Audio: BASATA imemfungia Nay wa Mitego, hakuna kufanya muziki….

AWSE3444

Kama utakuwa unakumbuka mnamo July 16, 2016 Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) lilitoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego PALE KATI kutokuwa wa kimadili. Sasa leo July 27, 2016 millardayo.com imepata taarifa nyingine iliyotolewa na BASATA kuhusu kumfungia msanii huyo kwa muda usiojulikana kutokana na makosa matatu. ‘Ni […]

The post Audio: BASATA imemfungia Nay wa Mitego, hakuna kufanya muziki…. appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Audio: BASATA yafunguka ishu ya Nay wa Mitego kukamatwa, familia ya Nay yatoa neno

Baada ya rappa Nay wa Mitego kutoa taarifa kupitia ukurasa wake wa instagram kwamba amekamatwa na taarifa hizo kuthitishwa na jeshi la polisi, Bongo5 imezungumza na familia ya rappa huyo pamoja na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) baada ya taarifa kuzagaa kwamba rappa huyo amekamatwa kutokana na wimbo wake mpya uliovuja mtandaoni.

Akiongea na Bongo5 producer wa rappa huyo, Osam Flexible kwa niaba ya familia amesema wao wamezipata taarifa za kukamatwa kwa Nay wa Mitengo mkoani Morogoro kama...

 

3 years ago

MillardAyo

AUDIO: Basata kuhusu kuufungia wimbo wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati’

WED344

Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI. Akizungumza na millardayo.com Katibu mkuu wa Basata, Godfrey Mngereza alisema..’Ni kweli tumeufungia wimbo wa msanii Nay wa Mitego  kwasababu haupo kimaadili katika jamii ya kitanzania ukizungumzia maneno yenye […]

The post AUDIO: Basata kuhusu kuufungia wimbo wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati’ appeared first on...

 

3 years ago

Bongo5

Hakuna mtu atakayenipangia muziki wa kufanya – Nay wa Mitego

Huenda sumu ya adhabu ya BASATA kwa Nay wa Mitego ikawa haikukolea vyema.

14099565_292841217749567_582359073_n

Ni sababu rapper huyo ameibuka na kudai kuwa, hakuna mtu anayeweza kumpangia aina ya muziki wa kufanya, na kwamba hivi karibuni ataachia wimbo uitwao ‘Utakula Jeuri Yako’ ambao ni makavu kwa kwenda mbele na huenda ukazua ‘sheshe’ jingine.

“Nobody can stop me,” alisema Nay katika mahojiano kipindi cha Extra Fleva, cha Uplands FM ya Njombe kinachoendeshwa na Ergon Elly. “Muziki wangu uko pale pale, kitu ninachowaahidi...

 

3 years ago

Global Publishers

Ishu ya kufungiwa muziki… Shamsa ampa makavu Nay wa Mitego

SHAMSA (1)Shamsa Ford

Na Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYIKO

KUFUATIA Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kumfungia Nay wa Mitego kufanya muziki kutokana na nyimbo zake kukiuka maadili, mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford amempa makavu na kumtaka aache kuimba matusi.

Nay (3)Akipiga stori na Za Motomoto News, Shamsa alisema Nay wa Mitego ni baba mwenye watoto wanaomtegemea, anamuonea huruma lakini ni lazima ajifunze kwa kuacha kuimba nyimbo za matusi, badala yake aimbe za kueli-misha jamii.

NAY“Namu-onea huruma...

 

3 years ago

Global Publishers

BASATA Yamfungulia Nay wa Mitego

nay 3Katikati ni katibu wa Baraza la sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mungereza akizungumza na wanahabari wakati wa kutoa tamko la kumfungulia Nay. Kushoto nia msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na kulia mwenye miwani ni Meneja wake, Maneno John. nay 33Nay wa Mitego akizungumza.

nay

nay 2Wanahabari wakifuatilia tukio hilo.

nay 34  nay4

 

3 years ago

Habarileo

Basata yamwachia Nay wa Mitego

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Elibariki, Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kufuata masharti aliyopewa.

 

3 years ago

MillardAyo

Nay wa Mitego kamalizana na BASATA lakini……

.

Kama utakuwa unakumbuka 27, 7, 2016 Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) lilitoa tamko la kumfungia msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kutojihusisha na kazi ya sanaa kwa muda usijulikana Sasa leo August 15, 2016 baraza hilo limetoa tamko rasmi la kumfungulia msanii huyo kufanya kazi ya muziki huku akiwa kwenye uangalizi maalum sehemu ya […]

The post Nay wa Mitego kamalizana na BASATA lakini…… appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo Movies

Nay wa Mitego Afunguliwa Kifungo na BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kuwa ametekeleza adhabu (maagizo) zote alizopewa kama masharti ya kumfungulia.

hini ni taarifa ya BASATA kwa waandishi wa habari:

NAY992

Nay akiwa na Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey L. Mngereza

BASATA kama mlezi wa wasanii linamfungulia kufuatia yeye mwenyewe (Nay wa Mitego) kujutia na kukiri kwamba amejifunza na yuko tayari kubadilika na kwamba hatarudia makosa aliyoyafanya
Hata hivyo, pamoja...

 

2 years ago

Mwananchi

Basata laufungia wimbo wa Nay Mitego

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limeufungia rasmi wimbo "Wapo" wa msanii Elibariki Emmanuel maarufu kama Nay wa Mitego.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani