Aunty Ezekiel awavaa wanaohoji kuhusu mpenzi wake

Staa wa Bongo movie, Aunt Ezekiel amewataka wanaofuatilia mahusiano yake kumwachia mwenyewe, huku akidai suala la yeye kuwa na wanaume aliowazidi umri kwake si tatizo.
Aunt Ezekiel amesema amekuwa akikutana na maneno mengi, huku wengi wakidai amekuwa na tabia ya kutembea na wanaume wadogo kuliko umri wake, kitu ambacho kwake haoni tatizo, kwa kuwa wengi hawajui hayo ni maisha binafsi ya mtu.
“Suala la mimi kutembea na wanaume wadogo sidhani kama linatakiwa liingiliwe, haya ni maisha binafsi ya...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Aunt Ezekiel ni mjamzito? , mpenzi wake asema hili kuhusu kupata mtoto mwingine

Wakati mtoto wa Aunt Ezekiel na Mose Iyobo akikaribia kutimiza mwaka mmoja hivi karibuni, Mose amefunguka kuhusu kupata mtoto mwingine wakiume na mrembo huyo kutoka kiwanda cha filamu.
Aunt na Mose

Akizungumza na Bongo5, Mose amesema kwa sasa anafurahia maisha na mrembo huyo wa filamu na soon watapata mtoto mwingine wakiume.

“Sasa mimi na Mama Cookie tunamipango endelevu, kama hivyo ushamuona Cookie bado kuna kaka yake Cookie anakuja na vitu vingine vitaendelea, soon mtasikia tu,” alisema Mose.

Mose...

 

3 years ago

Bongo Movies

Aunty Ezekiel Afunguka Kuhusu Mipango ya Ndoa

Nyota wa Bongo Movie Aunty Ezekiel amesema hayuko tayari kuolewa kwa sasa, na kwamba bado hajafikiria kuolewa kwa kuwa suala la ndoa linahitaji maandalizi ambayo dbado hajayafanya kwa sasa.

aunty78

Aunty Ezekiel na Mose Iyobo

Miongoni mwa story ambazo zilibeba headline juma lililopita, ni pamoja na issue ya mwana tasnia ya filamu nchini, Shamsa Ford kuolewa na mjasiriamali Rashid maarufu kwa jina la Chidmapenzi,

eNewz ilibidi ijiridhishe na ilifanikiwa kumpata muigizaji wa bongo movie Aunty...

 

2 years ago

Bongo5

Aunty Ezekiel afunguka kuhusu mimba yake

Zile tetesi za muigizaji wa filamu nchini Aunty Ezekiel ni mjamzito huenda zikawa zimetimia baada ya kuficha kwa muda mrefu.

Akiongea kwenye kipindi cha FNL cha EATV, Aunty hajaweka wazi kama ni kweli ni mjamzito ila alichokisema ni kuwa anatamani tena kupata mtoto mwingine wa kike baada ya mtoto wao wa kwanza Cookie naye kuwa wa kike.

“I wish nipate mtoto wa kike tena, watoto wa kike hela ile, yaani mpaka wajae,” amesema muigizaji huyo.

Aunty Ezekiel ameongeza kuwa hataki kuweka wazi kama...

 

3 years ago

MillardAyo

EXCLUSIVE: Jibu alilotoa Aunty Ezekiel kuhusu ndoa na Mose Iyobo

Aunty 2

Mwigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na moja ya maswali ameulizwa ni kuhusu ndoa na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, yuko tayari kwa ndoa? Amejibu >>> ‘Mose Iyobo ameniambia kuhusu ndoa lakini sijui, naiona poa kwasababu mwisho wa siku mwanangu anampenda sana […]

The post EXCLUSIVE: Jibu alilotoa Aunty Ezekiel kuhusu ndoa na Mose Iyobo appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

Post za Wema Sepetu kuhusu Aunty Ezekiel baada ya kuchuniana muda mrefu.

wema-ezeki

Warembo Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ambao kipindi cha nyuma walikua marafiki wa karibu sana na baadae wakapishana na urafiki wao ukaingia doa. Baada ya hapo tukawa hatuwaoni wawili hao pamoja kama ilivyozoeleka. Leo 27October 2016 kupitia mtandao wake wa Instagram Wema ameamua kumpost Aunt Ezekiel akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa kwa maneno mazuri ya […]

The post Post za Wema Sepetu kuhusu Aunty Ezekiel baada ya kuchuniana muda mrefu. appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

EXCLUSIVE: Aunty Ezekiel kaelezea siku Mose Iyobo alipohisi mtoto sio wake

Aunty Ezekiel

Mwigizaji Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea vitu kadhaa kwenye mapenzi yake na Dancer wa Diamond Platnumz  Mose Iyobo ambapo miongoni mwa alivyoongelea ni pamoja na siku ambayo Mose alihisi ujauzito aliokua nao Aunty sio wa mtoto wake. ‘Kwanza Mose Iyobo aliniambia niitoe hii mimba nilipomuuliza kwanini akasema najua wewe Aunty Ezekiel […]

The post EXCLUSIVE: Aunty Ezekiel kaelezea siku Mose Iyobo alipohisi mtoto sio wake appeared first on...

 

5 years ago

Dewji Blog

Cassim Mganga, Aunty Ezekiel watembelea mjengo mweupe, Aunty asaini kitabu ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, Dc

IMG_5858

Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.

 Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC  Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.  Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC.  Cassim Mganga akipata picha nje ya mjengo mweupe wa Obama

Aunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama.

IMG_5896

Shabiki akipata picha...

 

5 years ago

Michuzi

CASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNTY ATIA SAINII KITABU UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, WASHINGTON, DC Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014. Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga  Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga

 

2 years ago

Bongo Movies

Aunt Ezekiel Amzuia Mpenzi Wake Kuingia Bongo Movie

Msanii wa bongo movie Aunt Ezekiel amesema hana mpango wa kumuinginza mpenzi wake Mose Iyobo kwenye tasnia ya bongo movie.

Akionge kupitia eNewz Aunt amesema “Napenda anavyokuwa anacheza na sijawahi kuwaza kumtoa kwenye kipaji chake na kumuingiza kwenye movie  hata kama akitaka kuacha kipaji chake ni bora ajiingize kwenye biashara lakini siyo kujiingiza kwenye movie kwani siyo kipaji chake”.

Hata hivyo Aunt amesema yeye hakuvutwa na mtu kuingia kwenye uigizaji na ndiyo maana alifanikiwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani