ASKARI POLISI WANNE WALEVI WATIWA MBARONI KWA KUFYATUA OVYO RISASI NA KUJERUHI MTU MWANZA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ahmed Msangi ametoa amri kukamatwa kwa askari polisi wanne wa Kituo Kikuu cha Polisi Nyamagana kutokana na asakri hao kumjeruhi kwa risasi mke wa Mwenyekiti mtaa.
Kamanda Msangi amesema polisi hao tayari wametiwa mbaroni kwa kumjeruhi kwa risasi mguuni Bi. Editha Ntobi ambaye ni mke wa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Majengo Mapya uliopo katika Kata ya Mabatini jijini Mwanza.
Msangi amesema polisi hao wanatuhumiwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Polisi wanne wafyatua risasi ovyo na kujeruhi Mwanza

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ahmed Msangi amesema  askari polisi wanne wa Kituo Kikuu cha Polisi Nyamagana wamepelekwa kituo cha polisi kwa kumjeruhi kwa risasi mke wa Mwenyekiti wa mtaa. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ahmed Msangi Kamanda Msangi amesema polisi hao walikuwa kwenye doria wakiwa wamelewa na kufyatua risasi ovyo hadi kumjeruhi kwa risasi mguuni Bi. Editha Ntobi ambaye ni mke wa Mwenyekiti...

 

3 years ago

Mwananchi

Mbaroni akidaiwa kufyatua risasi ovyo

Moshi. Mfanyakazi mmoja wa Kampuni ya Marenga Investment ya mjini Moshi amekamatwa na polisi kwa kosa la kufyatua risasi ovyo baada ya gari lililokuwa mbele yake kutomruhusu kupita kwa wakati.

 

4 years ago

Habarileo

166 watiwa mbaroni kwa kutumia ovyo mitandao

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu zaidi ya 166, ambao wanatuhumiwa kutumia mitandao ya kijamii kutangaza matokeo yasiyo rasmi. Kamishna wa Polisi wa kanda hiyo, Suleiman Kova alisema jana kuwa watu hao walikamatwa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam.

 

5 years ago

CloudsFM

WATU 10 WATIWA MBARONI NA POLISI KUFUATIA VURUGU ZILIZOTOKEA JIJINI MWANZA

Polisi jijini Mwanza imelazimika kutumia mabomu ya machozi kufuatia vurugu za baaadhi ya wafanyabiashara wadogo maaarufu kama machinga na watoto wa mitaani wakipinga kupinga zoezi la kuhamishwa eneo la Makoroboi walilokuwa wakifanyia biashara hapo awali.
Zoezi hili limesababisha wafayabiashara mbalimbali kufunga biashara zao na wengine kupoteza mizigo kutokana na vurugu hizo huku idadi kubwa ya wananchi wakishindwa kuendelea na shuguli zao

Nia aina ya vurugu zilizo tokea kwa takribani masaa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Watu wanne watiwa mbaroni kwa tuhuma za ujambazi

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kupitia kikosi cha kupambana na ujambazi wa kutumia silaha limekamata watu wanne kwa tuhuma za ujambazi wa kutumia silaha.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi wa kanda hiyo, Hezron Gymbi amesema watuhumiwa hao walikamatwa jana maeneo ya Chamanzi muda mfupi baada ya kukutana na kupanga kufanya uhalifu wa kutumia silaha.

Watuhumiwa hao wanaofahamika kwa majina ya Uswege Seleman (23), Hassan...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wanafunzi wanne watiwa mbaroni kwa kutaka kuuwa mwenzao Geita

Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Geita ACP Stanley Turiamo, amesema Wanafunzi wanne wa shule ya sekondari Geita wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kumpiga mwenzao na kumtishia kumuua.

Picha haihusiani na stori hii bali ni FFU wakiwafunza adabu vijana wa Njombe Secondary School wanaodaiwa kuchoma bweni..

Tukio hilo limetokea baada ya wanafunzi hao kumpiga mwanafunzi mwenzao wa kidato cha tano na kisha kumtishia kumuua hali iliyosababisha kuibuka kwa vurugu shuleni hapo.

ACP Turiamo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wanne watiwa mbaroni kwa kutaka kujipatia fedha kwa udanganyifu Zanzibar

Mamlaka ya kuzuia rushwa na kuhujumu uchumi(ZAECA) wamewakamata watu wanne kwa kosa la kutaka kupata fedha kwa njia ya udanganyifu. Akizungumza na Zanzibar24 Msaidizi Mkuu wa Uchunguzi Ndugu Khamis Bakari Amani amesema kuwa mnamo mwezi wa sita mwaka huu watuhumiwa hao walifika Katika kituo cha polisi cha malindi na kujitambulisha kuwa wao ni maafisa wa mamlaka Ya kuzuia rushwa na kuhujumu uchumi na kutaka kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Ameongeza kusema kuwa watuhumiwa hao kuwa ni...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Watiwa mbaroni kwa kumnywesha mtu juisi iliyotiwa dawa za kulevya

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu watatu wanaodaiwa kuwa vinara wa kuwawekea watu dawa za kulevya kwenye vinywaji na vyakula katika vyombo vya usafiri.

Kamanda wa Polisi Mkoani hapa, Urich Matei alisema kuwa tukio hilo ni la Novemba 13 mwaka jana katika maeneo ya Chalinze na Morogoro katika moja ya basi la abiria, lililokuwa likitokea Morogoro kwenda Dar es Salaam.

Alitaja watuhumiwa hao kuwa ni Sudi Rutahiwa (32), mkazi wa Mbagala Maji Matitu jijini Dar es Salaam, Aston...

 

2 years ago

Habarileo

Ofisa wanyamapori mbaroni kwa kujeruhi kwa risasi

POLISI Mkoa wa Rukwa wamemkamata Ofisa wa Wanyamapori wa Pori la Akiba la Uwanda , Lemomo Miseyeke (26) kwa tuhuma za kumpiga risasi Salaganda Chela (32) mguu wa kushoto na kuvunjika.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani