Argentina yafuta mechi iliyofaa kuchezewa Jerusalem baada ya ghasia Gaza

Argentina wamefuta mechi ya kirafiki ya kujiandaa kwa Kombe la Dunia ambayo walifaa kucheza dhidi ya Israel jijini Jerusalem.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Ghasia zaidi zazuka al-Aqsa Jerusalem

Kumetokea ghasia zaidi kati ya vikosi vya usalama vya Israel na raia wa Palestina kandokando ya msikiti mkubwa wa Al Aqsa mjini Jerusalem.

 

1 year ago

BBCSwahili

Maafisa wafungwa gerezani baada ya Nkurunziza kuchezewa rafu uwanjani Burundi

Maafisa wawili nchini Burundi wamefungwa gerezani baada ya kinachodaiwa Rais kuchezewa rafu kwenye mechi waliyoandaa

 

3 years ago

Mwananchi

Mvua yafuta mechi ya United na City

ECHI ya kirafiki ya kujiandaa na msimu kati ya mahasimu wa jiji la Manchester, Man United na Man City iliyokuwa ipigwe usiku wa kuamkia leo imeahirishwa.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mechi ya Arsenal dhidi ya Cologne yakumbwa na ghasia

Mechi ya Arsenal dhidi ya Cologne katiika kombe la Yuropa ilikumbwa na ghasia na kusababisha kucheleweshwa kwa saa moja

 

2 years ago

Mwananchi

Messi afungiwa mechi nne Argentina

Lionel Messi amefungiwa mechi nne za kimataifa saa tano kabla ya mchezo wao wa jana usiku na Argentina wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Bolivia.

 

2 years ago

BBCSwahili

Argentina wahangaika mechi za kufuzu Kombe la Dunia

Argentina wanashikilia nafasi ya tano katika msimamo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia katika Amerika Kusini kukiwa na mechi mbili ambazo zimesalia kuchezwa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Brazil, Argentina zashindwa mechi za kufuzu Kombe la Dunia

Brazil na Argentina zilicharazwa 2-0 mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia zilizochezwa Alhamisi.

 

2 years ago

BBCSwahili

Argentina watandikwa Peru mechi ya kufuzu Kombe la Dunia

Mechi za Raundi ya 10 ya nchi za kanda ya Marekani ya Kusini chini ya Mwamvuli wa Shirikisho lao CONMEBOL kusaka nchi 4 zitakazotinga moja kwa moja huko Urusi Mwaka 2018 kwenye Fainali za Kombe la Dunia zimeendelea alfajiri.

 

2 years ago

Bongo5

Brazil, Argentina, Colombia na Paraguay wawasha moto katika mechi za kufuzu kombe la dunia 2018

Usiku wa Alhamisi hii zilichezwa mechi kadhaa katika bara la Amerika ya Kusini za kufuzu kucheza kombe la dunia mwakani nchini Urusi. Brazil wakiwa ugenini imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Uruguay.

Mabao ya Brazil yalifungwa na Paulinho aliyefunga mabao matatu pamoja na moja la Neymar, na goli lakufutia machozi la Uruguay lilifungwa na Edson Cavan kwa mkwaju wa penati. Katika michezo mingine James Rodrigues wa Real Madrid alifunga bao pekee kwa timu yake ya Colombia na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani