ASKOFU CHENGULA: CHAGUENI VIONGOZI WASIO NA UBINAFSI NA AMBAO WATAWAFANYA MSIISHI KWA KUOGOPA OGOPA

Wakristo kote nchini wametakiwa kujipanga kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2019 wa madiwani na wenyeviti wa serikali za mitaa na viongozi wa vitongoji kwa kumchagua mtu asiyewafanya waishi kwa kuogopaogopa.


Kauli hiyo imetolewa jana Machi 30 na Mhashamu Askofu Evarist Chengula alipokuwa akiongoza ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika kitaifa katika kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Fatma lililopo Mwanjelwa mjini Mbeya.

Akihutubia katika ibada hiyo Mhashamu Chengula alisema ujumbe uliotolewa na...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

‘Vijana chagueni viongozi wenye maslahi kwa taifa’

WIZARA ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imehimiza vijana kuhakikisha wanachagua viongozi wenye maslahi kwa taifa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Elisante Ole Gabriel alitoa mwito huo jijini Dar es Salaam jana katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani.

 

4 years ago

Habarileo

Chagueni Rais atakayewaletea maendeleo -Askofu

Askofu Charles Gadi WATANZANIA wametakiwa kutofanya makosa katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, na badala yake wameelekezwa kumchagua Rais atakayesaidia kuiletea nchi maendeleo.

 

5 years ago

Tanzania Daima

‘Chagueni viongozi wenye kazi’

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amewataka wananchi kuchagua viongozi wenye kazi zao binafsi, badala ya kuchagua  viongozi wasiojishughulisha. Kinana alitoa rai hiyo juzi wakati akiwahutubia wananchi...

 

4 years ago

Habarileo

Waumini wa dini chagueni viongozi bora -Madenge

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Mahmoud Madenge amesema uhuru na raha ya kuabudu vitaendelea kuwepo, endapo waumini wa dini mbalimbali watashiriki Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua viongozi wanaoshughulikia matatizo ya wananchi.

 

2 years ago

Mwananchi

Chagueni viongozi wenye shughuli za kufanya- Kadutu

Wakati wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakisema hawako tayari kupangiwa safu ya viongozi, mbunge amewataka kuchangua wenye shughuli za kufanya badala ya wanaoshinda vijiweni.

 

2 years ago

Mwananchi

Ubinafsi wa viongozi wakwamisha ujenzi sokoni

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla ameeleza sababu za kusimamisha ujenzi wa vyoo na vibanda vya wafanyabiashara 459 katika Soko la Uhindini mkoani humo kuwa ni kutokana na baadhi ya watumishi na madiwani kugawana maeneo hayo.

 

1 month ago

Michuzi

CHAGUENI VIONGOZI WENYE UWEZO WA KUTATUA KERO ZENU -RC MAKONDA*Akagua mradi wa ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani Mbezi Louis, aridhishwa na kasi

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

MEYA wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob leo amekuwa na wakati mgumu baada ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kumtolea uvivu Meya huyo kwa kile kilichoelezwa ni kukosa nidhamu kwa kudanganya wananchi kuwa yeye ndio amefanikisha mradi wa ujenzi wa Kisima cha maji Kata ya Mbezi Makabe wakati Rais Dkt.John Magufuli ndiye aliyetoa fedha hizo kiasi...

 

2 years ago

CCM Blog

KINANA: CHAGUENI VIONGOZI WATAKAOWASAIDIA SIYO WATAKAOSHUGHULIKA NA SHIDA ZA MATUMBO YAO


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea Udiwani kata ya Ngarenanyuki, Arumeru mkoani Arusha, Mwalimu Zakaria Nnko, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata hiyo, uliofanyika kwenye Viwanja vya Mpira vya Shule ya Ngarenanyuki, leo Januari 21, 2017.

Akimnadi Mgombea huyo, Kinana amewataka Watanzania kujenga tabia ya kuchagua  viongozi watakaowasaidia na kuacha kuchagua ambao wakishapata madaraka wanashughulikia shidao za matumbo yao badala ya...

 

2 years ago

Mwananchi

Mwalusako: TFF siyo sehemu ya majaribio chagueni viongozi wanaojua matatizo ya mpira

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Lawrence Mwalusako amewaambiwa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuwa shirikisho hilo siyo sehemu ya majaribio na anayeingia hapo lazima afuate misingi ya soka.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani