Arsene Wenger aikataa timu ya taifa England

KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger

KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger

LONDON, ENGLAND

KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger, ameweka wazi kuwa hana mpango wa kutaka kuifundisha timu ya taifa ya England (Three Lions), akichukua nafasi ya Sam Allardyce, ambaye amefungashiwa virago.

Chama cha Soka nchini England (FA), kwa sasa kinahangaika kutafuta kocha ambaye atachukua nafasi ya Sam, lakini inadaiwa kwamba katika makocha ambao wametajwa kuwaniwa na chama hicho ni pamoja na jina la Wenger.

Hata hivyo, kocha huyo ambaye...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Arsene Wenger aifungulia milango timu ya taifa ya Uingereza

Baada ya Uingereza kutolewa katika michuano ya Euro na kumfukuza aliyekuwa kocha wake, Roy Hodgson na kuanza kutajwa baadhi ya makocha wanaoweza kukabidhiwa mikoba ya kocha Hodgson, mmoja wapo ni kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ambaye na yeye ameonyesha nia ya kuifundisha timu ya taifa ya Uingereza.

Mbali na maelezo ambayo ameyatoa kocha huyo kuwa Uingereza inafuatia kuwa nyumbani kwake baada ya Ufaransa lakini pia kumekuwepo na taarifa za chini ya kapeti kuwa kocha huyo hana uhakika kama...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Wenger: Timu dhaifu inatwaa ubingwa England

 Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amehoji kiwango wa Chelsea kutokana na kutajwa kuwa nafasi ya sita kwenye viwango vya soka Ulaya wakati wakiukaribia ubingwa.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger Wenger awasifu mashabiki wa Arsenal

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema mashabiki wa klabu hiyo walikuwa wazuri sana wakati wa mechi dhidi ya Manchester City ambayo iliisha kwa sare ya 2-2 uwanjani Emirates.

 

4 years ago

BBCSwahili

Berahino atajwa timu ya taifa England

Mshambuliaji wa West Bromwich Albion Saido Berahino mwenye asili ya Burundi ametajwa kwenye Kikosi cha timu ya Taifa ya England

 

3 years ago

Mtanzania

Historia ya makocha timu ya taifa England

BADI MCHOMOLO NA MITANDAO

MWISHONI mwa wiki iliyopita habari ambayo iligonga vichwa mbalimbali vya habari katika soka ulimwenguni ni kuhusu aliyekuwa kocha wa zamani wa klabu ya Newcastle, Sunderland, West Ham na klabu nyingine, Sam Allardyce, kufukuzwa kazi katika timu ya taifa ya England.

Ni siku 67 tangu kocha huyo ateuliwe kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya England, huku akichukua nafasi ya Roy Hodgson ambaye alijiuzulu mara baada ya timu hiyo kutolewa katika michuano ya Euro...

 

4 years ago

GPL

MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA ENGLAND AKAMATWA NA POLISI

Mchezaji wa timu ya taifa ya England na timu ya Sunderland, Adam Johnson. Mchezaji wa timu ya taifa ya England na timu ya Sunderland, Adam Johnson amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kufanya mapenzi na msichana mwenye umri wa miaka 15. Polisi katika eneo la Durham wamesema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 amekamatwa mapema wiki hii kwa tuhuma za kufanya mapenzi na binti mwenye umri wa chini ya miaka 16, na amebaki chini ya...

 

3 years ago

Mtanzania

Rooney atakiwa kustaafu timu ya taifa England

Wayne Rooney

Wayne Rooney

LONDON, ENGLAND

NAHODHA wa zamani wa timu ya Taifa ya England, Alan Shearer, amemtaka nahodha wa sasa katika timu hiyo, Wayne Rooney, kustaafu kuitumikia timu hiyo na nguvu zake azielekeze katika klabu yake.

Rooney mwenye umri wa miaka 30, ameitwa katika kikosi cha kocha mpya wa timu hiyo, Sam Allardyce, kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia ambao utapigwa dhidi ya Slovakia Jumapili mwishoni mwa wiki hii.

Nyota huyo amekuwa nahodha wa timu hiyo tangu...

 

1 year ago

BBCSwahili

Cork aitwa kuchezea timu ya taifa England

Kiungo wa kati wa Burnley Jack Cork ameitwa kujiunga na kikosi cha England kinachojiandaa kwa mechi za kirafiki dhidi ya Ujerumani na Brazil.

 

5 years ago

GPL

WACHEZAJI WALIOITWA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND KOMBE LA DUNIA

Hatimaye kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson ametangaza kikosi cha timu hiyo kitakachoenda Brazil hivi punde.
Kikosi cha England kilichotangazwa kina majina ya wachezaji wafuatao:
Goalkeepers: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Brom)
Defenders: Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchster United), Phil Jagielka (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani