Atletico Madrid na Marseille zatinga fainali Europa

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger hatopata tena fursa kucheza fainali za ligi ya Europa baada ya kukubali kichapo cha 1-0 kutoka kwa Atletico Madrid.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Atletico Madrid walaza Marseille 3-0 na kutwaa Europa League

Antoine Griezmann alifunga mabao mawili na kuwawezesha Atletico Madrid kuwachapa Marseille 3-0 mjini Lyon, Ufaransa na kushinda Kombe la Europa League

 

3 years ago

Bongo5

Manchester City na Atletico Madrid zatinga robo fainali Ligi ya Mabingwa

323AFD6B00000578-3493959-image-a-35_1458081979579

Michuano ya Ligi ya Mabingwa iliendelea usiku wa Jumanne March 15 katika viwanja mbali mbali Uwanja wa Etihad Manchester City imetoka sare ya 0-0 na Dynamo Kiev sare hiyo imewavusha City hadi robo fainali.

city

City inanufaika na ushindi wao wa 3-1 ugenini, lakini pamoja na kusonga mbele kwenye michuano hiyo, klabu hiyo imepata pigo baada ya nahodha wake Vincent Kompany kuumia dakika ya 7 na kutolewa nje nafasi yake ikichukuliwa na Mangala.

Katika mechi nyingine Atletico Madrid imetoa PSV...

 

3 years ago

Dewji Blog

Barcelona yatolewa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Atletico Madrid, Bayern zatinga nusu fainali

Michezo ya mwisho ya hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA imechezwa usiku wa Jumatano na kushuhudiwa mabingwa watetezi wa kombe hilo, Barcelona wakitolewa nje ya mashindano hayo na Atletico Madrid.

Ikumbukwe mchezo wa kwanza uliochezwa katika uwanja wa  Camp Nou, Barcelona waliibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja na katika mchezo wa jana wa marudiano Barcelona walipokea kipigo cha goli mbili kwa bila kutoka kwa Atletico Madrid.

Magoli ya Atletico Madrid yote mawili...

 

1 year ago

BBCSwahili

Atletico Madrid 1-0 Arsenal: Diego Costa afunga na kuwazuia Gunners kufika fainali Europa League

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger alipoteza fursa pekee ya kushinda kombe msimu wake wa mwisho akiwa katika klabu hiyo baada ya kuchapwa na Atletico Madrid Europa League.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

EUROPA LEAGUE: Arsenal na Chelsea zatinga nusu fainali

Mkwaju wa adhabu wa Alexandre Lacazette katika kipindi cha kwanza umeipa ushindi wa ugenini wa bao 1-0 Arsenal na kuisaidia kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Europa League, kwa kuiondosha Napoli.

 

3 years ago

Bongo5

Liverpool, Dortmund zatinga robo fainali michuano ya Europa League

article-3497601-324EB1A600000578-560_964x386

Michuano ya Europa League imeendelea tena usiku wa March 17 kwa michezo minane ambapo Liverpool wametinga robo fainali baada ya kutoka sare ya 1-1 na wenyeji, Manchester United katika Uwanja wa Old Trafford.

article-3497601-324EB1A600000578-560_964x386

Manchester United walianza kupata bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti uliopigwa na Anthony Martial dakika ya 32 kipindi cha kwanza ambao ulijaa wavuni.

Liverpool ikasawazisha bao hilo kupitia kwa Philippe Coutinho katika dakika ya 45 kipindi cha pili

Hadi mchezo unamalizika dakika 90...

 

2 years ago

Bongo5

Real Madrid na Atletico Madrid zimefuzu hatua ya nusu fainali Champions League

Ligi ya klabu bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu ya Leicester City ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

Leicester wameondolewa katika hatua ya robofainali baada ya sare hiyo ya 1-1 kwani walikuwa wamefungwa 1-0 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza.

Mchezaji wa Atletico Madrid, Saul Niguez alifunga bao kwa kichwa dakika ya 26.

Hilo lilikuwa na maana kwamba walihitaji angalau mabao matatu kipindi cha pili ili kufanikiwa kusonga.

Jamie Vardy alikomboa...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kuifunga Atletico Madrid fainali, Real Madrid wamefikisha jumla ya Makombe 11 ya UEFA

34BB0F7800000578-3614372-image-a-203_1464472773898

Usiku wa May 28 2016 wapenda soka wote duniani macho na masikio yao ilikuwa ni katika uwanja wa San Siro katika jiji la Milan Italia, ili kutaka kufahamu nani atafanikiwa kuchukua Kombe la Klabu Bingwa Ulaya 2016 kati ya Real Madrid na Atletico Madrid. Real Madrid ambao wanatajwa kama klabu yenye mafanikio katika michuano ya […]

The post Baada ya kuifunga Atletico Madrid fainali, Real Madrid wamefikisha jumla ya Makombe 11 ya UEFA appeared first on MillardAyo.Com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani