Audio: BASATA yafunguka ishu ya Nay wa Mitego kukamatwa, familia ya Nay yatoa neno

Baada ya rappa Nay wa Mitego kutoa taarifa kupitia ukurasa wake wa instagram kwamba amekamatwa na taarifa hizo kuthitishwa na jeshi la polisi, Bongo5 imezungumza na familia ya rappa huyo pamoja na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) baada ya taarifa kuzagaa kwamba rappa huyo amekamatwa kutokana na wimbo wake mpya uliovuja mtandaoni.

Akiongea na Bongo5 producer wa rappa huyo, Osam Flexible kwa niaba ya familia amesema wao wamezipata taarifa za kukamatwa kwa Nay wa Mitengo mkoani Morogoro kama...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Audio: BASATA imemfungia Nay wa Mitego, hakuna kufanya muziki….

AWSE3444

Kama utakuwa unakumbuka mnamo July 16, 2016 Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) lilitoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego PALE KATI kutokuwa wa kimadili. Sasa leo July 27, 2016 millardayo.com imepata taarifa nyingine iliyotolewa na BASATA kuhusu kumfungia msanii huyo kwa muda usiojulikana kutokana na makosa matatu. ‘Ni […]

The post Audio: BASATA imemfungia Nay wa Mitego, hakuna kufanya muziki…. appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

AUDIO: Basata kuhusu kuufungia wimbo wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati’

WED344

Ni July 16, 2016 ambapo Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego uitwao PALE KATI. Akizungumza na millardayo.com Katibu mkuu wa Basata, Godfrey Mngereza alisema..’Ni kweli tumeufungia wimbo wa msanii Nay wa Mitego  kwasababu haupo kimaadili katika jamii ya kitanzania ukizungumzia maneno yenye […]

The post AUDIO: Basata kuhusu kuufungia wimbo wa Nay wa Mitego ‘Pale Kati’ appeared first on...

 

3 years ago

Global Publishers

BASATA Yamfungulia Nay wa Mitego

nay 3Katikati ni katibu wa Baraza la sanaa Tanzania, BASATA, Godfrey Mungereza akizungumza na wanahabari wakati wa kutoa tamko la kumfungulia Nay. Kushoto nia msanii Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na kulia mwenye miwani ni Meneja wake, Maneno John. nay 33Nay wa Mitego akizungumza.

nay

nay 2Wanahabari wakifuatilia tukio hilo.

nay 34  nay4

 

3 years ago

Habarileo

Basata yamwachia Nay wa Mitego

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Elibariki, Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kufuata masharti aliyopewa.

 

1 year ago

Bongo Movies

Nay wa Mitego Afungukia Ishu Yake na Nini

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema jambo lolote linaweza kutokea kati yake na msanii Nini, ingawa kwa sasa hawana mahusiano.

 

Akizungumza na EATV Nay amesema kitu kilichopo kati yake na Nini kwa sasa ni kazi tu, lakini haitakuwa kitu cha ajabu iwao lolote likitokea baina yao.

“Mimi na Nini ni washkaji tunafanya kazi tu, huenda yeye ana mtu wake, nami nina mtu wangu, hakuna mahusiano yoyote, lakini huwezi jua lolote linaweza tokea, kwani...

 

3 years ago

MillardAyo

Nay wa Mitego kamalizana na BASATA lakini……

.

Kama utakuwa unakumbuka 27, 7, 2016 Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) lilitoa tamko la kumfungia msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kutojihusisha na kazi ya sanaa kwa muda usijulikana Sasa leo August 15, 2016 baraza hilo limetoa tamko rasmi la kumfungulia msanii huyo kufanya kazi ya muziki huku akiwa kwenye uangalizi maalum sehemu ya […]

The post Nay wa Mitego kamalizana na BASATA lakini…… appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Bongo Movies

Nay wa Mitego Afunguliwa Kifungo na BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kuwa ametekeleza adhabu (maagizo) zote alizopewa kama masharti ya kumfungulia.

hini ni taarifa ya BASATA kwa waandishi wa habari:

NAY992

Nay akiwa na Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey L. Mngereza

BASATA kama mlezi wa wasanii linamfungulia kufuatia yeye mwenyewe (Nay wa Mitego) kujutia na kukiri kwamba amejifunza na yuko tayari kubadilika na kwamba hatarudia makosa aliyoyafanya
Hata hivyo, pamoja...

 

2 years ago

Mwananchi

Basata laufungia wimbo wa Nay Mitego

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limeufungia rasmi wimbo "Wapo" wa msanii Elibariki Emmanuel maarufu kama Nay wa Mitego.

 

3 years ago

Bongo5

BASATA hawajaufungia wimbo wangu – Nay wa Mitego

12534376_937830476307673_1527161113_n

Rapper Nay wa Mitego amekanusha taarifa zilizoenea kuwa, baraza la sanaa la taifa, BASATA limeufungia wimbo wake wenye utata, Shika Adabu Yako.

12534376_937830476307673_1527161113_n

Nay ametoa ufafanuzi huo kwenye Instagram kwa kuandika:

Pale unaposikia eti kuna wasiopenda kuambiwa Ukweli wamezusha Eti Wimbo wa #ShikaAdabuYako Basata wamefungia. Guys Wimbo haujafungiwa na Basata awajafungia Wimbo ila wale wenye Team zao kwenye mitandao wamechanwa kwenye #ShikaAdabuYako ndio wameufungia kwenye Masikio Yao sababu ya hawataki...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani