Askofu: Viongozi wa dini tusitumike kisiasa

Alhadi Mussa SalumBAADHI ya viongozi wa dini nchini wametakiwa kutokubali kutumiwa na wanasiasa kama sehemu ya kampeni zao katika nyumba za ibada kwenye harakati zao za kutafuta uongozi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini tusitumike kisiasa'

Alhadi Mussa SalumBAADHI ya viongozi wa dini nchini wametakiwa kutokubali kutumiwa na wanasiasa kama sehemu ya kampeni zao katika nyumba za ibada kwenye harakati zao za kutafuta uongozi.

 

2 years ago

Michuzi

KUKAMATA VIONGOZI WA KISIASA NA VIONGOZI WA DINI SI KOSA“ IGP SIMON SIRRO

Mkuu wa jeshi la Polisi Nchini Simon Sirro amesema kukamata viongozi wa kisiasa na dini si kosa bali ni sehemu ya majukumu ya Jeshi la polisi kukamata kama amevunja sheria. Hii hapa video yenye Kazi yetu Ruvuma TV ni kuhabarisha umma, hivyo tumekusogezea matukio sita yaliyotokea mkoani Ruvuma kuanzia Jul 17 – Jul 23, 2017. .

 

3 years ago

Raia Mwema

Viongozi wastaafu, dini wajitosa kutatua mgogoro wa kisiasa nchini

Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Operation UKUTA

Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Operation UKUTA

VIONGOZI wastaafu wa kisiasa na kidini wamejitosa kupatanisha pande mbili hasimu za kisiasa kwenye mgogoro wa Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (UKUTA) wakati wowote wiki hii, Raia Mwema limeambiwa.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kufanyika kwa maandamano ya nchi nzima kupinga inachokiita udikteta wa serikali ya Rais John Magufuli Septemba Mosi mwaka huu.

Serikali imesema haitaruhusu...

 

2 years ago

Mtanzania

Askofu: Serikali isiwaingilie viongozi wa dini

Mawaziri wakuu wastaafu, Frederick Sumaye (kushoto), Cleopa Msuya (wa tatu kushoto), Edward Lowassa (kulia) na viongozi wengine wa serikali, wakimsikiliza Askofu mteule wa Dayosisi mpya ya KKKT Mwanga, Chedieli Sendoro, wakati wa uzinduzi wa dayosisi hiyo mkoani Kilimanjaro jana.

Mawaziri wakuu wastaafu, Frederick Sumaye (kushoto), Cleopa Msuya (wa tatu kushoto), Edward Lowassa (kulia) na viongozi wengine wa serikali, wakimsikiliza Askofu mteule wa Dayosisi mpya ya KKKT Mwanga, Chedieli Sendoro, wakati wa uzinduzi wa dayosisi hiyo mkoani Kilimanjaro jana.

* Ataka isitumie nguvu kutatua migogoro ya  jamii

Na Safina Sarwatt, Mwanga

ASKOFU wa Dayosisi mpya ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chedieli Sendoro, amewataka viongozi  wa Serikali...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Askofu awaponda viongozi wa dini bunge maalum

ASKOFU wa Kanisa la Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, amesema asilimia 85 ya viongozi wa dini waliyoko ndani ya Bunge Maalum la Katiba wameshindwa kupigania maoni ya wananchi, badala yake...

 

1 year ago

VOASwahili

Askofu Tanzania apinga vikwazo dhidi ya viongozi wa dini

Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (K.K.K.T) nchini Tanzania amesema kuwa suala la amani siyo la wanasiasa peke yao na kuwa linapaswa kuhubiriwa na wadau wote ikiwa ni pamoja na taasisi za dini.

 

4 years ago

Mwananchi

Askofu ataka viongozi wa dini waache upambe kwa wagombea

Askofu Mkuu wa Kanisa la International Evengalist, Arumeru – Arusha, Elihudi Isangya amewataka viongozi wa dini nchini, kuviachia vyama vya siasa kuwateua wagombea wao wa urais katika Uchaguzi Mkuu ujao badala ya kuwa wasemaji wa wanasiasa.

 

3 years ago

Dewji Blog

Askofu Batenzi awataka viongozi wa dini kuiga utendaji kazi wa JPM

Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini, wameshauriwa kuiga mfumo wa Rais Magufuli wa kutanguliza mbele maslahi ya wananchi, ili kutokomeza dhana potofu iliyojengekea kwamba uongozi ni ‘dili’ la kujinufaisha binafsi.

Wito huo umetolewa jana na askofu mkuu wa kanisa la Free Pentekoste Church Tanzania (FPCT), David Batenzi, wakati akizungumza kwenye semina ya siku tatu ya kuwajengea uwezo zaidi viongozi, wachungaji na wainjilisti wa kanisa hilo mkoani hapa.

Alisema huko nyuma wagombea...

 

2 years ago

Malunde

ASKOFU GWAJIMA AWACHANA VIONGOZI WA DINI KUKAA KIMYA MATUKIO YANAYOENDELEA TANZANIA

Mchungaji Mchungaji Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima amefunguka na kudai anawashangaa viongozi wa kiroho wanaokaa kimya na kuacha masuala ya uhalifu yakiendelea katika nchi bila ya kusema lolote juu ya hilo.

Mchungaji Gwajima amesema hayo akiwa Kanisa kwake leo Jumapili ambapo aliahidi kumfanyia ibada maalum ya kumuombea mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi na watu wasiofahamika akiwa nyumbani kwake Dodoma siku za hivi karibuni.

"Naona huruma...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani