Asisitiza amani na utulivu kwenye uchaguzi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Shija Othmani amewahimiza wafuasi wa vyama mbalimbali na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kipindi hiki cha kumalizia kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na siku ya uchaguzi ili kufanikisha kazi hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

StarTV

Magufuli asisitiza amani na utulivu kwa mkoa wa Arusha

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Magufuli ameonya kuwa kuendelea kwa vitendo vya vurugu mkoani Arusha huenda kukaharibu sifa ya mkoa huo ambao unaheshimika kitaifa na kimataifa.

Dokta Magufuli amesema heshima ya Mji huo imeifanya Tanzania kujulikana zaidi duniani kuwa nchi yenye amani na utulivu ingawa sasa vitendo vya vurugu mkoani humo vinahofiwa kuipoteza sifa hiyo.

Mbio za kuusaka urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM zimemfikisha Dokta John Magufuli katika...

 

5 months ago

Zanzibar 24

Dk: Shein asisitiza kudumishwa amani na utulivu visiwani Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi  wa Zanzibar kuendelea kuidumisha hali ya amani na utulivu ambayo ndio msingi wa mafanikio yanayoendelea kupatikana hivi sasa na yatakayopatikana hapo baadae.

Dk. Shein ameyasema hayo leo katika risala yake ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2019 aliyoitoa kupitia vyombo vya habari, Ikulu mjini Zanzibar.

Dk. Shein amesema kuwa katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya mwaka 2018 mafanikio...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI NYONGO ASISITIZA UTULIVU NA AMANI KWA WACHIMBAJI WADOGO

Na Joel Maduka,Geita.
Naibu waziri wa madini Stanslaus Nyongo amewata wachimbaji wadogo wa mgodi wa Nyakafulu na Bingwa kudumisha amani na utulivu katika shughuli zao ikiwemo kujenga desturi ya kufanya usafi wa mazingira ili kuepukana na magojwa ya mlipuko na iwapo hawatazingatia hayo migodi hiyo itafungwa.
Hayo aliyasema wakati wa ziara yake ya kuwatembelea wachimbaji wadogo kwenye wilaya za Mbongwe na Geita.Alisema ni vyema wachimbaji hao kuzingatia amani na afya zao kwani ndio...

 

3 years ago

Michuzi

Rais Magufuli awasihi watanzania kudumisha amani, umoja na utulivu asisitiza serikali kuhamia Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya wakazi wa mji wa Dodoma mapema leo asubuhi waliojitokeza kushuhudia maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa, mjini Dodoma.PICHA NA MICHUZI JR-DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasihi watanzania kuwaenzi Mashujaa kwa kudumisha Amani, Umoja na Utulivu uliojengwa na mashujaa hao.Rais Magufuli ametoa rai hiyo leo tarehe...

 

4 years ago

Raia Mwema

Tunawatakia uchaguzi wa amani na utulivu

JUMAPILI ijayo, Watanzania watafanya uamuzi wa kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Mwandishi Wetu

 

4 years ago

Habarileo

JK asisitiza uchaguzi wa amani

TANZANIA imeendelea kusisitiza kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, Wawakilishi, Madiwani na Masheha unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu utafanyika kwa amani na utulivu ambapo Watanzania watakuwa na uhuru wa kupiga kura bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka.

 

4 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi

Na: Hassan Hamad, OMKR Waislamu mbali mbali wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo wamekusanyika katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kwa ajili ya kuomba dua ya kuiombea […]

The post Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.

 

2 years ago

Michuzi

NEC YASISITIZA AMANI NA UTULIVU UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KATIKA KATA 43

NEC –DODOMA
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Bw. Kailima Ramadhan amewaasa wadau wa uchaguzi kuhakikisha kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani utakaofanyika katika Kata 43, Novemba 26 unafanyika kwa amani na utulivu.
Bw. Kailima ameyasema hayo leo (Jumamosi) mjini Dodoma wakati wa maandalizi ya mafunzo kwa Wasimamizi na Wasimamizi wasaidizi pamoja na maafisa uchaguzi yanayotarajiwa kuanza kesho (Jumapili) mjini hapa.
“Mlango wa kuchukua fomu kwa ajili ya uteuzi utafunguliwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani