Asasi za Kiraia ziomba serikali kutatua changamoto zinazowakbili watoto wa kike kushindwa kutimiza ndoto zao

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Asasi za kiraia na wadau wa elimu pamoja na Afya wameiomba serikali kutatua changamoto za watoto wa kike zinazofanya washindwe kutimiza ndoto mbalimbali ikiwemo ndoa za utotoni zinazotokana na mila potofu zinazoendelea katika jamii.
Akizungumza na waandishi habari wakati akimkabidhi mapendekezo ya wadau kwa  Afisa wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Dora Meena,Meneja wa Miradi ya Utetezi na Sera wa Taasisi ya Healthy...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Channelten

Asasi za kiraia zimekutana kuzungumzia juu ya mimba kwa watoto wa kike

wanafunzi luwiko

Asasi za kiraia zimekutana jijini dar es salaam kuzungumzia vikwazo vya mtoto wa kike katika kupata elimu ikiwemo umuhimu wa kuwapa watoto wa kike fursa ya kurudi shuleni mara baada ya kujifungua.

Kwa mujibu wa utafiti wa sauti ya wananchi mwaka 2016 asilimia 71 ya watanzania wanasema wasichana warejee shuleni kuendelea na masomo baada ya kujifungua.

Aidha, wamesema takwimu za mimba za utotoni Tanzania bara ni asilimia 27 ambayo imetajwa kuwa ni kubwa ukilinganisha na Zanzibar ambako ni...

 

4 years ago

Michuzi

Watoto wanaolelewa katika kituo cha mwandaliwa waazimia kutimiza ndoto zao

Tunu Jamal (17) hivi sasa anasoma kozi ya kutimiza ndoto yake ya kuwa Ofisa Ugavi katika Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology na ameanzia   ngazi ya cheti ili akifanya vizuri aweze kujiendeleza zaidi.
Mbali na kozi hiyo  anaungana na wenzake wanne wanaolelewa pamoja katika kituo cha Mwandaliwa kusoma kozi ya ushonaji ili ndoto yake isipotimia awe na ujuzi mbadala wa  kuendesha biashara ya ushonaji.
“Nachukua  mafunzo ya ushonaji wa nguo ili nisipofanikiwa katika fani ya ndoto yangu au...

 

4 years ago

GPL

WATOTO WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA MWANDALIWA WAAZIMIA KUTIMIZA NDOTO ZAO‏

Tunu Jamal (17) hivi sasa anasoma kozi ya kutimiza ndoto yake ya kuwa Ofisa Ugavi katika Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology na ameanzia   ngazi ya cheti ili akifanya vizuri aweze kujiendeleza zaidi. Mbali na kozi hiyo  anaungana na wenzake wanne wanaolelewa pamoja katika kituo cha Mwandaliwa kusoma kozi ya ushonaji ili ndoto yake isipotimia awe na ujuzi mbadala wa  kuendesha biashara ya ushonaji. “Nachukua ...

 

3 years ago

Michuzi

BAJETI YA WATOTO IONGEZWE KUTATUA CHANGAMOTO ZAO-C-SEMA

 Mratibu wa programu na Uhamasishaji wa Shirika lisilo la kiserikali la C-Sema, Michael Kehongoh akitoa maada katika semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa habari za watoto(TAJOC),Watunga sera na watoa maamuzi kutoka Wizara mbalimbali katika kujadili masuala ya watoto iliyofanyika katika hoteli ya Regence jijini Dar es Salaam.  Mratibu wa utetezi na ushawishi wa SOS nchini, John Batista akitoa maada katika  Semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa...

 

3 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kushirikiana na Vijana katika kutatua changamoto zao

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel akizungumza na Vijana wa Tanzania walioshiriki mkutano wa tatu wa Vijana kutoka nchi za Bonde la Mto Nile (hawapo pichani) uliofanyika nchini Misri kuanzia tarehe 6 – 14 Novemba 2015 ukiwa na lengo la kubadilishana uzoefu kutoka nchi washiriki. Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Bw. James Kajugusi Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mfumo wa kisiasa Zanzibar changamoto kubwa kwa asasi za kiraia

 

Asasi za kiraia Zanzibar zimetakiwa kujijengea mazingira bora  katika kufanyaji wa kazi zake za kuisaidia jamii  licha ya kuwa  zinakabiliwa na matatizo mengi yanayokwamisha jitihada zao za maendeleo.

Akizungumza katika mkutano  huo uliokutanisha  asasi mbalimbali Zanzibar mkufunzi wa chuo kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)Dr.Issa Haji Zidd amesema bado  asasi nyingi zinakabiliwa na matatizo  na  kurudisha nyuma malengo kutokana na  kukosa msukumo wa pamoja kati ya asasi na wawekezaji ...

 

1 year ago

Michuzi

ASASI ZA KIRAIA 25 ZAUNGANA KATIKA KUMTETEA MTOTO WA KIKE APATE NAFASI YA PILI KURUDI SHULENI

-- Rebeca Gumi kutoka tasisi ya Msichana Initiative akizungumza juu ya adha wanazopitia watoto wa kike pindi wanapokuwa katika masomo yao mara tu wanapovunja ungo mpaka kuhitimu mafunzo ya elimu ya juu na kuomba wapewe nafasi ya pekee katika jamii hili waweze kuzifikia ndoto zao. Mtafiti kutoka Tasisi isiyo ya Kiserikali ya TWAWEZA ,Richard Temu akizungumzia juu ya matokeo ya tafiti iliyofanyw ana asasi za kiraia kwa kushirikiana na Serikali katika kubaini Changamoto za mtoto wa kike .

 

3 years ago

StarTV

NEC kuishawishi serikali kuzipa fedha asasi za kiraia

Tume ya taifa ya uchaguzi NEC, imesema inakusudia kuishawishi Serikali pamoja na Mashirika ya kimataifa, kutoa fedha kwa asasi za kiraia, zitakazoteuliwa na tume hiyo katika kutoa elimu ya mpiga kura katika chaguzi zijazo.

Hatua hiyo inafuatia kubainika kwa asasi nyingi za kiraia zilizoteuliwa na tume kutoa elimu ya mpiga kura katika uchaguzi mkuu wa mwezi Octoba mwaka jana kushindwa kufikia malengo kutokana na ama fedha walizoomba kwa wafadhili kuchelewa au kutokupata kabisa.

Kamishna wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tamasha la Msafara lafana Ifakara, vijana wengi wajengewa uwezo wa kutimiza ndoto zao

 Baadhi ya vijana wakiwa wanaendelea kufanya usafi maeneo ya Uwanja wa Taifa wa Ifakara eneo ambapo Tamasha hilo la Msafara lilifanyika.

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombero Bw. Yahya Naniya(aliyevaa miwani) akiwa katika ushiriki wa kufanya usafi kaika uwanja wa Taifa wa Ifakara

 Mwenyekiti wa Maandalizi wa Msafara kutoka TYDC James Isdore akielezea maana ya msafara kwa wakazi wa Ifakara

  Baadhi ya wakazi wa Ifakara wakiendelea kusikiliza kinacho endelea 

Mbunge wa Kilombero...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani