakazi wanavyovitaka.
Agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack kwenye kilele cha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani