Antonio Conte asema Chelsea kuchapwa 3-0 na Barcelona UEFA haikuwa haki

N'Golo Kante na Marcos Alonso wote walikaribia kufunga uwanjani Nou Camp, naye Antonio Rudiger alipiga mpira wa kichwa ambao uligonga mwamba wa goli dakika za mwisho.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Meneja wa Chelsea Antonio Conte: Tutailaza Barcelona mechi ya marudio Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA

Antonio Conte amesema kuwa Chelsea "itajaribu kufanya kitu cha kipekee" kwa kuitoa Barcelona katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kutoka sare 1-1 katika awamu ya kwanza.

 

3 years ago

Africanjam.Com

ANTONIO CONTE SIGNS £15m DEAL WITH CHELSEA AS A MANAGERChelsea have appointed Italy boss Antonio Conte as their new first-team head coach, starting from this summer.The 46-year-old former Juventus boss will begin a three-year contract after his country takes part in Euro 2016.
"I am proud to be the coach of the national team of my country and only a role as attractive as manager of Chelsea could follow that," he said.Guus Hiddink, who replaced the sacked Jose Mourinho, will remain in charge of the Blues until the end of the season.The final of...

 

3 years ago

Global Publishers

Antonio Conte Atinga Chelsea kwa Mkwara Mzito

Chelsea (5)Kocha mpya wa Chelsea Antonio ConteChelsea (1)Kapteni wa Chelsea, John Terry. Chelsea (3)Diego Costa anahusishwa kuhamia Atletico Madrid msimu ujao.Chelsea (4)Eden Hazard anahusishwa kujiunga na PSG msimu ujao. Chelsea (2)Nemanja Matic (kulia) ni mchezaji mwingine ambaye anasemeka hatokuwepo kikosini hapo msimu ujao.

Kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte jana akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Kamati ya Ufundi ya Klabu hiyo, Michael Emenalo alitambulishwa rasmi kwa wachezaji hiyo.

Baaya ya utambulisho huo, leo anatarajiwa kuzungumza na...

 

2 years ago

BBCSwahili

Inter Milan wanamtafuta meneja wa Chelsea Antonio Conte?

Taarifa nchini Italia zinasema klabu hiyo ya Serie A, inapanga kumuahidi Conte ujira wa £250,000 kwa wiki iwapo ataondoka Chelsea, klabu ambayo ameiongoza kwa msimu mmoja pekee.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Antonio Conte ashauri vigogo wa Chelsea kubana matumizi

Kocha wa Chelsea amewashauri mabosi zake kuwa wanapaswa kuweka akiba kwa ajili ya usajili ujao.

 

2 years ago

BBCSwahili

Antonio Conte apuuzilia mbali taarifa za mtafaruku Chelsea

Meneja wa klabu ya Chelsea Antonio Conte amepuuzilia mbali madai kwamba kuna mtafaruku katika klabu hiyo kutokana na mfumo wake wa mazoezi.

 

1 year ago

BBCSwahili

Antonio Conte : Nafurahia' kusalia Chelsea, hakuna mgogoro wowote

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte amesisitiza kuwa anafurahia kusalia katika klabu hiyo licha ya uvumi kwamba uhusiano na mmiliki wa klabu hiyo Roman Abrahamovic umedorora

 

3 years ago

Bongo5

Antonio Conte kama akitua Chelsea anakuja na mbadala wa John Terry

1783D818000005DC-0-image-a-15_1457694688753

Klabu ya Chelsea kama itafanikiwa kumpata kocha, Antonio Conte yu tayari kuja na beki wa kuziba nafasi ya nahodha wa Chelsea, John Terry kwa kufanikisha uhamisho wa staa wa Juventus, Leonardo Bonucci.

1783D818000005DC-0-image-a-15_1457694688753

Kwa mujibu wa mtandao wa Tuttomercatoweb wa Italia, kocha huyo wa kikosi cha Italia, ameliweka nafasi ya juu jina la beki huyo katika orodha ya mastaa anaotazamia kuziba nafasi ya nahodha huyo.

Conte alifanya kazi na Bonucci katika kikosi cha Italia na wakati alipokuwa kocha wa Juventus na...

 

2 years ago

Mwananchi

Antonio Conte ashusha pumzi, aula mkataba wa miaka miwili Chelsea

Baada ya kuwa katika sintofahamu kwa muda mrefu, hatimaye Kocha wa Chelsea, Antonio Conte amesaini mkataba wa miaka miwili kukinoa kikosi hicho.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani