Askofu Kweka azidi kubanwa mgogoro wa ardhi na bintiye

ASKOFU mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) amezidi ‘kukabwa koo’ kuhusiana

Paul Sarwatt

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Raia Mwema

Mgogoro wa ardhi unaomhusu Askofu Kweka wazidi kufukuta

MGOGORO wa kugombea shamba la ekari 12 kati ya Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri

Paul Sarwatt

 

3 years ago

Raia Mwema

Askofu Kweka kufikishwa mahakamani

ASKOFU (mstaafu) wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Erasto

Paul Sarwatt

 

5 years ago

Mtanzania

Sitta azidi kubanwa

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA WAANDISHI WETU

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amezidi kuandamwa baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kumtaka kusitisha mara moja mchakato wa Katiba unaoendelea.

Kituo hicho, kimesema Bunge hilo linapaswa kusitishwa hadi muafaka utakapofikiwa kati ya makundi mawili yanayosigana.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa  LHRC,...

 

4 years ago

Mwananchi

Lipumba azidi kubanwa mahakamani

Ofisa Operesheni wa Polisi Temeke, Muhudhnwari Msuya ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba alikiri kupokea barua ya polisi iliyowazuia kufanya maandamano na mkutano Mbagala Zakhem, lakini alikaidi.

 

4 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu wa Ugiriki azidi kubanwa

Waziri mkuu wa ugiriki Alexis Tsipras wa Ugiirik anazidi kukabiliwa na upinzani kwa hatua mpya na kali za malipo alizokubali.

 

4 months ago

MwanaHALISI

Mwalimu aliyemfungia mtoto kabatini azidi kubanwa

MWALIMU ya wa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma Anita Kimako (33) mkazi wa Area ‘C’ anayedaiwa kukifungia  kabatini kichanga  cha miezi mitano na kumjeruhi binti wake wa kazi, anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kujeruhi huku tuhuma za kukifungia kichanga kabatini zikiendelea kufanyiwa uchunguzi na Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma. Anaripoti Dany ...

 

3 years ago

Raia Mwema

Askofu, bintiye wagombea mali

ASKOFU mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Erasto N

Paul Sarwatt

 

4 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Ardhi yawatangazia umma kuwasilisha malalamiko ya mgogoro ya Ardhi mkoa wa Dar

IMG-20141114-WA0009

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi.

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MHE. WAZIRI WA ARDHI ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI WENYE MIGOGORO INAYOHUSU ARDHI KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM TAREHE 22 – 23, SEPTEMBA, 2015 KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI MAKAO MAKUU YA WIZARA. KATIKA TUKIO HILO, MNATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO;-

1.TAREHE 22 SEPTEMBA 2015 ATAPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA MANISPAA YA KINONDONI;

2.TAREHE...

 

2 years ago

Channelten

Mgogoro wa Ardhi Kigamboni, Mwekezaji atakiwa kurudisha kwa wananchi sehemu ya ardhi

AVIC TOWN

Mkuu wa Willaya ya Kigamboni Hashim Mgandilwa amemtaka mwekezaji wa mradi wa Nyumba wa AVIC TOWN Kigamboni jijini Dar es Salaam kurudisha kwa wananchi eneo la ardhi analodaiwa kulitwaa kutoka kwa wananachi hao wa Somangila kufuatia malalamiko waliyomfikishia kuhusu mgogoro huo.

Akizungumza wakati wa ukaguzi wa mipaka ya ardhi katika eneo la mradi wa nyumba hizo, Mkuu huyo wa Wilaya amesema kumekuwepo mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Mwekezaji huyo na wananchi wakimlalamikia kwa madai...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani