Arsenal yanusurika kombe la Yuropa

Arsenal ilitinga nusu fainali ya kombe la bara Yuropa kwa jumla ya mabao 6-3 dhidi ya CSKA Moscow licha ya sare ya 2-2 nchini Urusi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Everton yabanduliwa kombe la Yuropa

Everton iliosalia na wachezaji 10 uwanjani walidondolewa katika kombe la ligi ya Yuropa baada ya kushindwa na Lyon

 

1 year ago

BBCSwahili

Arsenal yapata ushindi wa tatu mfululizo Yuropa

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa kikosi chake kilionyesha ujasiri huku kikiendeleza mwanzo mzuri wa kuwania kombe la Yuropa

 

1 year ago

BBCSwahili

Droo ya Yuropa: Arsenal kukabiliana na Colgne na Red Star Belgrade

Arsenal wameorodheshwa katika kundi moja na BATE Borisov, Cologne na Red Star Belgrade katika michuano ya kombe la ligi ya Yuropa

 

2 years ago

Michuzi

Simba Yanusurika kuenguliwa Kombe la Shirikisho


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea rufaa kutoka Klabu ya Polisi Dar es Salaam dhidi ya Klabu ya Simba kuhusu kumchezesha Mchezaji Novalty Lufunga katika mchezo wao wa Raundi ya Tano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup 2017.
Madai ya Polisi ni kwamba Mchezaji Novalty Lufunga alioneshwa kadi nyekundu kwenye mchezo kati ya Simba na Coastal Union katika mchezo wa Azam Sports Federation Cup 2015/2016 uliofanyika Uwanja wa Taifa, Aprili 11, mwaka jana.
Shirikisho la Mpira wa...

 

2 years ago

Michuzi

YANGA WAKABIDHIWA KOMBE LAO MWANZA, MBAO YANUSURIKA KUSHUKA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii,Mwanza.Ligi Kuu Tanzania Bara imemalizika leo kwa timu ya Yanga kutawazwa ubingwa wa msimu wa 2016/17 ikiwa ni  mara 27 toka ligi kuanzishwa.
Yanga waliokuwa ugenini dhidi ya Mbao iliweza kupoteza mechi hiyo ya mwisho lakini walitawazwa ubingwa kwa idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa dhidi ya Mahasimu wao wakubwa Simba.Katika mechi hiyo iliyoanza sa  10 Mbao waliandika goli lao la kwanza na la ushindi katika kipindi cha kwanza  ambapo liliweza kudumu mpaka...

 

4 years ago

BBCSwahili

Man U yatolewa kombe la FA na Arsenal

Timu ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la FA baada ya kuwalaza mahasimu wao Manchester United kwa jumla ya mabao 2 - 1.

 

4 years ago

BBCSwahili

Kombe la FA:Arsenal kuchuana na Reading

Kiungo wa kati wa Arsenal Jack Wilshere huenda akaanzishwa kwa mara ya kwanza baada ya kupona jeraha la kifundo cha mguu.

 

3 years ago

Mtanzania

Arsenal yapangiwa na Burnlye Kombe la FA

wengerLONDON, ENGLAND

DROO ya raundi ya nne ya michuano ya Kombe la FA, imetoka huku timu za Ligi Kuu nchini England zikipangwa na zile za daraja la kwanza.

Arsenal ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe hilo, wao wamepangwa kukipiga na timu ya Burnley, huku Chelsea wao wakiwa ugenini wataanza kukutana na mshindi wa mchezo kati ya Northampton Town au Mk Dons.

Wakati huo Manchester City wao watakipiga na mshindi wa mchezo kati ya Wycombe Wanderers au Aston Villa, huku majirani zao Manchester United...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani