ARSENAL BINGWA FA, NI BAADA YA MIAKA 9 BILA KOMBE!

Arsenal wametwaa kombe la FA baada ya kukaa miaka tisa bila kombe lolote. Wametwaa ndoo hiyo kwa kuifunga Hull City bao 3-2 katika muda wa nyongeza baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida kwenye Uwanja wa Wembley usiku huu. Wafungaji Arsenal: Carzola dakika ya 17, Koscielny dakika ya 71 na Ramsey dakika ya 109 wakati ya Hull City yakifungwa na Chester dakika ya 4 na Davies dakika ya 8. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016

Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016. Sababu za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa sio kwa sababu kaifunga Man City. Hizi ndio sababu tano za Arsenal kupewa nafasi […]

The post Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Fainali ya tatu Argentina wanaondoka bila Kombe, Chile Bingwa wa Copa America

q2

Alfajiri ya June 27 2016 ndio ilikuwa ambayo mashabiki wa soka la bara la America macho na masio yao yote yalikuwa New Jersey Marekani katika uwanja wa MetLife, lengo na shauku kubwa ilikuwa ni mashabiki kushuhudia fainali ya Copa America 2016 ambayo ilikuwa inazikutanisha timu za Argentina dhidi ya Chile. Huu ulikuwa ni mchezo wa […]

The post VIDEO: Fainali ya tatu Argentina wanaondoka bila Kombe, Chile Bingwa wa Copa America appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger hajui hatima yake Arsenal baada ya kombe la FA

Arsene Wenger hajui kama mchezo wa fainali wa kombe la FA utakuwa wa mwisho akiwa kama kocha wa Arsenal .

 

3 years ago

MillardAyo

Comment ya bilionea kijana Afrika baada ya Simba kumaliza msimu bila Kombe na kipigo

10

Msimu wa 2015/2016 wa Ligi Kuu soka Tanzania ndio ulikuwa msimu ambao Simba wamepewa majina ya utani mengi zaidi kutoka kwa wapinzania wao wa jadi klabu ya Dar es Salaam Young Africans, hii ilitokana na kukubali vipigo mara katika mechi za mzunguuko wa kwanza na wa pili. Leo May 22 2016 Simba imemaliza mechi yake […]

The post Comment ya bilionea kijana Afrika baada ya Simba kumaliza msimu bila Kombe na kipigo appeared first on MillardAyo.Com.

 

5 years ago

GPL

ARSENAL BINGWA NGAO YA JAMII

Arsenal wakiwa na Ngao ya Jamii baada ya kuipiga Manchester City 3-0. Santi Carzola akishangilia bao lake la kwanza kwa Arsenal.…

 

4 years ago

Mtanzania

Bingwa Kombe la FA kumfunika wa Ligi

pg32*Atacheza mechi saba tu atanyakua mil. 50/-

 

NA ELLY MHAGAMA, DAR ES SALAAM

BINGWA wa mashindano ya Kombe la FA ‘Azam Sports Federation Cup’, anatarajia kumfunika vibaya bingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kwa fedha ya zawadi inayotolewa na wadhamini wa michuano hiyo.

Wakati wadhamini wa Ligi Vodacom wakitoa zawadi ya Sh milioni 70 kwa bingwa wake baada ya kucheza michezo 30, bingwa wa FA yeye anatarajia kuondoka na Sh milioni 50 baada ya kucheza michezo saba tu.

Mashindano ya FA...

 

4 years ago

BBCSwahili

Marekani bingwa kombe la Dunia wanawake

Marekani imeibuka mshindi wa Kombe la Dunia soka wanawake kwa kuichabanga Japan kwa bao 5 kwa 2.

 

5 years ago

GPL

KENYA BINGWA KOMBE LA CHALENJI 2013

Kikosi cha Harambee Stars kilichotwaa kombe la Chalenji 2013. Timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imetwaa kombe la michuano ya Chalenji 2013 iliyomalizika nchini Kenya baada ya kuifunga Sudan bao 2-0 katika fainali iliyomalizika hivi punde katika Uwanja wa Nyayo nchini humo. Mabao ya Harambee Stars yamewekwa kimiani na Allan Wanga katika dakika ya 35 na 69. ...

 

2 years ago

Habarileo

Mbeya bingwa kikapu Kombe la Taifa

TIMU ya wanaume na wanawake kutoka Mbeya zimetwaa ubingwa wa michuano ya mpira wa kikapu Taifa iliyomalizika jijini Arusha.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani