Arsenal,Man City na Man United zafuzu FA

Mabingwa watetezi wa Kombe la FA Arsenal walitoka nyuma na kuweza kufuza kwa raundi ya tatu ya kombe hilo baada ya kuicharaza Sunderland mabao 3-1.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Mechi 3 muhimu kujua takwimu zake leo, Genk Vs Brugge, Man United Vs Arsenal na Liverpool Vs Man City

Latest-Stats

Ligi Kuu ya Ubelgiji inaendelea leo February 28 kama kawaida, ila kwa upande wa timu inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta itakuwa na mtihani wa kucheza na vinara wa Ligi hiyo, Club Brugge katika mchezo utakaochezwa saa 16:30 leo February 27. Ligi Kuu Uingereza inaendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa, ila mchezo kati ya Man United […]

The post Mechi 3 muhimu kujua takwimu zake leo, Genk Vs Brugge, Man United Vs Arsenal na Liverpool Vs Man City appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 months ago

BBCSwahili

Jedwali la Msimamo wa ligi ya EPL 2018/19: Manchester City, Man United, Liverpool, Chelsea, Arsenal

Msimamo wa Ligi Kuu ya England kufikia tarehe 31 Desemba, 2018.

 

3 years ago

MillardAyo

Rekodi 10 za kufahamu kuelekea mechi ya kihistoria Man United vs Man City

_89775101_89775100

Mashabiki wa soka ulimwenguni kote wanashauku ya kutaka kuona mchezo wa kwanza wa durby unaowakutanisha makocha wenye upinzania mkubwa Jose Mourinho na Pep Gurdiola, huu ni mchezo ambao unatajwa kuwa weekend hii utakusanya na kuangaliwa na mashabiki wengi, tayari magazeti ya England yameripoti maafisa usalama 400 kuwa watahudhuria mchezo huu. Kuna vingi inawezekana ukawa hufahamu […]

The post Rekodi 10 za kufahamu kuelekea mechi ya kihistoria Man United vs Man City appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Staa atakayeukosa mchezo wa EFL Cup wa Man United vs Man City

kevin-de-bruyn-on-his-way-to-manchester-from-germany

Bado presha ya mchezo wa watani wa jadi wa jiji la Manchester utakaochezwa kesho October 26 katika uwanja wa Old Trafford kati ya Man United dhidi ya Man City  unazid kuchukua headlines kila kukicha, wengi wanatamani kujua na kuona Man United chini ya Jose Mourinho watakubali kipigo cha pili kutoka kwa Man City ya Guradiola. Kama […]

The post Staa atakayeukosa mchezo wa EFL Cup wa Man United vs Man City appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Man City na Man United wametoka sare yao ya 52 leo

Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 imeendelea usiku wa leo April 27 kwa mchezo mmoja wa Ligi Kuu England kuchezwa katika uwanja wa Etihad jijini Manchester. Mchezo wa EPL leo ulikuwa unazikutanisha timu mahasimu kutoka jiji la Manchester kati ya Man United waliyowafuata Man City katika uwanja wao wa Etihad kucheza mchezo wao wa 33 […]

The post Man City na Man United wametoka sare yao ya 52 leo appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Channelten

Ligi kuu Uingereza: Arsenal, Chelsea zachezea kichapo, Man City yafanya mauaji, Man U yaambulia sare.

rrt

Ligi kuu ya Uingereza (EPL) imeendelea wikiendi iliyomalizika huku Manchester City wakifanya mauaji kwa kuichapa Stoke City magoli 7-2. Crystal Palace imeilaza Chelsea kwa goli 2-1, huku Arsenal ikibomolewa na Watford kwa jumla ya magoli 2-1. Nayo Manchester United imeambulia sare ya 0-0 dhidi ya Liverpool.

Share on: WhatsApp

The post Ligi kuu Uingereza: Arsenal, Chelsea zachezea kichapo, Man City yafanya mauaji, Man U yaambulia sare. appeared first on Channel Ten.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Mashabiki wafoka mechi ya kirafiki Man United vs Man City kuonyeshwa MUTV

Mashabiki wa Etihad wamekasirishwa kuhusu taarifa kwamba mechi ya kirafiki baina ya Manchester United  na City itaonyeshwa kupitia runinga ya mtandaoni ya Mashetani Wekundu.

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 6: Man United walivyoondoka Beijing kinyonge kwa kushindwa kucheza na Man City

36941E9600000578-0-image-a-9_1469461041945

Kikosi cha Man United kilichokuwa kimeweka kambi Beijing China kwa ajili ya mechi za maandalizi ya msimu pamoja na kucheza mechi za International Champions Cup, Man United wameondoka jioni ya July 25 baada ya kushindwa kucheza mechi yao na Man City kutokana na hali ya hewa na hali ya uwanja kuwa mbovu. Man United wameshindwa kucheza mechi yao […]

The post PICHA 6: Man United walivyoondoka Beijing kinyonge kwa kushindwa kucheza na Man City appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani