Aua mkewe naye ajiua kwa kujinyonga

Siamini Fulgence (34) amemuua mkewe Asunta Michael (27), mkazi wa Kijiji cha Mtenje Vichakani wilayani Nyasa kisha naye akajiua kwa kujinyonga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

MUME AUA MKE WAKE KISHA NAYE KUJIUA KWA KUJINYONGA AKIMTUHUMU KUCHEPUKAMume na mke wamefariki dunia katika kijiji cha Mwagiligili mkoani Mwanza baada ya mume Kwilokeja Boniphace (35) kumuua mkewe Shija Luchagula (30) kwa kumpiga na kumnyonga kisha naye kujinyonga kwa kile kinachosemekana kuwa ni wivu wa mapenzi. 


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa wa mauaji hayo alikuwa akimtuhumu mkewe kuwa anatoka kimapenzi nje ya ndoa hali iliyopelekea ugomvi kati yao.
"Inasemekana kuwa mtuhumiwa wa mauaji...

 

2 years ago

Malunde

AMUUA MKEWE KWA RISASI, NAYE AJIUA


MWANZA, Mkazi wa Mahina, jijini Mwanza, aliyefahamika kwa jina moja la Max, anadaiwa kumuua mke wake, Teddy Malulu kwa kumpiga risasi usiku wa kuamkia leo.
Baada ya kufanya mauaji hayo, Max naye anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi.
Mpaka sasa chanzo cha mauaji hayo hakijajulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi amethibitisha tukio hilo na kusema kuwa mwanamke anayedaiwa kuuawa na mume wake ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wavuvi Tanzania (Tafu) .
Kamanda Msangi amesema uchunguzi...

 

4 years ago

BBCSwahili

Aua watu 8 naye ajiua Canada

Polisi nchini Canada wanasema kuwa watu 8 wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mmoja ambaye naye alijiuua.

 

4 years ago

Habarileo

Aua mama mkwe, mwanawe naye ajiua

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeMKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.

 

4 years ago

CloudsFM

NEWS: AUA MAMA MKWE, MWANAWE NAYE AJIUA

MKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.
Pia amemjeruhi mkewe kabla ya kujiua kwa kujichoma na kisu tumboni, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema tukio hilo ni la Jumamosi iliyopita.

Waliouawa walitajwa kuwa ni Sarah Mango wa miaka kati ya 60 na 70 na mtoto, Amina Jumanne mwenye umri wa miaka miwili,...

 

5 years ago

Habarileo

Achinja mkewe, naye ajiua

MWANAMUME mwenye umri wa miaka 30 amejinyonga kwa kamba ya katani hadi kufa baada ya kumuua mkewe kwa kumchinja shingo kwa kisu kutokana na kile alichodai kuwa ni kudharauliwa na mkewe.

 

4 years ago

Mwananchi

Aua mkewe naye auawa Arusha

Mume amemuua mkewe kwa kumchoma kisu kifuani jiji hapa kwa kile kinachodaiwa ni masuala ya kimapenzi na baadaye mume huyo kuuawa na wananchi waliochukizwa na tukio hilo.

 

1 year ago

Malunde

MUME AMUUA MKEWE MWANZA MVUA IKINYESHA MAJIRANI WASISIKIE...NAYE AJIUA

Mwanaume mmoja anatuhumiwa kumuua mkewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali sehemu za mwili wake kisha na yeye mwenyewe kujinyonga hadi kufa kwa kutumia waya wa umeme wilayani Magu ambapo kitendo hicho ni kosa kisheria.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi, Ahmed Msangi amesema huyo ametambulika kwa jina la John Ntemi (23) mkazi wa Kijiji cha Mahaha ambaye anatuhumiwa kumuua mkewe Casta Edward.
Kamanda Msangi amesema inadaiwa wawili...

 

2 years ago

Mwananchi

Aua mke kwa shoka, naye ajinyonga, mwingine aua mpenzi wake kwa panga

Sumbawanga. Mkazi wa Kijiji cha Msia wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, Patrick Kipesa (39) amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani mara baada ya kuumua mkewe kwa kumkata kata na shoka sehemu mbalimbali za mwili wake.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani