Aung San Suu Kyi alaumiwa kwa kupuuzia mauaji ya Waislam Myanmar

Kiongozi wa Myanmar, Aung San Suu Kyi amesimamisha mpango ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Matiafa (UN) mwezi huu baada ya kukabiliwa na lawama za kushindwa kulisimamia swala la machafuko huko Myanmar.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

VOASwahili

Aung San Suu Kyi wa Myanmar akutana na Wabunge Marekani

Kiongozi wa Myanmar, Aung San Suu Kyi, siku ya Alhamisi  alikutana na viongozi wa bunge la Marekani, siku moja tu baada ya rais Barack Obama kutangaza kuwa serikali yake iko tayari kuondoa vikwazo vya kiuchumi  dhidi ya nchi hiyo. Kwa mujibu wa ratiba rasmi, Aung San Suu Kyi, ambaye yuko ziarani hapa Marekani, alitarajiwa kukutana na kiongozi wa wachache katika bunge la Congress, Nancy Pelosi na kiongozi wa waliowengi katika seneti, Mitch McConnell, na vile vile kuhudhuria dhifa...

 

1 year ago

TheCitizen

Situation worsens in Myanmar despite Aung San Suu Kyi win

Many hoped that Aung San Suu Kyi’s electoral triumph would revive peace negotiations in Myanmar. The talks were fraught with distrust between the ethnic armed groups and the government, which was led by a party mainly comprised of former officers of the military that had ruled Myanmar for 49 years.

 

2 years ago

Channelten

Aung San Suu Kyi huenda akawa Waziri Mkuu Nchini Myanmar.

mya

Kiongozi mtetezi wa demokrasia nchini Myanmar Aung San Suu Kyi ambaye chama chake kilishinda uchaguzi mkuu Novemba mwaka jana atateuliwa kuwa waziri.

Jina la Suu Kyi lilikuwa kwenye orodha ya watu watakaoteuliwa mawaziri ambayo iliwasilishwa na chama chake National League for Democracy na kusomwa na spika wa bunge.

Haijabainika atatuliwa kuhudumu katika wizara gani.

 

9 months ago

BBCSwahili

Aung San Suu Kyi atakiwa kukomesha mateso na mauaji yanayowakumba Rohingya

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres amemtaka kiongozi wa Myanmar Aung San Suu Kyi, kuchukua hatua za kukomesha mateso na mauaji yanayowakumba waislamu wa Rohingya

 

3 years ago

BBCSwahili

Aung San Suu Kyi, aiga mfano wa Magufuli

Kiongozi wa upinzani wa Myanmar, Aung San Suu Kyi, leo alivaa glavu na kuokota taka katika tarafa yake kama alivyofanya rais wa Tanzania Magufuli

 

2 years ago

Raia Mwema

Sasa Magufuli anafuata nyayo za Aung San Suu Kyi

UASI ni halali. Kila raia ana haki ya kuasi. Ni haki yao ya kidemokrasia.

Ahmed Rajab

 

2 years ago

BBCSwahili

Aung Suu Kyi kuwa waziri mkuu Myanmar

Bunge la Myanmar limepitisha mswada wa kuunda nafasi kuu rasmi ya kiongozi anayeunga mkono demokrasia, Aung San Suu Kyi.

 

3 years ago

BBCSwahili

Aung Suu Kyi ataka uchaguzi wa haki

Aliyekuwa mfungwa wa kisiasa na ambaye sasa ni kiongozi wa upinzani nchini Myanmar, Aung San Suu Kyi, ametoa wito kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu ufanywe kwa njia ya haki na ukweli.

 

9 months ago

BBCSwahili

Viongozi wa dunia wamkosoa Aung San Su Kyi

Wakati wa hotuba yake ya siku ya Jumanne, kiogngozi huyo alilaani ukiukaji wa haki za binadamu lakini hakulaumu jeshi au kuzungumzia madai yanayohusu mauaji wa kikabila

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani