Arsenal kupepetana na Man United

Siku ya Jumatano katika uwanja wa Old Trafford mechi ambayo ni muhimu kwa Arsenal ikiwa inapania kutwaa kombe la ligi hiyo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Man City kupepetana na Arsenal EPL

City itaendelea kuwakosa Fernandinho na Sergio Aguero ambao wanahudumia marufuku

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal,Man City na Man United zafuzu FA

Mabingwa watetezi wa Kombe la FA Arsenal walitoka nyuma na kuweza kufuza kwa raundi ya tatu ya kombe hilo baada ya kuicharaza Sunderland mabao 3-1.

 

3 years ago

MillardAyo

Mechi 3 muhimu kujua takwimu zake leo, Genk Vs Brugge, Man United Vs Arsenal na Liverpool Vs Man City

Latest-Stats

Ligi Kuu ya Ubelgiji inaendelea leo February 28 kama kawaida, ila kwa upande wa timu inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta itakuwa na mtihani wa kucheza na vinara wa Ligi hiyo, Club Brugge katika mchezo utakaochezwa saa 16:30 leo February 27. Ligi Kuu Uingereza inaendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa, ila mchezo kati ya Man United […]

The post Mechi 3 muhimu kujua takwimu zake leo, Genk Vs Brugge, Man United Vs Arsenal na Liverpool Vs Man City appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

BBCSwahili

Man United yaiadhibu Arsenal 3-1

Manchester United Waliiadhibu safu ya ulinzi ya Arsenal na kuwa timu ya kwanza kupata ushindi katika uwanja wa Emirates tangu mwezi Januari

 

4 years ago

Mwananchi

Arsenal yaitia aibu Man United

Mshambuliaji Alexis Sanchez amefunga mabao mawili na kuiongoza Arsenal kuichapa Manchester United 3-0 kwenye Uwanja wa Emirates, London.

 

4 years ago

BBCSwahili

Robo Fainali FA ni Arsenal na Man.United

Miamba ya soka katika ligi kuu ya England Arsenal na Manchester United watamenyana katika robo fainali ya FA

 

3 years ago

BBCSwahili

EPL:Man United kuivaa Arsenal

Ligi kuu ya Soka la England inatarajia kuendelea tena Wikiendi hii baada ya kupisha michuano ya FA CUP

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani