AUDIO: Wananchi wamempeleka polisi mama wa mtoto kisa mtoto ni mwarabu

hekehek

June 20 2016  Geah Habib kupitia Hekaheka ya Clouds FM  ametuletea Hekaheka kutokea Buguruni Dar es salam ambapo mama amepelekwa polisi na wananchi kisa mtoto anayedaiwa kuwa ni wa kwake ni mwarabu. Mama alifika maeneo hayo nyakati za usiku na watu wakawa na mashaka naye wakamwambia aende kwa mjumbe…….. >>>’shida yake yeye ni kwamba anamuhitaji ndugu […]

The post AUDIO: Wananchi wamempeleka polisi mama wa mtoto kisa mtoto ni mwarabu appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

MAMA ATUPA MTOTO, KISA UGOMVI WA MAPENZI!

Gabriel Ng’osha Binadamu wamepoteza utu! Mwanamke mjamzito aliyefahamika kwa jina la mama Janeth, mkazi wa Kimara-Suka jijini Dar anadaiwa kujifungua kisha kukiweka kichanga kwenye begi na kukitupa shambani, kisa kikielezwa kuwa ni mgogoro wa kimapenzi na mwanaume aliyempa ujauzito. Mama anadaiwa kutupa kichanga hicho akijaribu kuangalia huku na kule kama kuna mtu anamuona alifahamika kwa jina la mama Janeth. Mmoja wa...

 

2 years ago

Bongo5

Mama aua mtoto wake kisa kukataa shule

Mkazi wa Nsumba katika Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza Joyce Mathayo (33), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kumpiga mtoto wake Mathayo Manisi (12) na kumuua kwa kosa la utoro shuleni.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini hapa jana alisema tukio hilo lilitokea Januari 11, mwaka huu saa 4 asubuhi.

Alisema Mary alikamatwa na polisi baada ya kumpiga fimbo mtoto wake...

 

2 years ago

Malunde

MAMA AUA MTOTO WAKE KWA KICHAPO KISA KAKOMBA MBOGA HUKO MUSOMA


Mtoto wa miaka mitatu amefariki dunia kwa kupigwa na mama yake mzazi kwa tuhuma ya kula mboga mkoani Mara katika mtaa wa Songa mbele kata ya Rwamlimi katika Manispaa ya Musoma.


Tukio hilo lilitokea June 29 mwaka huu nyumbani kwa marehemu katika kata ya Rwamilimi majira ya saa mbili za usiku.

Hellena Magwita ni mama mzazi wa mtoto huyo inadaiwa mama huyo alimwadhibu mtoto wake kwa kosa la kula mboga aina ya furu,baada ya kipigo hicho mtoto alilia hadi akapoteza fahamu na mwishowe kupoteza...

 

2 years ago

Malunde

MAMA ATIWA MBARONI KWA KUMPAKA PILIPILI MACHONI MTOTO KISA HAJAFUA NGUO ZA SHULE

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la ‘Mama Saidi’ anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuwekea pilipili kwenye macho mtoto wake wa kambo anayesoma darasa la sita kwa madai ya kutofua nguo za shule.
Tukio hilo limetokea Mtaa wa Tabata Magharibi na kuripotiwa kwenye ofisi ya Serikali ya Mtaa huo juzi, kabla ya mwanamke huyo kukamatwa na kupelekwa Kituo cha Polisi Tabata ambapo anashikiliwa hadi sasa.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Salum...

 

3 years ago

MillardAyo

kilichomtokea Mama aliyempiga na kumjeruhi mtoto wa kazi za ndani, Magomeni Dar…(+Audio)

12797605_962067327162534_462500471_n

March 1 2016 kwenye Hekaheka ya Clouds FM, Geah Habib ametuletea hekaheka iliyotokea Magomeni Dar es salaam hii ni baada ya Mtoto kupigwa na Mama anayeishi naye, tukio ambalo limepelekea mpaka majirani na mjumbe wa eneo hilo kuingilia kati. ‘Naitwa Pilli Mdidi mjumbe wa shina namba 12 nakaa mtaa wa Kiembeni nilivyopata taarifa nimeacha kupika, […]

The post kilichomtokea Mama aliyempiga na kumjeruhi mtoto wa kazi za ndani, Magomeni Dar…(+Audio) appeared first on...

 

5 years ago

Mwananchi

Wananchi wadaiwa kumuua mama, mtoto Tabora

Licha ya Serikali kupiga vita kujichukulia sheria mikononi, unyanyasaji na mauaji ya wanawake, baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Uchama wilayani Nzega mkoani Tabora wamemuua mwanamke mmoja na mtoto wake wa kike kwa sababu zisizofahamika.

 

2 years ago

MillardAyo

AUDIO: Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mtoto aliyeteswa kwa miezi 12

mtoto

Baada ya kuwepo taarifa juu  ya mtoto anayetajwa kuwa umri wa miezi miwili kufichwa ndani na mwanamke mmoja, tayari Jeshi la Polisi jijini Mwanza limetolea ufafanuzi kuhusu suala la mwanamke huyo kumficha na kumtesa mtoto huyo zaidi ya miezi 12.  millardayo.com imezungumza na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi na ameeleza […]

The post AUDIO: Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu mtoto aliyeteswa kwa miezi 12 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani