Arsenal yapangiwa na Burnlye Kombe la FA

wengerLONDON, ENGLAND

DROO ya raundi ya nne ya michuano ya Kombe la FA, imetoka huku timu za Ligi Kuu nchini England zikipangwa na zile za daraja la kwanza.

Arsenal ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe hilo, wao wamepangwa kukipiga na timu ya Burnley, huku Chelsea wao wakiwa ugenini wataanza kukutana na mshindi wa mchezo kati ya Northampton Town au Mk Dons.

Wakati huo Manchester City wao watakipiga na mshindi wa mchezo kati ya Wycombe Wanderers au Aston Villa, huku majirani zao Manchester United...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Man U yatolewa kombe la FA na Arsenal

Timu ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la FA baada ya kuwalaza mahasimu wao Manchester United kwa jumla ya mabao 2 - 1.

 

4 years ago

BBCSwahili

Kombe la FA:Arsenal kuchuana na Reading

Kiungo wa kati wa Arsenal Jack Wilshere huenda akaanzishwa kwa mara ya kwanza baada ya kupona jeraha la kifundo cha mguu.

 

1 year ago

BBCSwahili

Arsenal yanusurika kombe la Yuropa

Arsenal ilitinga nusu fainali ya kombe la bara Yuropa kwa jumla ya mabao 6-3 dhidi ya CSKA Moscow licha ya sare ya 2-2 nchini Urusi.

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal yailaza Chelsea kushinda kombe la FA

Bao lililofungwa na Danielle carter lilikisaidia kikosi cha wanawake wa timu ya Arsenal kuchukua taji la 14 la kombe la FA baada ya kkuilaza Chelsea

 

2 years ago

BBCSwahili

Kinadada wa Arsenal watupwa nje Kombe la FA

Mabingwa watetezi wa Kombe la FA la Wanawake nchini Uingereza, Kinadada wa Arsenal, wametupwa nje ya michuano ya mwaka huu.

 

1 year ago

BBCSwahili

Nottingham yaitupa nje ya kombe la Fa Arsenal

Bingwa mtetezi wa michuano ya kombe la Fa klabu ya Arsenal imeondolewa katika michuano hiyo kwa kuchapwa 4-0 na Nottingham Forest

 

5 years ago

GPL

ARSENAL BINGWA FA, NI BAADA YA MIAKA 9 BILA KOMBE!

Arsenal wametwaa kombe la FA baada ya kukaa miaka tisa bila kombe lolote. Wametwaa ndoo hiyo kwa kuifunga Hull City bao 3-2 katika muda wa nyongeza baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida kwenye Uwanja wa Wembley usiku huu. Wafungaji Arsenal: Carzola dakika ya 17, Koscielny dakika ya 71 na Ramsey dakika ya 109 wakati ya Hull City yakifungwa na Chester dakika ya 4 na Davies dakika ya 8. ...

 

1 year ago

BBCSwahili

Chelsea yatoka sare na Arsenal kombe la Carabao

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte ameunga mkono utumizi wa mfumo wa video unaowasaidia marefa baada ya timu yake kutoka sare tasa na Arsenal katika nusu fainali ya kombe la Carabao

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani