Arsenal wana wasiwasi huenda wasiuziwe Thomas Lemar

Gunners bado wanatia juhudi kumnunua mchezaji huyo lakini sasa kumeibuka wasiwasi kwamba mabingwa hao wa Ufaransa huenda wasitake kumuuza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Je,wanaotumia simu za iPhone wana wasiwasi?

Kufuatia hatua ya shirika la ujasusi la Marekani kufungua simu ya iPhone ya muuaji wa San Bernadinho huko Marekani,je wateja wanaotumia simu hizo wana wasiwasi kuhusu usalama wa simu hizo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Utafiti: Watanzania wana wasiwasi kuhusu mashambulizi

Matokeo ya utafiti yaliyotolewa leo yanaonyesha wengi wana wasiwasi juu ya vitisho vya mashambulio dhidi ya Tanzania siku zijazo.

 

1 year ago

BBCSwahili

Wasiwasi Arsenal kuhusu jeraha la Debuchy

Beki wa kulia wa Arsenal Mathieu Debuchy ana wasiwasi kwamba jeraha alilolipata Jumapili ni mbaya, meneja Arsene Wenger amesema.

 

2 months ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Sina wasiwasi wa kufutwa kazi Arsenal

Vijana wa Wenger watakuwa wenyeji wa viongozi wa ligi Manchester City mechi ya Ligi ya Premia mnamo Alhamisi, siku nne baada yao kupokezwa kichapo cha 3-0 katika fainali ya Kombe la Carabao na Manchester City uwanjani Wembley.

 

2 years ago

Bongo5

Jack Wilshere huenda akaondoka Arsenal kwa mkopo

Klabu ya Arsenal iko tayari kumtoa kwa mkopo mchezaji wao kiungo wa kati wa Uingereza Jack Wilshere ili kupata fursa ya kujumuika katika kikosi cha kwanza cha timu ya taifa.

_90965754_wilshere_rex

Wilshere mwenye umri wa miaka 24,ambaye amekuwa majeruhi kutokana na jeraha la mguu aliichezea Arsenal mara tatu pekee msimu uliopita baada ya kupata jeraha hilo.

Aliichezea Uingereza mara sita pekee msimu ulioipita ,ikiwemo mechi tatu katika mashindano ya Euro2016, lakini hakuchaguliwa katika kikosi cha kwanza cha...

 

1 year ago

Channelten

Ripoti ya Gallup yaonesha asilimia 67 ya wamerekani wenye mapato ya chini wana wasiwasi wa njaa na kupoteza makazi

1

Ripoti mpya iliyotolewa na kampuni ya uchunguzi ya Gallup inaonesha kuwa wastani wa asilimia 67 ya raia wa Marekani wenye mapato ya chini, wana wasiwasi mkubwa wa kukumbwa na njaa na kupoteza makazi yao, idadi ambayo imeongezeka kutoka asilimia 51 ya mwaka 2010 hadi 2011. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, suala linalofuatiliwa zaidi na wamarekani kwa ujumla ni upatikanaji na gharama za huduma za afya, ambalo asilimia 57 ya waliohojiwa wameeleza wasiwasi mkubwa.

CHANZO : CRI

 

4 years ago

GPL

WANANCHI WANAAMINI GESI IMELETA NEEMA TANZANIA JAPO WANA WASIWASI KUWA SERIKALI, MATAJIRI WATAFAIDIKA ZAIDI

Juni 3, 2014, Dar es Salaam: Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu. Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika...

 

4 years ago

Dewji Blog

Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi

mabomba ya gesi

Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani