Arsene Wenger: Mkufunzi wa Arsenal kuondoka katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu

Mkufunzi Arsene Wenger anatarajiwa kuondoka mwisho wa msimu huu hatua inayokamilisha uongozi wake wa miaka 22 katika klabu hiyo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Arsene Wenger akubali kuondoka Arsenal mwisho wa msimu

Mkufunzi wa Arsenal amekubali kuondoka katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu

 

1 year ago

BBCSwahili

Chemsha bongo:Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger ameongoza klabu hiyo kwa muda gani?

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wako na uwezo wako wa kukumbuka kwa kujibu maswali yafuatayo.

 

4 years ago

Mtanzania

Arsene Wenger atakiwa kuondoka Arsenal

WENGERLONDON, ENGLAND

BAADA ya Arsenal kupokea kichapo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Emirates, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Olympiakos, mashabiki wa klabu hiyo wamemtaka kocha wao, Arsene Wenger kuachia ngazi.

Katika mchezo huo ambao ulipigwa mwanzoni mwa wiki hii, Arsenal ilikubali kichapo cha mabao 3-2 na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya mwisho katika kundi F ikiwa haina hata pointi na wakitarajia kukutana na Bayern Munich katika mchezo wao wa tatu.

Mashabiki wa Arsenal...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Umefika wakati wa Arsene Wenger kuondoka Arsenal?

MWISHONI mwa Januari na mwanzoni mwa Februari hakijawa kipindi kizuri kwa Arsenal.

 

1 year ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Haukua uamuzi wangu kuondoka Arsenal

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa tangazo lililofanywa kuhusu kuondoka kwake katika klabu ya Arsenal siku ya Jumatano baada ya takriban miaka 22 haukuwa uamuzi wake.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Meneja wa Arsenal asema bado atakuwa kazi msimu ujao

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema kwamba hana shaka yoyote kwamba atakuwa bado anafanya kazi ya umeneja msimu ujao.

 

2 years ago

Michuzi

TAJIRI ALIKO DANGOTE KUMTUMBUA KOCHA ARSENE WENGER ENDAPO ATAFANIKIWA KUINUNUA KLABU YA ARSENAL YA UINGEREZA


Na Sultani Kipingo, Globu ya JamiiMfanya biashara bilionea wa Nigeria Aliko Dangote amesema jambo la kwanza atalofanya endapo atafanikiwa kuinunua klabu ya Arsenal ya Uingereza ni kumtumbua kocha Arsene Wenger. 

 Toka mwezi Mei mwaka 2015 Dangote amekuwa akikaririwa mara kwa mara kuwa ana mipango ya kuinunua klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza ambayo mshika dau mkuu wake ni bilionea wa Kimarekani Stan Kroenke anayeshikilia hisa asilimia 67 za klabu hiyo. 

 January 18 mwaka huu...

 

3 years ago

BBCSwahili

Hatma ya Wenger Arsenal yategemea msimu huu

Hatma ya meneja wa Arsenal, Arsene Wenger yategemea matokeo msimu huu.

 

3 years ago

MillardAyo

Arsene Wenger ni kocha wa nne kuhusishwa kufukuzwa kazi Uingereza msimu huu, hili ndio jina la mrithi wake

SWANSEA, WALES - MARCH 16:   Arsene Wenger, Manager of Arsenal looks on prior to kick off during the Barclays Premier League match between Swansea City and Arsenal at Liberty Stadium on March 16, 2013 in Swansea, Wales.  (Photo by Jan Kruger/Getty Images)

Headlines za vibarua vya makocha wa Ligi Kuu Uingereza msimu huu kutoka katika vilabu vikubwa kuwa mashakani vinazidi kushika kasi kila kukicha, ilianza kwa kocha Jose Mourinho kufukuzwa kazi na Chelsea baada ya kuhusishwa kwa wiki kadhaa. Majina ya kocha wa Man City Manuel Pellegrini, kocha wa Man United Louis van Gaal na sasa kocha […]

The post Arsene Wenger ni kocha wa nne kuhusishwa kufukuzwa kazi Uingereza msimu huu, hili ndio jina la mrithi wake appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani