ASKOFU SHOO : WAJIBU WA VIONGOZI WA DINI NI KUONYA,KUKEMEA MABAYA YANAYOENDELEA NCHINI

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo ameonya kwamba asitokee kiongozi yeyote nchini wa kisiasa au serikali ambaye atajaribu kuwazuia na kuwaziba midomo viongozi wa dini kutekeleza wajibu wao wa kukemea na kuonya juu ya maovu yanayoendelea hapa nchini.
Dk. Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini, pia amesema kamwe kanisa halitanyamaza kimya kwa wanasiasa wenye tabia ya kutumia nafasi zao kuligawa taifa vipande vipande.
Alizungumza hayo ...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

ASKOFU GWAJIMA AWACHANA VIONGOZI WA DINI KUKAA KIMYA MATUKIO YANAYOENDELEA TANZANIA

Mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima amefunguka na kudai anawashangaa viongozi wa kiroho wanaokaa kimya na kuacha masuala ya uhalifu yakiendelea katika nchi bila ya kusema lolote juu ya hilo.

Mchungaji Gwajima amesema hayo akiwa Kanisa kwake leo Jumapili ambapo aliahidi kumfanyia ibada maalum ya kumuombea mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi na watu wasiofahamika akiwa nyumbani kwake Dodoma siku za hivi karibuni.

"Naona huruma...

 

4 years ago

Vijimambo

WAZIRI NYALANDU ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DINI KUHUSU KUKEMEA UJANGILI NCHINI.

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu
Na Anitha Jonas – Maelezo.03 Novemba, 2014.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ametoa wito kwa Viongozi wa dini wote nchini kupaza sauti kwa pamoja kukemea vitendo vya Ujangili pamoja na Uharibifu wa mazingira nchini.
Wito huo ameutoa leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua mkutano wa viongozi wa dini unaolenga kuwaelimisha viongozi hao kutoa elimu kwa waumini wao juu ya kupinga suala la ujangili na kuwasihi juu ya...

 

5 years ago

Dewji Blog

MNEC Ikungi awataka viongozi wa dini kukemea maovu kwa vijana

DSC00613

Mjumbe wa halmashauri kuu (NEC) CCM taifa wilaya ya Ikungi, Jonathan Njau, akizungumza na viongozi wa makanisa ya Free Pentekoste, KKKT na Roman katoliki kijiji cha Kipumbuiko muda mfupi kabla ya kuwakabidhi msaada wa mifuko 60 kwa ajili ya ujenzi, uboreshaji wa majengo ya makanisa yao.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

VIONGOZI wa madhehebu ya dini jimbo la Singida mashariki mkoa wa Singida, wameombwa kuwaelimisha na kuwahimiza vijana kuishi maisha mema na ya uadilifu, ili kupunguza kasi ya...

 

2 years ago

Michuzi

Kamati ya Amani ya viongozi wa dini yakemea matumizi mabaya mitandao

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Dar es Salaam imekemea wale wanaotumia mitandao ya Kijamii,kumtukana Rais na kusisitiza kuwa wanaofanya hivyo wanawakosea watanzania kwa kitendo wanachokifanya.
Akizungumza  wakati wa warsha ya siku moja ya kamati ya Amani ya viongozi wa dini Dar es Salaam iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCR kwa lengo la kuwaelimisha matumizi salama ya mitandao
Mweneyekiti wa Kamati hiyo, Shekh Alhad Mussa Salum amesema Rais...

 

2 years ago

Channelten

CCM yakemea mauaji yanayoendelea, Yatupia lawama upinzani na viongozi wa dini kwa kukaa kimya

pol1

Chama cha mapinduzi kimesema sasa imetosha kuona mauaji ya watanzania, wengi wao wakiwa wa chama cha mapinduzi yakiendelea kutokea wilaya ya Rufiji na Mkuranga Mkoani pwani, na kwamba kama mauwaji hayo yataendelea, viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia ulinzi na usalama wa raia unakuwepo hawana budi kuachia ngazi.

Kauli hiyo imetolewa na katibu mwenezi wa chama hicho taifa Huphrey Polepole , wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelezea masikitiko ya chama cha mapinduzi juu ya mauaji...

 

2 years ago

Michuzi

RC PAUL MAKONDA AWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUENDELEA KUAMRISHA MEMA NA KUKATAZA MABAYA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewaomba viongozi wa Dini kuendelea kuamrisha mema na kukataza mabaya, kwani kufanya hivyo kunaipunguzia serikali mzigo.
RC Makonda ameyasema hayo alipokuwa anafungua semina kwa Walimu wanaosomesha Qur-an Tanzania (JUWAQUTA) na kusisitiza kuwa viongozi wa dini wakiwafundisha mema waumini ambao ndiyo wananchi, Taifa halitakuwa na wahalifu au matukio ya wizi, ujambazi, utumiaji wa dawa za kulevya na ufanyaji wa biashara hiyo, jambo ambalo...

 

4 years ago

Habarileo

Askofu: Viongozi wa dini tusitumike kisiasa

Alhadi Mussa SalumBAADHI ya viongozi wa dini nchini wametakiwa kutokubali kutumiwa na wanasiasa kama sehemu ya kampeni zao katika nyumba za ibada kwenye harakati zao za kutafuta uongozi.

 

2 years ago

Mtanzania

Askofu: Serikali isiwaingilie viongozi wa dini

Mawaziri wakuu wastaafu, Frederick Sumaye (kushoto), Cleopa Msuya (wa tatu kushoto), Edward Lowassa (kulia) na viongozi wengine wa serikali, wakimsikiliza Askofu mteule wa Dayosisi mpya ya KKKT Mwanga, Chedieli Sendoro, wakati wa uzinduzi wa dayosisi hiyo mkoani Kilimanjaro jana.

Mawaziri wakuu wastaafu, Frederick Sumaye (kushoto), Cleopa Msuya (wa tatu kushoto), Edward Lowassa (kulia) na viongozi wengine wa serikali, wakimsikiliza Askofu mteule wa Dayosisi mpya ya KKKT Mwanga, Chedieli Sendoro, wakati wa uzinduzi wa dayosisi hiyo mkoani Kilimanjaro jana.

* Ataka isitumie nguvu kutatua migogoro ya  jamii

Na Safina Sarwatt, Mwanga

ASKOFU wa Dayosisi mpya ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chedieli Sendoro, amewataka viongozi  wa Serikali...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Askofu awaponda viongozi wa dini bunge maalum

ASKOFU wa Kanisa la Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, amesema asilimia 85 ya viongozi wa dini waliyoko ndani ya Bunge Maalum la Katiba wameshindwa kupigania maoni ya wananchi, badala yake...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani