Audio : WIMBO KUOMBOLEZA KIFO CHA MWANAFUNZI AKWILINA ALIYEUAWA KWA RISASI DAR

Sikiliza wimbo kuomboleza kifo cha Mwanafunzi Akwilina

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Malunde

KAULI YA RAIS MAGUFULI KUHUSU MWANAFUNZI ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI DARDr John Magufuli‏Verified account @MagufuliJP
FollowingFollowing @MagufuliJPMoreNimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT).Natoa pole kwa familia,ndugu,wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu.Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili.1:48 AM - 18 Feb 2018189 Retweets403 LikesGodfrey ReubenAbel elibarikiShaban ShabalalaEdson Mpinezaccheus muekeMapendo MsakiemussGeofreyjohnChaupole Baraka179 replies189 retweets403 likesReply
Direct messageTweet textSoma <<HAPA>> JINSI MWANAFUNZI WA CHUO...

 

8 months ago

Malunde

Picha : NDALICHAKO,MASAUNI WAMFARIJI MAMA MZAZI WA MWANAFUNZI ALIYEUAWA KWA RISASI DAR

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ,Injinia Hamad Masauni  wakimfariji Mama Mzazi wa marehemu  Aqwilina jioni ya leo Mbezi Kimara jijini Dar.

***Mwanafunzi  huyo wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) amepoteza maisha baada ya kupigwa risasi Februari 16 mwaka huu eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam wakati Polisi walipokuwa wakizuia maandamano ya chama cha CHADEMA.Kufuatia kifo cha Mwanafunzi huyo Serikali imesema...

 

8 months ago

BBCSwahili

Rais Magufuli aagiza hatua dhidi ya waliosababisha kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwiline

Mwanafunzi huyo ambaye jina lake na picha vilisambazwa katika mitando ya kijamii alipigwa risasi akiwa ndani ya basi dogo maarufu kama daladala jijini Dar es salaam

 

8 months ago

Michuzi

Ndalichako,Masauni watoa mkono wa pole kwa wafiwa kifo cha Mwanafunzi aliyepigwa risasi

  Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ,Injinia Hamad Masauni  wakimfariji Mama Mzazi wa marehemu  Aqwilina jioni ya leo Mbezi Kimara jijini Dar,Mwanafunzi  huyo wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) amepoteza maisha baada ya kupigwa risasi Februari 16 mwaka huu eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam wakati Polisi walipokuwa wakizuiya maandamano ya chama cha CHADEMA.Kufuatia kifo cha Mwanafunzi huyo Serikali imesema...

 

8 months ago

Malunde

Picha : IGP SIRRO AFIKA KWENYE MSIBA WA MWANAFUNZI ALIYEUAWA KWA RISASI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro, leo amefika kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi juzi Ijumaa eneo la Mkwajuni, Kinondoni, Dar. Msiba huo upo nyumbani kwao Akwilina maeneo ya Mbezi jijini Dar es salaama.

 

8 months ago

Malunde

USALAMA WAIMARISHWA KIJIJI ATAKACHOZIKWA MWANAFUNZI AKWILINA ALIYEPIGWA RISASI


Vyombo vya ulinzi na usalama vimeimarisha usalama katika eneo atakalozikwa mwanafunzi wa chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline katika kijiji cha Olele wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro.

Uchunguzi uliofanywa na MCL Digital saa 2:00 hadi saa 4:30 asubuhi leo Ijumaa Februari 23, 2018 umebaini uwapo wa askari wengi wakiwamo wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na askari kanzu.
Mbali na askari kanzu, wameonekana maofisa usalama wa Taifa na polisi waliovalia kiraia, wakiwa...

 

8 months ago

Malunde

DEREVA,KONDAKTA WASIMULIA JINSI MWANAFUNZI AKWILINA ALIVYOPIGWA RISASI NA POLISIDereva na kondakta wa daladala alilopanda mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyeuawa juzi kwa kupigwa risasi na polisi wamesimulia mkasa ulivyokuwa.Akwilina alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Shahada ya Ununuzi na Ugavi (Procurement and Logistics) katika chuo hicho, lakini maisha yake yalikatishwa juzi akiwa ndani ya basi la daladala.Tukio hilo lilitokea wakati polisi wakiwatawanya wanachama wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho,...

 

8 months ago

Malunde

RIPOTI YA UCHUNGUZI KIFO CHA MWANAFUNZI ALIYEPIGWA RISASI NA POLISI YAZUA TAFRANI MUHIMBILI


Ndugu wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi, jana walisusia kwa muda kuchukua mwili wa binti huyo wakishinikiza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kueleza sababu za kifo chake.


Jambo hilo lilizua sintofahamu kabla ya kutulizwa kwa kuelezwa kwa mdomo na madaktari kuwa alipigwa risasi kichwani.

Jana asubuhi, ndugu hao walikusanyika katika eneo la chumba cha kuhifadhia maiti Muhimbili wakisubiri uchunguzi ukamilike ili...

 

8 months ago

Malunde

JINSI MWANAFUNZI CHUO CHA NIT ALIVYOUAWA KWA KUPIGWA RISASI ...CHADEMA WAKIANADAMANA DAR


Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kimesema aliyepigwa risasi jana Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam na kufariki dunia ni mwanafunzi wa chuo hicho.
Chuo hicho kimemtaja mwanafunzi huyo kuwa ni Akwilina Akwiline aliyekuwa anasoma shahada ya kwanza ya ununuzi na ugavi.
Wafuasi hao wa Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe waliandamana kuelelea ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kinondoni, Aron Kagurumjuli kudai viapo vya mawakala wa chama...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani