Arsenal yagonga mwamba kwa Keita

Kocha wa klabu ya RB Leipzing, Ralph Hasenhuttl amesema  kiungo wake Naby Keita haendi kokote msimu ujao licha ya kuwapo taarifa Arsenal kuhitaji huduma yake.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

BFT yagonga mwamba kwa Daba

>Uongozi wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa (BFT) umegonga mwamba adhima yake ya kuuondoa madarakani uongozi wa Chama cha Ngumi Mkoa wa Dar es Salaam (Daba).

 

2 years ago

Mtanzania

Mashtaka mapya kwa Lissu yagonga mwamba

LISSUNa Kulwa Mzee

– DAR ES SALAAM

JAMHURI imeshindwa kuwasomea mashtaka mapya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema)   na wahariri wa gazeti la Mawio baada ya upande wa utetezi kudai wanayarudisha mashtaka yaliyofutwa kivingine.

Hoja za kupinga kusomewa mashtaka hayo ziliwasilishwa jana na Wakili wa Utetezi, Peter Kibatala, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba.

Hoja hizo ziliibua mvutano mkali uliosababisha Hakimu Simba,  kuwaonya mawakili...

 

2 years ago

Mtanzania

SAKATA LA BILLICANAS, NHC yagonga mwamba kwa Mbowe mahakamani

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.

Na Jonas Mushi, Dar es Salaam

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imetupa pingamizi lililowasilishwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la kuitaka isisikilize maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ya kutaka arudishwe katika jengo alilonyang’anywa maarufu kama Billicanas.

NHC na Kampuni ya Udalali ya Poster and General Traders, waliwasilisha pingamizi la awali wakidai kwamba...

 

4 years ago

Mwananchi

Nyongeza ya posho yagonga mwamba

>Madai ya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka nyongeza ya posho ya vikao vya Bunge hilo yamegonga mwamba, Mwananchi limebaini.

 

2 years ago

Mwananchi

BP Tanzania yagonga mwamba kortini

Harakati za Kampuni ya Mafuta ya BP Tanzania kujinasua na madai ya kodi ya zaidi ya Sh477.7 milioni zimegonga mwamba baada ya Mahakama ya Rufani kutupilia mbali rufaa yake ya kupinga kulipa kodi hiyo ya zuio.

 

1 year ago

Mwananchi

Rufaa ya Lema yagonga mwamba

Usikilizwaji wa Rufaa ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ya kupinga kunyimwa dhamana imekwama kusikilizwa baada ya upande wa Jamhuri kukata rufaa ya kupinga mbunge huyo kuongezewa muda wa kuwasilisha notisi ya rufaa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Rufaa ya Blatter ,Platini yagonga mwamba

Rufaa ya aliyekuwa Rais wa Fifa,Sepp Blatter na raisi wa Uefa Michel Platini zakataliwa

 

3 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo Sudan Kusini yagonga mwamba

Mazungumzo ya kutatua mzozo unaokumba Sudan Kusini yamegonga mwamba, saa kadhaa kabla ya UN kuwawekea makataa wanaohusika.

 

2 years ago

Mtanzania

Kenya yagonga mwamba ujenzi bomba la mafuta

Kenyan-President-Uhuru-Kenyatta-Mwandishi Wetu na Mashirika ya Habari

UJENZI wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Uganda, umeziingiza Tanzania na Kenya katika vita kali ya kuwania mradi huo, ambao utaifanya nchi moja wapo kuwa kitovu cha biashara na usafirishaji katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Siku chache tu baada ya Uganda na Tanzania kuafikiana kuhusu ujenzi wa bomba hilo kutoka Bandari ya Tanga hadi Uganda, Jumatatu wiki hii Rais Uhuru Kenyatta alimwalika Rais wa Uganda, Yoweri Museveni Ikulu mjini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani