Arsene Wenger apata wakati mgumu kumzuia Sanchez kuondoka

Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger huenda akawa na wakati mgumu wa kumshawishi mshambuliaji wake Alexis Sanchez kuendelea kubaki ndani ya timu hiyo.

west-ham-united-v-arsenal-premier-league

Imedaiwa kuwa mshambuliaji huyo wiki hii amepokea ofa kutoka kwenye timu moja inayoshiriki ligi kuu ya China ikitaka kumlipa mshahara wa paundi 400,000 kwa wiki.

Kwa sasa Sanchez anayemaliza mkataba wake wa kuichezea timu hiyo mwaka 2018 anapokea mshahara wa paundi 130,000 kwa wiki.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Umefika wakati wa Arsene Wenger kuondoka Arsenal?

MWISHONI mwa Januari na mwanzoni mwa Februari hakijawa kipindi kizuri kwa Arsenal.

 

1 year ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Sanchez na Ozil hawaondoki ng'o

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa mshambuliaji Alexis Sanchez na kiungo wa kati Mesut Ozil wataichezea Arsenal baada ya dirisha la uhamisho la mwezi Januari

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Arsenal imesitisha mazungumzo na Sanchez na Ozil

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema klabu hiyo imesitisha kwa muda mazungumzo kuhusu mikataba ya Alexis Sanchez na Mesut Ozil hadi mwisho wa msimu.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger anaamini Sanchez atarejea kuwa hatari

Alexis Sanchez hatatizika kurejea kucheza vyema katika Arsenal baada ya kutoridhika wakati wa kipindi cha kuhama wachezaji kilichomalizika wiki iliyopita, meneja wa klabu hiyo Arsene Wenger amesema.

 

1 year ago

BBCSwahili

Arsene Wenger amlilia Alexis Sanchez kusalia Arsenal

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa uamuzi wake wa kumchezesha Alexis Sanchez kama mchezaji wa ziada dhidi ya Chelsea siku ya Jumatano hauna uhusiano na uvumi kuhusu uhamisho wake

 

4 years ago

Mtanzania

Arsene Wenger atakiwa kuondoka Arsenal

WENGERLONDON, ENGLAND

BAADA ya Arsenal kupokea kichapo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Emirates, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Olympiakos, mashabiki wa klabu hiyo wamemtaka kocha wao, Arsene Wenger kuachia ngazi.

Katika mchezo huo ambao ulipigwa mwanzoni mwa wiki hii, Arsenal ilikubali kichapo cha mabao 3-2 na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya mwisho katika kundi F ikiwa haina hata pointi na wakitarajia kukutana na Bayern Munich katika mchezo wao wa tatu.

Mashabiki wa Arsenal...

 

2 years ago

BBCSwahili

Wenger: Alexi Sanchez hajasema anataka kuondoka

Mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez hajamwambia mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger kwamba anataka kuondoka katika klabu hiyo

 

1 year ago

BBCSwahili

Arsene Wenger akubali kuondoka Arsenal mwisho wa msimu

Mkufunzi wa Arsenal amekubali kuondoka katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu

 

1 year ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Haukua uamuzi wangu kuondoka Arsenal

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa tangazo lililofanywa kuhusu kuondoka kwake katika klabu ya Arsenal siku ya Jumatano baada ya takriban miaka 22 haukuwa uamuzi wake.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani