Arsenal yafuzu licha ya kulazwa 2-1 na Ostersunds

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa kikosi chake kilijivuta sana na kunusurika dhidi ya klabu ya Sweden Ostersunds FK, hivyobasi kufuzu katika raundi ya timu 16 bora katika kombe la ligi ya Yuropa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Keshi arejea licha ya kulazwa na Uganda

Stephen Keshi atarejea kama mkufunzi wa Super Eagles ya Nigeria shirikisho la soka la NFF limetangaza.

 

1 year ago

BBCSwahili

Europa League: Arsenal wakabidhiwa Ostersunds, Celtic wapewa Zenit St Petersburg

Celtic wamepangwa kucheza dhidi ya Zenit St Petersburg hatua ya 32 bora ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League, nao Arsenal wakapewa FK Ostersunds ya Sweden.

 

5 years ago

BBCSwahili

Arsenal yafuzu UEFA 2014

Asernal yafuzu kucheza fainali za kombe la UEFA kwa msimu wa 17 mfululizo, yaifunga Besiktas 1-0

 

4 years ago

BBCSwahili

Arsenal yafuzu,Liverpool yatoka sare

Yaya Sanogo aliifungia Arsenal bao lake la kwanza walipoizaba kilabu ya Borusia Dortmund na kuhakikisha wamefuzu.

 

2 years ago

Channelten

Licha ya ushindi wa 5-0, mashabiki wa Arsenal wamkomalia Wenger aondoke

WENGER

Kocha wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger amesema maoni toka kwa mashabiki wa timu hiyo hayawezi kuchangia yeye kutoa maamuzi ya kuondoka au kuendelea kubaki kwenye timu hiyo.
Mashabiki wa Arsenal waliandamana usiku wa jumanne mara baada ya timu hiyo kutandikwa bao 5-1 na Bayern Munich wakishinikisha kocha huyo kuondoka.

Lakini Kocha huyo Mfaransa amesema kitendo hicho cha mashabiki hao kuandamana hakiwezi kuwa kigezo cha yeye kuondoka na kuachana na Arsenal na kusema kuwa amefanya kazi...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Licha ya kusajiliwa usitegemee kumuona Asano Takuma akiichezea Arsenal msimu wa 2016/2017

1467631600_asano

Najua utakuwa ni mmoja kati ya mashabiki wa soka waliyosikia usajili huu wa majira ya joto kuwa klabu ya Arsenal ilifanikiwa kumsajili mshambuliaji wa kijapan Asano Takuma mwenye umri wa miaka 21, ila tayari Arsenal imecheza mechi mbili za EPL bila ya uwepo wa staa huyo, kitu ambacho Arsene Wenger amekitolea ufafanuzi. Kocha wa Arsenal […]

The post VIDEO: Licha ya kusajiliwa usitegemee kumuona Asano Takuma akiichezea Arsenal msimu wa 2016/2017 appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Habarileo

Magufuli akanusha kulazwa

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amekanusha madai ya kuugua na kulazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), Katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.

 

5 years ago

Mwananchi

Wagonjwa walalamika kulazimishwa kulazwa Amana

Licha ya Serikali kutangaza kuwa matibabu ya homa ya dengue ni bure, inadaiwa kuwa baadhi ya watoa huduma katika Hospitali ya Amana wamekuwa wakiwatoza wagonjwa Sh30,000 huku wengine wakitakiwa kulazwa kabla ya kupimwa na baadhi wakiambiwa vifaa vimekwisha.

 

3 years ago

Global Publishers

Rais Wa Israeli Augua Kiharusi Na Kulazwa

JERUSALEM Rais wa zamani wa Israeli bwana Shimon Peres (93), anaumwa ugonjwa wa kiharusi na madaktari wamesema ugonjwa huo umepelekea kuvuja kwa damu nyingi kwenye ubongo.

Taarifa ya aina gani ya ugonjwa ndiyo inamsumbua kiongozi huyo imetolewa na daktari bingwa anayemtibu kiongozi huyo  jana Jumanne.

Daktari Itzik Kreiss, mkurugenzi mkuu wa Sheba Medical Center, amewaambia waandishi wa habari nje ya hospitali hiyo iliyoko nje kidogo ya jiji la Tel Aviv kwamba:

“Ripoti inaonesha kuvuja kwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani