Arsene Wenger aweka kandarasi ya miaka 2 Arsenal

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger ametia saini kandarasi mpya ya miaka miwili katika klabu hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Arsene Wenger aweka kitendawili kuhusu hatma yake na Arsenal

24
Mkufunzi mkuu wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger, anasema kuwa hatma yake ya baadaye “haitawatatiza kwa vyovyote wachezaji.”
Aidha, Wenger anakiri kuwa mabao 3-0 waliyofungwa na timu ya Crystal Palace ni “jambo la kuleta wasiwasi mkubwa”.

Mkataba ya Wenger unamalizika mwishoni mwa msimu huu, huku akikabidhiwa mkataba mpya wa miaka mingine miwili, ingawa hajatangaza iwapo ataendelea kuifunza Arsenal au la. Arsenal iliyo katika nafasi ya 6, ina alama saba nyuma ya timu nne zilizoko katika...

 

5 years ago

GPL

ARSENE WENGER ASAINI MKATABA WA MIAKA 3 KUBAKI ARSENAL

Arsene Wenger ameongeza miaka mitatu Arsenal. KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger ameongeza mkataba wa miaka mitatu kubaki klabuni hapo. Atakuwa Arsenal mpaka mwaka 2017 kwa mkataba wa pauni milioni 24 sawa na bilioni 66.9 za Tanzania. Wenger baada ya kutwaa Kombe la FA. Kocha huyo aliyetwaa Kombe la FA baada ya ukame wa makombe kwa miaka tisa, amepatiwa pauni milioni 100 kwa ajili ya usajili. Wenger mwenye miaka 64,… ...

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Meneja wa Arsenal atia saini mkataba wa miaka miwili

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, hatua itakayoendeleza muda ambao amekaa katika klabu hiyo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger Wenger awasifu mashabiki wa Arsenal

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema mashabiki wa klabu hiyo walikuwa wazuri sana wakati wa mechi dhidi ya Manchester City ambayo iliisha kwa sare ya 2-2 uwanjani Emirates.

 

3 years ago

BBCSwahili

Klopp aweka kandarasi ya miaka 6 na Liverpool

Mkufunzi wa Liverpool ameweka kandarasi mpya ya miaka sita na mmiliki wa klabu hiyo akisema ingekuwa makosa kutompatia kandarasi ndefu.

 

4 years ago

Mtanzania

Arsene Wenger atakiwa kuondoka Arsenal

WENGERLONDON, ENGLAND

BAADA ya Arsenal kupokea kichapo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Emirates, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Olympiakos, mashabiki wa klabu hiyo wamemtaka kocha wao, Arsene Wenger kuachia ngazi.

Katika mchezo huo ambao ulipigwa mwanzoni mwa wiki hii, Arsenal ilikubali kichapo cha mabao 3-2 na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya mwisho katika kundi F ikiwa haina hata pointi na wakitarajia kukutana na Bayern Munich katika mchezo wao wa tatu.

Mashabiki wa Arsenal...

 

5 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger aongezwa muda Arsenal

Ametia saini mkataba wa miaka miwili kama meneja wa klabu hiyo hadi mwaka 2017.

 

3 years ago

BBCSwahili

Usmanov: Arsenal ''inamuhitaji'' Arsene Wenger

Arsenal ''inamuhitaji'' Arsene Wenger hivyobasi mkufunzi huyo wa The Gunners ana uwezo wa kumchagua mrithi wake wakati atakapoondoka,kulingana na mwanahisa mkuu wa klabu hiyo Alisher Usmanov.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Arsenal waliwajibu wakosoaji

Wenger, 67, amekabiliwa na ukosoaji na upinzani mkali zaidi msimu huu, ambao ni wake wa 21 kwenye hatamu Arsenal, kutokana na kutofana kwa klabu hiyo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani