Atletico Madrid yalazwa, Barcelona yakaribia kushida la Liga

Barcelona imesalia na ushindi mmoja pekee kujipatia taji la 25 la ligi ya La Liga baada ya Atletico Madrid kupoteza kwa Real Sociedad.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Zanzibar 24

La Liga: Madrid 2-1 Celta Vigo, Atletico Madrid yabanwa

Alvaro Morata alianza kuifungia Real Madrid bao la kuongoza dakika ya 60 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Celta Vigo leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Bao la pili la Real lilifungwa na Toni Kroos dakika ya 81, baada ya Fabian Orellana kuisawazishia Celta Vigo dakika ya 67

z2

Atletico Madrid kwa upande wao walishindwa kufuruka mbele ya Leganes na kulazimishwa sre tasa isiyo na mabao

Atletico Madrid's French forward Antoine Griezmann controls the ball during the Spanish league football match Club Deportivo Leganes SAD vs Club Atletico de Madrid at the Estadio Municipal Butarque in Leganes on the outskirts of Madrid on August 27, 2016. / AFP / CURTO DE LA TORRE        (Photo credit should read CURTO DE LA TORRE/AFP/Getty Images)

 

 

 

The post La Liga: Madrid 2-1 Celta Vigo, Atletico Madrid yabanwa appeared first...

 

5 years ago

BBCSwahili

Atletico Madrid Mabingwa wa La Liga

Atletico Madrid imenyakua kombe la ligi kuu ya Hispania La liga baada ya kutoka sare ya 1 – 1 dhidi ya Barcelona.

 

5 years ago

GPL

ATLETICO MADRID BINGWA LA LIGA

Wachezaji wa Atletico Madrid wakimnyanyua juu kocha wao Diego Simeone baada ya kutwaa ubingwa. TIMU ya Atletico Madrid imetwaa kombe la La Liga baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Barcelona kwenye Uwanja wa Nou Camp. Kwa ushindi huo wamefikisha pointi 90 wakati Barcelona wakiwa na pointi 87 sawa na Real Madrid ambao wamemaliza wakiwa nafasi ya tatu. Mara ya mwisho kutwaa kombe hilo ilikuwa 1996! ...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Griezmann na Simeone aiongoza Atletico Madrid kutawala tunzo La Liga

Mshambualiji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa La Liga kwenye hafla maalum iliyofanyika jijini Valencia jana.

Griezmann ameshinda tuzo hiyo mbele ya wakali wa Barcelona Lionel Messi na Luis Suarez ambao wao na timu yao ya Barcelona walisusia tunzo hizo

Diego Gordin wa Atletico Madrid alifuta ufalme wa Sergio Ramos  Real Madrid wa miaka minne katika tunzo ya Beki bora.

WASHINDI WA TUZO ZA LA LIGA MSIMU WA 2015-16 Mchezaji Bora: Antoine Griezmann...

 

2 years ago

Channelten

LA LIGA: Barcelona yaifukuzia Real Madrid

5

Barcelona wakiwa kwao Nou Camp, wameifunga Real Sociedad 3-2 na kuifukuzia Real Madrid wanaoongoza ligi hiyo wakiwa na Pointi 75 kwa Mechi 31 na Barcelona ni wa Pili wakiwa na Pointi 72 kwa Mechi 32.
Wakicheza bila Mastaa wao Cristiano Ronaldo, Gareth Bale na Karim Benzema waliopumzishwa kwa ajili ya Mechi ya Marudiano ya UEFA CHAMPIONS LIGI dhidi ya Bayern Munich itakayochezwa Santiago Bernabeu Jumanne, Real walitoka nyuma kwa Bao la Duje Cop na Isco kuwasawazishia. Magoli mengine ya...

 

2 years ago

BBCSwahili

Barcelona yaichapa Atletico Madrid 2-1

Barcelona wameifunga Atletico Madrid katika mzunguko wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la Copa del Rey katika dimba la Vicente Calderon.

 

3 years ago

Global Publishers

Barcelona Walivyoikalisha Atletico Madrid, Nou Camp

Barca vs Atletico (6)

Luis Suarez kulia akishangilia bao lake la kwanza kwenye mechi ya jana zidi ya Atletico Madrid.Barca vs Atletico (2)Torres baada ya kuifungia Atletico bao kwenye mechi ya jana usiku zidi ya Barca. Barca vs Atletico (3)Atletico wakishangilia.Barca vs Atletico (4)Torres akipigwa kadi nyekundu.Barca vs Atletico (5)  Lionel Messi akiwazua.Barca vs Atletico (7)Suarez akishangilia bao lake la pili.Barca vs Atletico (8)

Messi na Suarez wakipongezana.

Luis Suarez aliipa ushindi klabu yake ya Barcelona kwenye Champions League baada kuifunga Atletico Madridbao 2-1, Nou Camp.

Fernando Torres ndiye alianza kuifungia Atletico...

 

3 years ago

Global Publishers

Atletico Madrid Yaivua Ubingwa wa UEFA Barcelona

Atletico-Madrid-v-Barcelona-7

Antoine Griezmann wa Atletico akifunga goli la kwanza

Atletico-Madrid-v-Barcelona

Mpira uliopigwa na Antoine Griezmann kwa kichwa ukiingia nyavuni.Atletico-Madrid-v-Barcelonadffff

Antoine Griezmann akishangilia gori

Atletico-Madrid-v-BarcelonammLionel Messi na Neymar wakiduwaa baada ya kupigwa bao.

Atletico-Madrid-v-Barcelona-2

Luis Suarez baada kukosa gori

Atletico-Madrid-v-Barcelona-5ss

Griezmann akipiga shuti.

Atletico-Madrid-v-Barcelona-9dd

Kocha Atletico Madrid, Diego Simeone akitoa mwongozo kwa wachezaji wake.Atletico-Madrid-v-Barcelona jjjjAntoine Griezmann akifunga gori la pili.

Atletico-Madrid-v-Barcelonaddd

Antoine Griezmann akishangilia gori la pili baada ya kuifunga Barcelona

Atletico-Madrid-v-Barcelonassd

Yannick Ferreira-Carrasco akichuana na...

 

3 years ago

Zanzibar 24

La Liga: Barcelona isiyo na Messi Kiwango, Real Madrid yabanwa na Las Palmas

BARCELONA 5-0 SPORTING GIJON

62

Barcelona wameonyesha kwamba Lionel Messi ni hodari lakini bila Messi pia timu ni hodari baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Sporting Gijon huku magoli matatu ya mwisho yakifungwa dakika tisa za mwisho.

Mshambuliaji Luis Suarez ndiye aliyefunga bao la kwanza la Barcelona katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Sporting Gijon Uwanja wa Manispaa ya El Molinon mjini Gijon kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Rafinha, Neymar mawili...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani