Arsene Wenger: Meneja wa Arsenal atia saini mkataba wa miaka miwili

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, hatua itakayoendeleza muda ambao amekaa katika klabu hiyo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger asema 'alisita' kutia saini mkataba mpya Arsenal

Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amesema ''alisita'' wakati wa kutia saini mkataba mpya mwishoni mwa msimu uliopita kwa sababu hakuwa na uhakika kwamba ''angeweza kuiongoza klabu hiyo.''

 

5 years ago

GPL

ARSENE WENGER ASAINI MKATABA WA MIAKA 3 KUBAKI ARSENAL

Arsene Wenger ameongeza miaka mitatu Arsenal. KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger ameongeza mkataba wa miaka mitatu kubaki klabuni hapo. Atakuwa Arsenal mpaka mwaka 2017 kwa mkataba wa pauni milioni 24 sawa na bilioni 66.9 za Tanzania. Wenger baada ya kutwaa Kombe la FA. Kocha huyo aliyetwaa Kombe la FA baada ya ukame wa makombe kwa miaka tisa, amepatiwa pauni milioni 100 kwa ajili ya usajili. Wenger mwenye miaka 64,… ...

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Hatima ya meneja wa Arsenal kuamuliwa

Mfaransa huyo wa miaka 67 amekuwa na Gunners tangu 1996 na mkataba wake wa sasa unafikia kikomo mwisho wa msimu huu.

 

3 years ago

BBCSwahili

Hector Bellerin: Arsenal atia saini mkataba mpya

Beki wa kulia wa Arsenal kutoka Uhispania Hector Bellerin ametia saini mkataba mpya wa muda mrefu katika klabu hiyo inayocheza Ligi ya Premia.

 

1 year ago

BBCSwahili

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger: Sijui kama nitakutana na Mourinho tena

Arsene Wenger - ambaye timu yake ilishinda ligi uwanjani Old Trafford mwaka 2002 - alianza mechi hiyo akionekana mwenye tabasamu tele lakini akaondoka kwa masikitiko.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Meneja wa Arsenal asema bado atakuwa kazi msimu ujao

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema kwamba hana shaka yoyote kwamba atakuwa bado anafanya kazi ya umeneja msimu ujao.

 

1 year ago

BBCSwahili

Unai Emery: Arsenal wamtangaza meneja wa zamani wa PSG kumrithi Arsene Wenger

Unai Emery ametangazwa kuwa meneja mpya wa Arsenal na afisa mkuu mtendaji wa klabu hiyo Ivan Gazidis.

 

1 year ago

BBCSwahili

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ashtakiwa na FA kwa aliyoyasema kuhusu sare West Brom

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amefungulwia amshtaka na Chama cha Soka England (FA) kutokana na tamko lake kuhusu waamuzi baada ya mechi yao ugenini Jumapili

 

1 year ago

BBCSwahili

Chemsha bongo:Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger ameongoza klabu hiyo kwa muda gani?

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wako na uwezo wako wa kukumbuka kwa kujibu maswali yafuatayo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani