Audio : SIKILIZA HAPA HOTUBA YA MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA KWENYE KONGAMANO LA WATOTO SHINYANGA LEO OKTOBA 10,2017

Tumia dakika 14 kusikiliza Hotuba ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro kwenye Kongamano la Watoto Shinyanga lililoandaliwa na shirika la Save the Children Oktoba 10,2017.SOMA HABARI KUHUSU KONGAMANO HILO <<HAPA>>

Bofya hapa chini kusikiliza hotuba

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

HOTUBA YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ZAINABU TELACK KWENYE KIKAO CHAKE NA WAWEKEZAJI NA WAFANYABIASHARA WA MKOA WA SHINYANGAMkuu wa mkoa wa Shinyanga,Zainab Telack akizungumza na wafanyabiashara na wawekezaji mkoa wa Shinyanga leo Alhamis Julai 20,2017-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog

HOTUBA YA MHE. ZAINAB R. TELACK, MKUU WA MKOA WA SHINYANGA KWENYE KIKAO  CHAKE PAMOJA NA WAFANYABIASHARA WA MKOA WA SHINYANGA TAREHE 20/07/2017.


Mwenyekiti wa TCCIA,

Katibu Tawala Mkoa,

Wahe. Wakuu wa Wilaya,

Wakuu wa Sehemu na Vitengo, Sekretarieti ya Mkoa,

Wakurugenzi na Mameneja wa Mamlaka na Taasisi za Serikali,

Wawekezaji na...

 

2 years ago

Malunde

Picha & Audio : MKUTANO WA HADHARA MBUNGE WA SHINYANGA MJINI,ATOA MSIMAMO KUHUSU NJAA,SIKILIZA HAPA


Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele (CCM) amefanya mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za wananchi katika viwanja vya jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nguzo Nane mjini Shinyanga. 

Mkutano huo ulioanza kwa wananchi kueleza kero zao kwa mbunge umehudhuriwa na mamia ya wakazi wa Shinyanga. 
Miongoni mwa kero zilizotawala mkutano huo ni kero ya bei ya maji kubwa,migogoro ya ardhi,jeshi la polisi kudaiwa kuwaonea waendesha bodaboda kwa kuwachapa viboko na uwepo wa mitaro...

 

3 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA SOKO KUU SHINYANGA.

Desemba 02,2015- Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameendelea na ziara za kushtukiza kwenye maeneo ambayo ni kero katika wilaya hiyo.Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi,mkuu huyo wa wilaya akaabukia katika soko kuu la manispaa ya Shinyanga lililojengwa kabla ya uhuru wa Tanganyika..Ikawa faraja kwa Wafanyabiashara wa soko hilo waliodai kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiilalamikia halmashauri ya manispaa kutokana na kushindwa kulifanyia ukarabati soko hilo.Akiwa katika soko hilo...

 

4 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA MKUTANO NA AKINA MAMA ZAIDI YA 300 KUPAMBA NA KIPINDUPINDU SHINYANGA


Hapa ni katika ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako wanawake/akina mama zaidi ya 300 wa manispaa ya Shinyanga wamekutana kujadili namna ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umeukumba mkoa wa Shinyanga.Mkutano huo umeitishwa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.Akina mama hao waliojitokeza kwa wingi leo jioni Oktoba 06,2015 wameweka mikakati mbalimbali ya kutokemeza ugonjwa kipindupindu ambapo Jana pekee wagonjwa 9 wamelazwa katika kambi maalum jirani na hospital ya...

 

2 years ago

Malunde

Picha : DC SHINYANGA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA 2017

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro leo Jumamosi Novemba 4,2017 amefungua mkutano mkuu wa wanachama wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (Shinyanga Press Club – SPC) mwaka 2017.
Mkutano huo mkuu wa SPC ulikuwa na lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kujenga klabu na masuala kadha kadha kuhusu tasnia ya habari.
Akizungumza katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Katemi Hotel mjini Shinyanga,Matiro alisema kalamu ya mwandishi wa habari ni fimbo hivyo kuwataka...

 

2 years ago

Malunde

Picha : SHUHUDIA HAPA KONGAMANO KUBWA LA MAOMBI MAALUMU KWA WANAVYUO MKOANI SHINYANGA LEO


Leo Jumamosi Februari 11,2017 kumefanyika kongamano kubwa la Maalum la Maombi kwa Wanavyuo mkoani Shinyanga.
Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi tawi la Kizumbi katika manispaa ya Shinyanga na kuhudhuriwa na wanafunzi wa vyuo mbalimbali mkoani Shinyanga,viongozi wa vyuo na dini,wanakwaya,wanafunzi wa shule za sekondari na watu mbalimbali wenye mapenzi mema.
Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro.
Kongamano hilo ambalo ni la...

 

2 years ago

Malunde

Angalia Picha : MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE MKOA WA SHINYANGA LEO OKTOBA 11,2017


Mkoa wa Shinyanga leo umeungana na mataifa mbalimbali duniani kuadhimisha ya siku ya kimataifa ya mtoto wa kike ambayo hufanyika kila mwaka tarehe 11 mwezi Oktoba.

Maadhimisho ya  siku ya kimataifa ya mtoto wa kike katika mkoa wa Shinyanga yamefanyika katika kata ya Iselamagazi halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Vijijini ambapo mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack.
Sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya mtoto wa...

 

2 years ago

Malunde

Picha : MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AKUTANA NA JESHI LA SUNGUSUNGU KWENYE 'SANJO'

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine akizungumza katika mkutano wa jeshi la sungusungu 'Sanjo' wilaya ya Shinyanga leo Septemba 30,2017.****Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine amekutana na viongozi wa jeshi la jadi sungusungu kutoka maeneo mbalimbali wilayani humo katika mkutano wa Jeshi la Sungusungu maarufu “Sanjo”.
Mkutano "Sanjo" umefanyika leo Jumamosi Septemba 30,2017 katika shule ya Msingi Ujamaa iliyopo katika kijiji cha Seseko kata ya Mwamalili katika manispaa ya Shinyanga.
Sanjo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani