Aua mtoto, ajiua kisa meseji

Mkazi wa Mji wa Kisoko, Philip Wandera (27) amejitupa na wanawe wawili katika Mto Sio, baada ya kuzozana na mkewe kuhusu ujumbe mfupi(sms) alioupata katika simu yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Baba aua mtoto, mkewe kisa fedha za matunzo

memorialservice-550x330

NeShante Davis akiwa na binti yake  Chloe Davis-Green enzi za uhai wao.

MWANAMAMA mmoja huko Maryland nchini Marekani pamoja na binti yake wa miaka miwili wameuawa kwa kupigwa risasi na baba mtoto kisa kikiwa ni kuamliwa atoe fedha za matunzo ya mtoto.

NeShante Davis, 26, alikutwa amefariki nyumbani kwake jirani na alipokuwa ameegesha gari lake huku binti yake aitwaye Chloe Davis-Green, akikutwa amejeruhiwa akiwa ndani ya gari la mama yake aina ya Chevrolet.

HT_suspect_as_160203_31x13_1600

Mtuhumiwa Boswell-Johnson akiwa...

 

2 years ago

Bongo5

Mama aua mtoto wake kisa kukataa shule

Mkazi wa Nsumba katika Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza Joyce Mathayo (33), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumpiga mtoto wake Mathayo Manisi (12) na kumuua kwa kosa la utoro shuleni.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini hapa jana alisema tukio hilo lilitokea Januari 11, mwaka huu saa 4 asubuhi.

Alisema Mary alikamatwa na polisi baada ya kumpiga fimbo mtoto wake...

 

10 months ago

Malunde

BABA AUA MTOTO KISA KAGOMA KWENDA SHULE

Polisi katika wilaya ya Pader nchini Uganda wamemkamata mwanaume mwenye miaka 30 baada ya kumpiga mtoto wake wa miaka 7 kwa fimbo mpaka kufa kisa tu mtoto huyo amekataa kwenda shule.
Richard odokonyero mwenye miaka 7 alikuwa akisoma katika shule ya msingi Pader kabla ya uhai wake kukatishwa na baba yake Denis Omony Juni 6,2018.
Mwenyekiti wa eneo hilo Charles Otto Lalobo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa baba huyo aligeuka hayawani na kumshambulia mwanae kwa fimbo kichwani...

 

2 years ago

Malunde

MAMA AUA MTOTO WAKE KWA KICHAPO KISA KAKOMBA MBOGA HUKO MUSOMA


Mtoto wa miaka mitatu amefariki dunia kwa kupigwa na mama yake mzazi kwa tuhuma ya kula mboga mkoani Mara katika mtaa wa Songa mbele kata ya Rwamlimi katika Manispaa ya Musoma.


Tukio hilo lilitokea June 29 mwaka huu nyumbani kwa marehemu katika kata ya Rwamilimi majira ya saa mbili za usiku.

Hellena Magwita ni mama mzazi wa mtoto huyo inadaiwa mama huyo alimwadhibu mtoto wake kwa kosa la kula mboga aina ya furu,baada ya kipigo hicho mtoto alilia hadi akapoteza fahamu na mwishowe kupoteza...

 

4 years ago

BBCSwahili

Aua watu 8 naye ajiua Canada

Polisi nchini Canada wanasema kuwa watu 8 wameuawa kwa kupigwa risasi na mtu mmoja ambaye naye alijiuua.

 

4 years ago

Habarileo

Aua mama mkwe, mwanawe naye ajiua

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeMKAZI wa kitongoji cha Ng’anandi kijiji cha Mpinga Kata ya Kigwe wilayani Bahi, Jumanne Ichirile (23) ameua mama mkwe wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili kwa kuwachoma visu.

 

4 years ago

Vijimambo

Aua, ajiua, aacha ujumbe wa kurasa nne

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma, Mihayo Msikhela akiwaonesha wandishi wa habari ujumbe ulioachwa na marehemu Emmanuel Moshi baada ya kumuua mfanyabiashara mwenzake Didas Alphonce kwa kumkata na shoka kichwani na kisha yeye kujiua kwa kujinyonga. Picha Joyce Joliga
Songea. Mfanyabiashara wa mbao Manispaa ya Songea, Emmanuel Moshi (40), mkazi wa Marangu, mkoani Kilimanjaro amemuua mfanyabiashara mwenzake aliyetambuliwa kwa jina la Didas Alphonce (64), mkazi wa Kilema Kilimanjaro kwa kumpasua...

 

2 years ago

Habarileo

Polisi aua mwenzake, ajiua baada ya mechi

POLISI amemuua mwenzake kwa kumpiga risasi usiku wa kuamkia leo na yeye amejiua baada kutazama mechi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya kati ya Manchester City na Monaco.

 

2 years ago

Mwananchi

Aua mkewe naye ajiua kwa kujinyonga

Siamini Fulgence (34) amemuua mkewe Asunta Michael (27), mkazi wa Kijiji cha Mtenje Vichakani wilayani Nyasa kisha naye akajiua kwa kujinyonga.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani