ASKOFU WA MKUU WA JIMBO KATORIKI LA ARUSHA, MHASHAMU ASKOFU, JOSEPHAT LOUIS LEBULU ATOA SAKRAMENTI YA KIPAIMARA WA WATOTO 26 WA PAROKIA YA BIKIRA MARIA MAMA WA HURUMA MBEZI BICHI JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM.

ASKOFU wa  Mkuu wa Jimbo katoriki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu  ametoa Sakramenti ya Kipaimara kwa watoto 26 wa Parokia ya Bikira Maria mama wa Huruma- Mbezibichi  jimbo kuu la Dar es Salaam jana Juni 19,2016.Askofu wa  Mkuu wa Jimbo katoriki la Arusha, Mhashamu Askofu, Josephat Louis Lebulu(Mwenye Kofia ya Kichungaji) akiwa katika picha ya pamoja na watoto 26 waliopata Kipaimara jana  pamoja na viongozi mbalimbali wa Parokia ya Bikira maria Mama wa Huruma Mbezibichi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

BABA MTAKATIFU FRANCISCO AMTEUA ASKOFU ISAAC MASSAWE KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU LA ARUSHA


Askofu Isaac Amani Massawe***

Baba Mtakatifu Francisko amekubali ombi lililowasilishwa kwake na Askofu mkuu Josephat Louis Lebulu wa Jimbo kuu la Arusha, Tanzania la kustaafu kutoka madarakani. 
Wakati huo huo, Baba Mtakatifu amemteua Askofu Isaac Amani Massawe wa Jimbo Katoliki Moshi, kuwa Askofu mkuu mpya wa Jimbo Kuu la Arusha, Tanzania. 
Askofu mkuu mteule Isaac Amani Massawe, alizaliwa tarehe 10 Juni 1951 huko Mango, Jimbo Katoliki la Moshi. 
Baada ya masomo na majiundo yake ya kikasisi,...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA MHASHAMU ISAACK AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO LA KATOLIKI ARUSHA LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Maaskofu katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaack Amani aliyesimikwa kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha leo Aprili 8, 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na mapadri na katika Ibada ya Kumsimika Mhashamu...

 

5 years ago

Michuzi

Hafla ya kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga yafana sana

Mamia ya wakotiliki wamejitokeza kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga ambaye anahamia Mpanda kwa ajili ya kuendelea na kazi Dini.Sherehe hiyo iliyotanguliwa na Ibada ilifanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mkoani Dodoma.
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ambayo alikuwepo Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pina,alikuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini,Mwadhama Polcarp Kardinal Pengo. Pia sherere hiyo ilihudhuriwa na Askofu...

 

5 years ago

GPL

HAFLA YA KUMUAGA ASKOFU WA JIMBO LA KATOLIKI DODOMA,MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA YAFANA SANA ‏

Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo (kulia) akipeana mkono na Askofu Gervas John Nyaisonga. Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akibusu Pete ya Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo.…

 

3 weeks ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Jimbo hilo.8 9.. Mke wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli  Mama Janeth Magufuli akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Jimbo hilo.1Askofu...

 

2 years ago

Michuzi

Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo leo asherehekea miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho jimbo Kuu la Dar es salaam

Muadhama Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam akipongezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi leo muda mfupi kabla ya kuanza kwa sherehe kutimiza miaka 25 kama kiongozi wa Kiroho katika kanisa la Katoliki jimbo Kuu la Dar es salaam katika kanisa la St. Joseph.Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ni kardinali wa pili kutoka Tanzania, akiwa kateuliwa mara baada ya kifo cha Muadhama Laurean Rugambwa, aliyekuwa kardinali...

 

4 years ago

Vijimambo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo 
  Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam.  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...

 

2 years ago

Michuzi

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo atembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo  alipotembelea  Taasisi hiyo jana. Kushoto ni Afisa Muuguzi Edna Kajuna.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo  mara baada ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani