Askofu ataka viongozi wa dini waache upambe kwa wagombea

Askofu Mkuu wa Kanisa la International Evengalist, Arumeru – Arusha, Elihudi Isangya amewataka viongozi wa dini nchini, kuviachia vyama vya siasa kuwateua wagombea wao wa urais katika Uchaguzi Mkuu ujao badala ya kuwa wasemaji wa wanasiasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

RC SHINYANGA ATAKA VIONGOZI WA DINI KUFIKA VIJIJINI WANANCHI WAACHE UHALIFUMkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akizungumza na wananchi wa kijiji cha Bunambiyu Wilayani Kishapu wakati wa ziara yake
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mhe. Zainab Telack(hayupo pichani) katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Bunambiyu kata ya Bunambiyu Wilayani Kishapu akiwa kwenye ziara yake wilayani humo.Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akiwa katika moja ya mashamba ya mtama katika kata ya Bunambiyu wakati wa ziara yake ya kukagua...

 

1 year ago

Malunde

MAALIM SEIF : WAACHE VIONGOZI WA DINI WAZUNGUMZE WAMEONA KASORO ZA KIUTENDAJI SERIKALINIKatibu mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amejitosa kwenye mjadala wa viongozi wa dini kuzungumzia siasa, akisema waachwe wazungumze kwa kuwa wameona kasoro za kiutendaji serikalini.

Amesema katika hali ya kawaida viongozi hao hawawezi kukurupuka, kwa hiyo ni lazima kuna tatizo wameliona na kwamba kauli zao hizo zinalenga kujenga Taifa, si kubomoa.

Mjadala huo umeibuka baada ya viongozi wa dini kutumia ibada za sikukuu ya Mwaka Mpya kuikosoa Serikali, baadhi wakisema haiheshimu utawala wa...

 

3 years ago

Habarileo

Askofu ataka jamii kurejea kwenye dini

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kati, Dk Alex Mkumbo ameitaka jamii kurejea kwenye misingi ya dini, ili kuiepusha nchi na tamaa zinazochangia tabia ya wizi na ubadhirifu wa mali za umma.

 

2 years ago

Mwananchi

Askofu ataka unafuu wa kodi taasisi za dini zinazotoa elimu

Askofu Blaston Gavile wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, ameiomba Serikali kulitazama upya suala la kodi kwa taasisi za dini, akisema zinatoa huduma kwa jamii na si biashara.

 

4 years ago

Habarileo

Askofu: Viongozi wa dini tusitumike kisiasa

Alhadi Mussa SalumBAADHI ya viongozi wa dini nchini wametakiwa kutokubali kutumiwa na wanasiasa kama sehemu ya kampeni zao katika nyumba za ibada kwenye harakati zao za kutafuta uongozi.

 

2 years ago

Mtanzania

Askofu: Serikali isiwaingilie viongozi wa dini

Mawaziri wakuu wastaafu, Frederick Sumaye (kushoto), Cleopa Msuya (wa tatu kushoto), Edward Lowassa (kulia) na viongozi wengine wa serikali, wakimsikiliza Askofu mteule wa Dayosisi mpya ya KKKT Mwanga, Chedieli Sendoro, wakati wa uzinduzi wa dayosisi hiyo mkoani Kilimanjaro jana.

Mawaziri wakuu wastaafu, Frederick Sumaye (kushoto), Cleopa Msuya (wa tatu kushoto), Edward Lowassa (kulia) na viongozi wengine wa serikali, wakimsikiliza Askofu mteule wa Dayosisi mpya ya KKKT Mwanga, Chedieli Sendoro, wakati wa uzinduzi wa dayosisi hiyo mkoani Kilimanjaro jana.

* Ataka isitumie nguvu kutatua migogoro ya  jamii

Na Safina Sarwatt, Mwanga

ASKOFU wa Dayosisi mpya ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chedieli Sendoro, amewataka viongozi  wa Serikali...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Askofu awaponda viongozi wa dini bunge maalum

ASKOFU wa Kanisa la Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, amesema asilimia 85 ya viongozi wa dini waliyoko ndani ya Bunge Maalum la Katiba wameshindwa kupigania maoni ya wananchi, badala yake...

 

1 year ago

VOASwahili

Askofu Tanzania apinga vikwazo dhidi ya viongozi wa dini

Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (K.K.K.T) nchini Tanzania amesema kuwa suala la amani siyo la wanasiasa peke yao na kuwa linapaswa kuhubiriwa na wadau wote ikiwa ni pamoja na taasisi za dini.

 

1 year ago

Malunde

ASKOFU AHOJI MIPAKA YA SIASA NA DINI...ATAKA WANANCHI KUTOJENGEWA HOFU YA KUTOA MAONI


 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza amehoji mipaka ya kuzungumzia masuala ya siasa na dini, huku akitaka wananchi kutojengewa hofu ya kutoa maoni yao.

Kauli ya askofu huyo inafanana na iliyotolewa na Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu Fredrick Shoo katika ibada ya Krismasi Jumatatu iliyopita kwamba kuna baadhi ya watu wanawajengea wananchi hofu ili wasiweze kutumia uhuru wao kutoa mawazo.

Askofu Bagonza alitoa kauli hiyo jana...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani