ASKOFU NKWANDE AKEMEA UCHAWI, USHOGA NA UTOAJI MIMBA

* Asema ni ushamba wa elimu, ni uuaji, ni dhambi              ASKOFU MKUU wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhasahamu Renatus Nkwande anasikitika kila anaposikia watu wanaongelea mambo ya uchawi na kusema kwamba huo ni usahamba wa elimu.
“Mtu akivimba tumbo unasema amelogwa na tena unamtaja na fulani ndiye mchawi. Huo ni ushamba wa elimu na tena huko ni kukosa imani na kushindwa kumuamini Mwenyezi Mungu,” amesema.
Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Mei 12, 2019) wakati akitoa shukrani kwenye ibada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Malunde

Askofu Nkwande Akemea Uchawi, Ushoga Na Utoaji Mimba.....Asema Ni Ushamba Wa Elimu, Ni Uuaji, Ni Dhambi

ASKOFU MKUU wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhasahamu Renatus Nkwande anasikitika kila anaposikia watu wanaongelea mambo ya uchawi na kusema kwamba huo ni usahamba wa elimu.

“Mtu akivimba tumbo unasema amelogwa na tena unamtaja na fulani ndiye mchawi. Huo ni ushamba wa elimu na tena huko ni kukosa imani na kushindwa kumuamini Mwenyezi Mungu,” amesema.

Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Mei 12, 2019) wakati akitoa shukrani kwenye ibada ya kumsimika kuwa Askofu Mkuu wa jimbo hilo iliyofanyika kwenye...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Kardinali Pengo akemea utoaji mimba, ushoga

ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, amekemea tabia ya utoaji mimba inayofanywa na baadhi ya wanawake nchini kwani kufanya hivyo ni...

 

3 years ago

Mwananchi

Askofu Amani alia na utoaji mimba

Askofu wa Jimbo la Moshi, Isaac Amani amewataka wazazi kuacha kufanya mauaji kwa kutoa wanafunzi mimba pamoja  na wao wenyewe na kwamba hali hiyo ni ukatili uliokithiri wa kuua watu na kuangamiza Taifa.

 

3 years ago

Michuzi

UTOAJI MIMBA NA VIDHIBITI MIMBA NI ATHARI KWA WANAWAKE KUPOTEZA MAISHA

Picha na habari na Emmanuel MasakaTaasisi ya Kutetea uhai (Pro Life) imesema kuwa utoaji mimba na vidhibiti mimba una athari kwa wanawake kupoteza maisha kutokana na kufanya hivyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Rais wa Taasisi hiyo, Padre Shenan Boquet amesema kuwa watu wamepandikizwa vitu vibaya juu ya uzazi kuendelea kujengwa vizazi na vizazi.

Amesema kutoa mimba na kuweka vidhibiti kunahitajika kuwepo kwa elimu katika kuibadilisha jamii kutoondokana vitu hivyo vya...

 

3 years ago

Habarileo

Askofu aelezea hofu ushoga kupandikizwa

ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Same, Rogatus Kimario amesema ipo mikakati kupitia mitandao ya kijamii kuingiza ndoa za jinsia moja nchini na kusisitiza ikiwa watu wenye kumwamini Mungu hawataweka mikakati katika hilo, zitaingia.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Askofu akiri kushiriki mapenzi ya jinsia moja (ushoga)

Askofu mmoja wa kanisa la Grantham, Diocese ya Lincoln nchini Uingereza amejitokeza hadharani na kukiri kuwa amekuwa akishiriki mapenzi ya jinsia moja.

Askofu-Nicholas-Chamberlain-702x336Nicholas Chamberlain

Askofu huyo anayefahamika kwa jina la Nicholas Chamberlain amekuwa askofu wa kwanza nchini Uingereza kujitangaza kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja (ushoga).

Askofu Chamberlain aliwekwa mwaka jana wakfu na Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Justin Welby katika Diocese ya Lincoln na Askofu Mkuu, Welby alisema kuwa anafahamu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Papa akemea vikali uavyaji mimba

Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis, amelaani vikali kitendo cha kuavya mimba akikitaja kuwa, dalili ya ‘kuogofya’ ya utamaduni wa kupotosha usiothamini maisha ya binadamu.

 

5 years ago

Tanzania Daima

Askofu akemea wabunge kuzomeana

ASKOFU wa Kanisa la The Gospel Ministry, Kanda ya Kati, Christopher Madole, amekemea wabunge kutumia muda wao kuzomeana na kutukanana badala ya kujadili hoja. Akizungumza na Tanzania Daima jana juu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Askofu Desmond Tutu akemea ANC

Askofu mkuu nchini Afrika Kusini Desmond Tutu, amesema kuwa Nelson Mandela angechukizwa sana na ANC kukosa kuwajumuisha watu wa jamii ya Afrikaans kwenye ibada za mazishi yake.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani