Arsenal kuvunja mwiko wa kushindwa?

Arsenal inadhamiria kuepuka msururu wa matokeo ya kushindwa mfululizo watakapocheza na AC Milan

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Stars kuvunja mwiko Algeria

Waswahili wanasema yaliyopita si ndwele, tugange yajayo, pia historia ni muhimu kwa ajili ya mustakabali wa mambo yanayokuja.

 

3 years ago

Mwananchi

Kerr ataka kuvunja mwiko Mbeya City

Kocha wa Simba, Dyran Kerr amewataka wachezaji wake kutumia uzoefu wao kumudu mazingira ya Uwanja wa Sokoine ili kuibuka na ushindi dhidi ya Mbeya City, Jumamosi hii.

 

2 years ago

Mwananchi

Siku sita za Yanga kuvunja mwiko Afrika

Yanga imebakiwa na siku sita za matumaini ya kipekee ya kufufua ndoto za kucheza nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF) msimu huu na wakati huo kuvunja mwiko wa Medeama wa kutofungwa nyumbani, Ghana.

 

2 years ago

Michuzi

ARSENAL KUVUNJA UTEJA KWA BAYERN LEO??

 Mechi za pili za raundi ya mtoano kwa timu 16 za Ligi ya Ulaya (Uefa Champions League) zinatarajiwa kuanza tena kupigwa usiku wa leo Jumanne Machi 7 kwa mechi mbili, ambapo huko katika dimba la Emirates Jijini London, Uingereza wenyeji Arsenal watawakaribisha Bayern Munich huku wakiwa na kumbukumbu ya kipigo cha 5-1 walichoshushiwa katika Mechi ya kwanza iliyochezwa huko Ujerumani.
Ili kufuzu kuingia hatua ya robo fainali ya michuano hiyo, timu ya Arsenal inapaswa kufanya kitu ambacho...

 

1 year ago

BBCSwahili

Ronald Koeman: Everton wamfuta kazi meneja baada ya kushindwa na Arsenal

Klabu ya Everton imemfuta kazi meneja Ronald Koeman baada ya kichapo cha 5-2 Jumapili kutoka wka Arsenal kuwaacha wakiwa kwenye eneo la kushushwa daraja kwenye jedwali Ligi ya Premia.

 

3 years ago

MillardAyo

Lionel Messi kaifunga Arsenal Ligi ya Mabingwa na kuvunja rekodi yake hii kwa Cech

2748 (1)

Usiku wa February 23 klabu ya FC Barcelona ya Hispania ilikuwa imesafiri kutoka Hispania hadi London Uingereza kukutana na Arsenal katika mchezo wao wa kwanza wa michuano ya klabu Bingwa barani Afrika, mchezo ambao ulikuwa wa hatua ya 16 bora, hivyo kila timu ilikuwa inahitaji ushindi. Mchezo ulimalizika kwa Lionel Messi kuipatia  FC Barcelona ushindi […]

The post Lionel Messi kaifunga Arsenal Ligi ya Mabingwa na kuvunja rekodi yake hii kwa Cech appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Lionel Messi kaifunga Arsenal Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuvunja rekodi yake hii kwa Cech

2748 (1)

Usiku wa February 23 klabu ya FC Barcelona ya Hispania ilikuwa imesafiri kutoka Hispania hadi London Uingereza kukutana na Arsenal katika mchezo wao wa kwanza wa michuano ya klabu Bingwa barani Afrika, mchezo ambao ulikuwa wa hatua ya 16 bora, hivyo kila timu ilikuwa inahitaji ushindi. Mchezo ulimalizika kwa Lionel Messi kuipatia  FC Barcelona ushindi […]

The post Lionel Messi kaifunga Arsenal Ligi ya Mabingwa Ulaya na kuvunja rekodi yake hii kwa Cech appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya Chege kushindwa kuvunja nazi kwa ugoko…? Mwana FA amegunduguanini baada ya hitsong ya Asanteni kwa kuja….

CHEGE

Kupitia 255 ya Clouds FM february 29 stori zilizopata airtime ni pamoja na hii ya Chege chigunda kutakiwa kubadilisha a.k.a yake baada ya kushindwa kuvunja nazi kwa ugoko. ‘Nijiite mvunja yai kwa ugoko hapana si kweli mimi ndio mvunja nazi kwa ugoko na nazi inavunjwa usiku kujiita mvunja nazi kwa ugoko ni kutokana na kazi ngumu […]

The post Baada ya Chege kushindwa kuvunja nazi kwa ugoko…? Mwana FA amegunduguanini baada ya hitsong ya Asanteni kwa kuja…. appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani