Arsene Wenger aifungulia milango timu ya taifa ya Uingereza

Baada ya Uingereza kutolewa katika michuano ya Euro na kumfukuza aliyekuwa kocha wake, Roy Hodgson na kuanza kutajwa baadhi ya makocha wanaoweza kukabidhiwa mikoba ya kocha Hodgson, mmoja wapo ni kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ambaye na yeye ameonyesha nia ya kuifundisha timu ya taifa ya Uingereza.

Mbali na maelezo ambayo ameyatoa kocha huyo kuwa Uingereza inafuatia kuwa nyumbani kwake baada ya Ufaransa lakini pia kumekuwepo na taarifa za chini ya kapeti kuwa kocha huyo hana uhakika kama...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Arsene Wenger aikataa timu ya taifa England

KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger

KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger

LONDON, ENGLAND

KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger, ameweka wazi kuwa hana mpango wa kutaka kuifundisha timu ya taifa ya England (Three Lions), akichukua nafasi ya Sam Allardyce, ambaye amefungashiwa virago.

Chama cha Soka nchini England (FA), kwa sasa kinahangaika kutafuta kocha ambaye atachukua nafasi ya Sam, lakini inadaiwa kwamba katika makocha ambao wametajwa kuwaniwa na chama hicho ni pamoja na jina la Wenger.

Hata hivyo, kocha huyo ambaye...

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Marefa wanalindwa kama simba Uingereza

Arsene Wenger amesema waamuzi nchini Uingereza wanalindwa kama simba kwenye kituo cha kuhifadhi wanyama, baada ya Arsenal kulazwa na Manchester City 2-1 Jumapili.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Tuna matumaini kushinda ligi Uingereza

Arsenal ni sharti iamini kwamba bado inaweza kushinda ligi ya Uingereza msimu huu licha ya pengo la pointi 12 kati yake na viongozi wa ligi Chelsea ,kulingana na mkufunzi Arsene Wenger.

 

3 years ago

Dewji Blog

Alexandre Lacazette aifungulia milango Arsenal

Ndoto ya mashabiki wa Arsenal kuona sura mpya katika kikosi chao kufuatia kupoteza mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya Uingereza dhidi ya Liverpool, inaonekana kuanza kuonekana kama itakuwa tayari kuipata saini ya mshambuliaji wa Lyon, Alexandre Lacazette.

Hilo limejulikana baada ya Lacazette kufunguka kuwa atakuwa tayari kujiunga na klabu nyingine iwapo tu itafikia makubaliano na timu yake anayoitumikia sasa ya Lyon ya Ufaransa.

“Kama kutakuwa na ofa ambayo haitakataliwa, na mimi...

 

2 years ago

Mwananchi

Kante aifungulia Chelsea milango ya kutwaa mataji

Kiungo wa Chelsea, N’Golo Kante amefungua milango ya mataji kwa klabu yake, Chelsea msimu huu baada ya juzi usiku kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka cha Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA).

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif aifungulia Cuba milango ya uwekezaji Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Wawekezaji na wananchi wa Jamuhuri ya Cuba wana nafasi nzuri ya kutumia  mlango wa uwekezaji uliofunguliwa na Zanzibar katika kuanzisha miradi mipya  kwenye Sekta ya Utalii hapa Nchini.

Alisema mpango huo ambao licha ya kuimarisha uhusiano wa muda mrefu  uliopo kati ya Zanzibar na Cuba tokea Uhuru wa Mataifa hayo Mawili lakini pia utaongeza ushirikiano wa  pande hizo zinazofanana katika Historia zake.

Balozi Seif Ali Iddi...

 

2 years ago

Michuzi

TAJIRI ALIKO DANGOTE KUMTUMBUA KOCHA ARSENE WENGER ENDAPO ATAFANIKIWA KUINUNUA KLABU YA ARSENAL YA UINGEREZA


Na Sultani Kipingo, Globu ya JamiiMfanya biashara bilionea wa Nigeria Aliko Dangote amesema jambo la kwanza atalofanya endapo atafanikiwa kuinunua klabu ya Arsenal ya Uingereza ni kumtumbua kocha Arsene Wenger. 

 Toka mwezi Mei mwaka 2015 Dangote amekuwa akikaririwa mara kwa mara kuwa ana mipango ya kuinunua klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza ambayo mshika dau mkuu wake ni bilionea wa Kimarekani Stan Kroenke anayeshikilia hisa asilimia 67 za klabu hiyo. 

 January 18 mwaka huu...

 

3 years ago

MillardAyo

Arsene Wenger ni kocha wa nne kuhusishwa kufukuzwa kazi Uingereza msimu huu, hili ndio jina la mrithi wake

SWANSEA, WALES - MARCH 16:   Arsene Wenger, Manager of Arsenal looks on prior to kick off during the Barclays Premier League match between Swansea City and Arsenal at Liberty Stadium on March 16, 2013 in Swansea, Wales.  (Photo by Jan Kruger/Getty Images)

Headlines za vibarua vya makocha wa Ligi Kuu Uingereza msimu huu kutoka katika vilabu vikubwa kuwa mashakani vinazidi kushika kasi kila kukicha, ilianza kwa kocha Jose Mourinho kufukuzwa kazi na Chelsea baada ya kuhusishwa kwa wiki kadhaa. Majina ya kocha wa Man City Manuel Pellegrini, kocha wa Man United Louis van Gaal na sasa kocha […]

The post Arsene Wenger ni kocha wa nne kuhusishwa kufukuzwa kazi Uingereza msimu huu, hili ndio jina la mrithi wake appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Wenger: Sio rahisi kuwa katika timu nne bora Uingereza

Mwaka 2012 Wenger alisema kuwa miongoni mwa nafasi nne bora ni sawa na kushinda taji

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani