AUDIO: Basata kuhusu kuufungia wimbo wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati’

WED344

Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI. Akizungumza na millardayo.com Katibu mkuu wa Basata, Godfrey Mngereza alisema..’Ni kweli tumeufungia wimbo wa msanii Nay wa Mitego  kwasababu haupo kimaadili katika jamii ya kitanzania ukizungumzia maneno yenye […]

The post AUDIO: Basata kuhusu kuufungia wimbo wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati’ appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego aitwa BASATA, ni issue ya wimbo wake ‘Pale Kati’

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemwita msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego ikiwa ni siku chache toka watangaze kuufungia wimbo wake ‘Pale Kati’ kutokana na wimbo huo kudaiwa kukiuka maadili.
Nay true boy

Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Nay wa Mitego amesema kwa sasa hawezi kulizungumzia swala la kufungiwa kwa wimbo wake mpaka pale atakapofanya kikao na BASATA.

“Kesho nimeitwa BASATA, nadhani itakuwa ni vizuri nikizungumzanao, alafu ndo nije kuzungumza issue ya kufungiwa,” alisema Nay.
Nay wa Mitego
Picha ya...

 

3 years ago

MillardAyo

Nay wa Mitego kayaongea kuhusu kufungiwa kwa wimbo wake ‘Pale Kati’

ED433

Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI. Sasa July 22,2016 ameongea na millardayo.com kuhusu kufungiwa kwa wimbo wake na kusema…>>>>>’Ni kweli nimezipata taarifa za kufungiwa kwa wimbo wangu lakini nafikiri haya ni mambo ya kisheria […]

The post Nay wa Mitego kayaongea kuhusu kufungiwa kwa wimbo wake ‘Pale Kati’ appeared first on...

 

3 years ago

Global Publishers

BASATA Yaufungia ‘Pale Kati’ wa Nay wa Mitego!

nay-new2Dar es Salaam.

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo wa ‘pale kati patamu’ ulioimbwa na msanii Ney wa Mitego kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza ameeleza kuwa msanii huyo amekuwa na tabia na mienendo yenye kuchafua sekta ya sanaa yeye binafsi kupitia kutoa kazi chafu na kufanya maonyesho yenye kukiuka maadili.

“Kazi zake zikikiuka maadili na kudhalilisha utu wa mwanamke sambamba...

 

3 years ago

Bongo5

‘Pale Kati’ imefanya vizuri kabla ya kufungiwa na BASATA – Nay wa Mitego

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego amefunguka kwa kusema kuwa kabla ya wimbo wake ‘Pale Kati’ kufungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) tayari wimbo huo ulishafanya vizuri katika sehemu mbalimbali za nchi.
nay new2

Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii kabla ya kikao chake na BASATA siku ya Jumanne, Nay wa Mitego amesema hana tatazo na wimbo wake kufungiwa kwani tayari ulifanya vizuri katika sehemu mbalimbali.

“Unajua wimbo wangu tayari ulishafanya vizuri, na bado kuna redio zinaendelea...

 

3 years ago

Bongo Movies

Wimbo wa ‘Pale Kati’ wa Nay wa Mitego Wafungiwa

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo wa ‘pale kati patamu’ ulioimbwa na Msanii Ney wa Mitengo kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili.

nay62

Taarifa iliyotolewa leo na Baraza hilo na kusainiwa na Katibu wake Mtendaji Godfrey Mngereza, imeeleza kuwa msanii huyo amekuwa na tabia na mienendo yenye kuchafua Sekta ya Sanaa yeye binafsi kupitia kutoa kazi chafu na kufanya maonesho yenye kukiuka maadili.

Taarifa hiyo imesema kuwa kazi zake zikikiuka maadili na kudhalilisha utu wa...

 

3 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego kuachia video ya wimbo ‘Pale Kati’ Jumatano hii

Rapper Nay wa Mitego amedai ametimiza katakwa aliyopewa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) baada ya kufungiwa kwa wimbo wake wa ‘Pale Kati’, ambapo Jumatano hii taachia version ya kwanza ya video ya wimbo huo.
Nay-true-boy

Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Nay amewataka mashabiki wake wa muziki wa kimataifa kukaa mkao wa kula.

“Mimi na BASATA tulishamalizana, wao walinipa maazimio na mimi nimeshayatekeleza, kwa hiyo na mimi naendelea na issue zingine,” alisema Nay. “Jumatano hii mashabiki wangu...

 

3 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego kuja na kolabo ya remix ya wimbo ‘Pale Kati’ akiwa na msanii wa Kimataifa

Rapper Nay wa Mitego amefunguka kwa kusema kuwa tayari ameshawatumia beat baadhi ya wasanii wa Kimataifa ambao waliomba kuwepo kwenye remix yake ya wimbo ‘Pale Kati’.
nay new2

Akiongea na Bongo5 Jumatatu hii, Nay amesema ni mapema kuweka wazi ni msanii gani atashiriki kwenye remix hiyo.

“Remix inakuja, tayari kuna wasanii wawili watatu ambao waliomba kushiriki na tayari nimeshawatumia, kwa hiyo ninachosubiria ni kuangalia nani amekaza alafu ndo nitangaze nimefanya na nani,” alisema Nay. “Lakini ni...

 

3 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego akubali yaishe ‘naomba radhi kwa yeyote niliyemkwaza na wimbo wa Pale Kati’

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego ameanza kutekeleza baadhi ya maagizo aliyopewa na Baraza la Sanaa la Taifa baada ya kufungiwa kwa wimbo wake wa ‘Pale Kati’.
Nay-true-boy

Rapper huyo alipewa adhabu hiyo pamoja na kulipa faini ya shilingi milioni 1 baada ya kukutwa na makosa matatu likiwena la kutojisajiri katika baraza hilo.

Katika taarifa aliyotoa Nay wa Mitego, ameonyesha kujuta huku akiwaomba radhi mashabiki wa muziki wake kama ambavyo aliagizwa na BASATA.

“Wakati naandika wimbo “Pale Kati”...

 

3 years ago

Bongo5

Nay Wa Mitego kuachia video ya ‘Shika Adabu Yako’ wiki hii licha ya BASATA kuufungia wimbo huo

Nay shika adabu

Licha ya BASATA kutoa tamko la kuufungia wimbo wa ‘Shika Adabu Yako’ wa Nay Wa Mitego, msanii huyo ametangaza kuachia video ya huo ambao amewachana watu mbalimbali.

Nay shika adabu

Nay amesema kichupa hicho kitatoka rasmi ijumaa ya Feb 26.

“#ShikaAdabuYako 26Feb video inatoka.! Ijumaa hii.! #ShikaAdabuYako” Nay alitoa taarifa hiyo kupitia Instagram.

Wiki iliyopita BASATA ilitoa tamko rasmi la kuufungia wimbo huo (ingia hapa) kutokana na ukiukwaji mkubwa wa maadili, kashfa, uchochezi, kudhalilisha watu, na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani